Sports

Huyo Kamusoko Anataka Mashabiki Tu
Local News

Kiungo wa Yanga thabani kamusoko anataka nguvu ya mashabiki wa timu yao siku ya Jumamosi wakati Yanga itakapokuwa inacheza nyumbani dhidi ya Wolaitta Dicha mchezo wa mtoano kuwania nafasi ya kucheza hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika. Kamusoko amesema kipindi hiki ambacho timu ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wanahitaji zaidi sapoti ya mashabiki kuliko kitu kingine. “Timu inapokuwa haifanyi viruri ndiyo inahitaji sapoti kubwa ya mashabiki kwa hiyo nawaomba mashabiki waje kwa wingi kuisapoti timu yao kwa sababu...

Like
803
0
Friday, 06 April 2018
Rufani ya Michael Richard Wabura Bado Kitendawili
Sports

Rufani ya Michael Richard Wambura bado kitendawili na hili ni baada ya kamati ya rufaa kuchelewa kutoa maamuzi. Je ni sahihi maamuzi kuchelewa ili haki itendeke au si sahihi kwa kuwa kamati hii imepokea taarifa ya pande zote mbili? Hebu tuzungumze hapa juu ya kile unachokiona kwenye sakata hili kwa kutoa comment yako....

Like
611
0
Thursday, 05 April 2018
Yanga kuwakosa wachezaji wanne kikosi cha kwanza kombe la shirikisho
Local News

Klabu ya soka ya Yanga ambayo Jumamosi hii inatarajiwa kucheza na Welayta Dicha ya Ethiopia katika kombe la shirikisho barani Afrika, itawakosa wachezaji wake wanne muhimu Wachezaji hao ambao wataukosa mchezo huo ni Kelvin Yondani, Obrey Chirwa, Papy Tshishimbi na Said Makapu. Wachezaji hao wataukosa mchezo huo kutokana na kuwa na kadi nyingi za njano ambazo walipata kwenye michuano ya kombe la klabu bingwa Afrika. Wapinzani hao wa Yanga wanatarajiwa kuwasili mchana wa leo (Jumatano) kwenye uwanja wa ndege wa...

Like
717
0
Wednesday, 04 April 2018
RONALDO REKODI MPYA UGENINI
Sports

Ni Cristiano Ronaldo tena anaendelea kuwanyamazisha wapinzani wa Real Madrid, dakika ya 3 tu alipiga shuti lake la 9 kwa Gianluigi Buffon na kufunga bao lake la 8 dhidi ya golikipa huyo, hili likiwa bao la kwanza katika mchezo huu. Dakika ya 64 Cristiano Ronaldo tena aliifungia Real Madrid bao la pili na kumfanya kuwa mchezaji katika historia aliyewafunga Juve mabao mengi (9) kabla ya Marcelo kufungia bao la 3 Real Madrid. Hii ni mara ya kwanza Juventus wanaruhusu kufungwa...

Like
943
0
Wednesday, 04 April 2018
TETESI: Man United kumuongezea mkataba mrefu zaidi De Gea, kumpatia mshahara wa kufa mtu
Sports

Klabu ya soka ya Manchester United hawana mpango kabisa ya kumuachia David de Gea kwenda Real Madrid. Man United inampango wa kumuongeze mkataba wa miaka mitano mchezaji huyo na kumlipa mshahara wa paundi 350,000 kwa wiki kabla ya kuanza kwa kombe la dunia, hiyo ni kwa mujibu wa gazeti la The Sun. De Gea ambaye alitua United mwaka 2011 akitokea Atletico Madrid, anatarajia kumaliza mkataba wake mwaka 2019. Golikipa huyo amekuwa tegemezi katika kikosi cha Man United huku katika msimu...

Like
516
0
Tuesday, 03 April 2018
Simba Sc Mzigoni Leo Kuikabili Njombe Mji
Sports

Simba itakuwa inakibarua dhidi ya wenyeji wa mji huo, Njombe Mji FC, katika mchezo wa ligi kuu bara utakaopigwa majira ya saa 10 jioni leo. Njombe Mji itakuwa inaikaribisha Simba ikiwa na kumbukumbu mbaya za kuondoshwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho na Stand United ya mjini Shinyanga. Tayari timu zote mbili zimeshakamilisha maandalizi kuelekea mchezo mchezo huo wa...

Like
580
0
Tuesday, 03 April 2018
Mtibwa Sugar Wawapania Azam, Kombe la FA
Sports

Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amejipambanua na amesema wamejiandaa vizuri kuhakikisha leo lazima wawafunge Azam FC na kutinga hatua ya Nusu Fainali Kombe la FA. Mtibwa Sugar inacheza mechi ya robo fainali ya Kombe la FA kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam na Katwila anaamini wamejiandaa hasa. “Azam wana timu nzuri lakini kweli tumejiandaa sana na tuko Dar es Salaam kutafuta matokeo ya mechi hiyo,” alisema. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na...

Like
487
0
Saturday, 31 March 2018
Yanga VS Singida United, Kesho Mtoto Hatumwi Dukani Kombe la FA
Sports

Kikosi cha Yanga kesho kitashuka dimbani Uwanja wa Namfua kwa ajili ya kucheza dhidi ya Singida United kutafuta nafasi ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la FA. Yanga ambayo ilikuwa imeweka kambi ya muda mfupi mjini Morogoro, tayari ipo Singida huku ikielezwa wachezaji wake wote wapo fiti kiafya. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema wachezaji wote wapo sawa kuelekea mchezo huo, na jukumu limesalia kwa Mwalimu, George Lwandamina, kuamua nani amuanzishe. Singida itakuwa inaikaribisha Yanga...

Like
726
0
Saturday, 31 March 2018
Tanzania Yaombwa Kuwa Mwenyeji Kombe la Kagame
Sports

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka CECAFA ikiomba Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Kagame kwa ngazi ya klabu. TFF imepokea barua hiyo leo ikiitaka Tanzania iwe mwenyeji wa michuano hiyo ambayo mara nyingi hufanyika jijini Dar es Salaam inapotokea Tanzania kwa mwenyeji. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, amethibitisha shirikisho hilo kupokea barua hiyo na kuahidi kuifanyia kazi. “Ni kweli tumepokea barua ya CECAFA ikiomba Tanzania tuwe wenyeji wa michuano ya...

Like
419
0
Saturday, 31 March 2018
Teknolojia ya VAR yaibeba Italia dhidi ya Uingereza
Sports

Teknolojia ya video (VAR) imeibeba timu ya taifa ya Itali kufanikiwa kuchomoza na sare ya bao 1 – 1 dhidi ya Uingereza mchezo wa kirafiki. Wakati Uingereza ikifanikiwa kuongoza mchezo huo baada ya kupata bao lake dakika ya 26 kupitia kwa Jamie Vardy kunako dakika ya 87 mchezaji wa Itali, Lorenzo Insigne akaisawazishia timu hiyo kwa msaada wa teknolojia ya VAR huko Wembley. Timu ya taifa ya Uingereza ilikuwa ikitarajia kupata ushindi wake wa pili baada ya kuifunga Netherlands kwa...

Like
541
0
Wednesday, 28 March 2018