Sports

ENGLAND: BLATTER NI KIKWAZO KUANDAA KOMBE LA DUNIA 2026
Slider

Baada ya kukosa nafasi ya kuandaa kombe la dunia mwaka 2018 kwa kuambulia kura mbili na kubwagwa na urusi katika nafasi hiyo sasa England inafikiria kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa wa fainali za kombe la dunia mwaka 2026. Mwenyekiti wa shirikisho la kandanda nchini England Greg Dyke amesema jaribio lao litategemea kama rais wa FiFa Sepp Blatter hataendelea kusalia madarakani lakini pia kuteuliwa kwa mwingereza David Gill katika kamati ya kuu ya uongozi ya Fifa...

Like
261
0
Wednesday, 25 March 2015
JUAN MATA NYOTA WA MCHEZO, LIVERPOOL NA MAN U
Slider

Liverpool imeshindwa kuutumia uwanja wake wa nyumbani katika mchezo wake na klabu ya Manchester United baada ya kuruhusu kupokea kichapo cha magoli 2 kutoka kwa Manchester huku wakiambulia goli moja lakufuta machozi lilifungwa na Daniel Sturridge. Goli la kwanza la Man U lilifungwa na Juan mata ambapo Liverpool iliamua kufanya mabadiliko kuimarisha safu yake ya ulinzi kwakumuingiza nahodha wa timu hiyo Steven Gerrard kuchukua nafasi ya Adam Lalana aliyepata jeraha. Hata hivyo nahodha huyo hakupata nafasi ya kuendelea na mchezo...

Like
493
0
Monday, 23 March 2015
BARCELONA YAILAZA REAL MADRID 2-1
Slider

Klabu ya soka ya Hispania Real Madrid jana imepokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa mahasimu wao Barcelona Goli la kwanza la Barcelona lilitiwa nyavuni na Jeremy Mathieu katika dakika ya 19 wakati bao la pili likifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Luis Suarez katika dakika ya 56. Huku goli pekee la kufutia machozi la Real Madrid likifungwa na mshambuliaji machachali duniani Christiano Ronaldo dakika ya 31 bao lililodumu hadi mwisho wa mchezo huo maarufu kama El Clasico wenye...

Like
283
0
Monday, 23 March 2015
ANDY MURRAY ATANGAZA NDOA
Slider

Huenda mwaka wa 2015 ukawa na kumbukumbu nzuri katika maisha mcheza tennis  Andy Murray kufuatia mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake Kim Sears April mwaka huu. Mchezaji huyo raia wa Scotland amerejea katika nafasi ya nne duniani baada ya awali kuporomoka kutokana na upasuaji wa mgongo aliofanyiwa. Furaha ya mchezaji huyo inachagizwa zaidi kutokana na rekodi mpya aliyojiwekea baada ya kufanikiwa kutinga nusu fainali katika mashindano ya Indian Wells yanayoendelea huko California...

Like
322
0
Friday, 20 March 2015
LOUIS VAN GAAL ATANGAZA KUSTAAFU ATAKAPOMALIZA KUITUMIKIA MANCHESTER UNITED
Slider

Meneja wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal ametangaza kustaafu soka atakapomaliza kuitumikia Man U. Meneja huyo mwenye umri wa miaka 63 anamkataba wa kuinoa Manchester United hadi mwaka 2007 baada ya kujiunga na klabu hiyo kwenye msimu wa kiangazi. Van Gaal ambae ni raia wa Uholanzi amesema hanampango wa kuendelea na fani hiyo kwani anahitaji kuutumia muda wake na familia yake Kocha huyu amewahi kuzinoa timu kadhaa barani Ulaya ikiwemo Barcelona, Bayern Munich na Ajax Akizungumza kwenye mahojiano...

Like
306
0
Friday, 20 March 2015
MANCHESTER CITY YAAGA MICHUANO YA MABINGWA
Slider

Manchester  City jana imetolewa kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya na kuwa timu ya mwisho kutoka ligi ya Uingereza kuyaaga mashindano hayo Kwa matokeo hayo ya jana yanaandika historia nyingine kwakuwa ligi ya Uingereza kushindwa kuingiza timu katika hatua hiyo ikiwa ni mara ya pili katika misimu mitatu. Katika mchezo uliochezwa jana huko Hispania klabu ya Barcelona ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Uingereza Man City katika uwanja wa Nou Camp na mechi hiyo kumalizika kwa Barcelana kuongoza kwa bao moja...

Like
426
0
Thursday, 19 March 2015
YANGA KILELENI MSIMAMO WA LIGI KUU
Slider

Yanga kinara msimamo wa ligi kuu Tanzania bara, katika mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa taifa jijini Daresalaam klabu ya soka ya Yanga ilikuwan mwenyeji wa Kagera Sugar ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-1. Bao la kwanza la Yanga lilifungwa na Simon Msuva kwa mkwaju wa penati mnamo dakika ya nane baada ya kufanyiwa madhambi na mchezaji wa Kagera Benjamin Asukile, katika dakika ya 15 Hamisi Tambwe aliiandikia Yanga bao la pili magoli yaliyoifanya...

Like
316
0
Thursday, 19 March 2015
NGASA KUIAGA YANGA!!!
Slider

Hatuwezi kumzuia Ngasa kuiaga Yanga kama atapata timu nje na Tanzania pia ni heri na faraja kwetu kwani lengo ni kukuza mpira wa nyumbani kwa kuona wachezaji wanafika mbali kupitia Yanga Kama ataona amepata nafasi ya kusonga mbele sisi hatuna kipingamizi kwani mpira ni biashara Hayo yamesemwa na afisa habari wa klabu ya Yanga Jerry Mulo alipohojiwa kupitia kipindi cha Sport Headquarters Mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu wa ligi na tayari tumeanza mazungumzo nae ila hatutamlazimisha kubaki Yanga...

Like
594
0
Wednesday, 18 March 2015
ATLETICO MADRID YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA KWA MIKWAJU YA PENATI
Slider

Atletico Madrid imetinga robo fainali za michuano ya Mabingwa barani Ulaya baada ya kuitandika Bayer Leverkusen kwa mikwaju ya penati. Klabu hiyo ya nchini Hispania ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Bayer Leverkusen kutokea Ujerumani. Hatua hiyo ya kutembezeana mikwaju ya penati ilikuja baada ya dakika 120 za mchezo huo kumalizika huku wenyeji Atletico Madrid wakiwa mbele kwa goli moja Goli hilo moja lilishindwa kuifanya klabu hiyo kuibuka na ushindi kutokana na matokeo ya mchezo wa awali ambapo Leverkusen iliitandika Atletico...

Like
509
0
Wednesday, 18 March 2015
ARSENAL YAAGA MICHUANO YA KLABU BINGWA ULAYA
Slider

Arsenal imeshindwa kuifikia hatua ya robo fainali ya michuano ya Mabingwa huko barani Ulaya richa ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 wakiwa ugenini katika mchezo wao wa jana usiku. Klabu hiyo ya washika bunduki jana imeshindwa kusonga mbele kutokana na kosa la kuruhusu magoli mengi wakiwa nyumbani pale walipopokea kichapo cha 3-1 dhidi ya Monaco. Kwa matokeo hayo klabu hiyo itaikosa hatua hiyo muhimu ya robo fainali ikiwa ni mara ya tano mfululizo Goli la kwanza la Arsenal lilitiwa...

Like
281
0
Wednesday, 18 March 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA DK PANJUAN KWA YASIN ABDALLAH OSTAZI
Slider

Unaweza kusikiliza vibonzo hivi pia kupitia vipindi vyetu vya michezo ambavyo ni Sport Headquarters na E...

Like
424
0
Monday, 16 March 2015