Sports

MATOKEO YA EUROPA LEAGUE
Slider

Matokeo ya Europa League jana usiku tarehe 12-march 2015. Everton 2 – Dynamo Kiev Roma 1 – 1 Fiorentina Wolfsburg 3 – 1 Inter Millan Villareal 1 – 3 Sevila Napoli 3 – 1 Dynamo Moskva Club Brugge 2 – 1 Beşiktaş Dnipro Dnipropetrovsk 1 – 0 Ajax Zenit 2 – 0...

Like
401
0
Friday, 13 March 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA DK PANJUAN KWA MWENYEKITI WA BODI YA LIGI
Slider

Unaweza kusikiliza na kudownload hapa kibonzo cha Dk. Panjuan kupitia kipindi cha Sports Headquarters...

Like
613
0
Friday, 13 March 2015
DONDOO ZA MICHEZO
Slider

Beki wa kimataifa wa Argentina Martin Demichelis ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Manchester City mpaka msimu wa 2015/2016.   Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Diego Forlan ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Uruguay. Forlan mwenye umri wa miaka 35 ameiwakilisha timu ya taifa ya Uruguay katika michezo 112 huku akifunga magoli...

Like
609
0
Thursday, 12 March 2015
FLOYD MAYWEATHER: DUNIA ITASIMAMA KUSHUHUDIA PAMBANO LANGU
Slider

Floyd Mayweather amesema dunia itasimama kushuhudia pambano lake na Manny Pacquiao ifikapo tarehe mbili mwezi wa tano mwaka huu ambapo pambano hilo limepangwa kufanyika. Mayweather ambae anarekodi ya kushinda mapambano yake yote 47 amemwambia mpinzani wake Pacquiao kwenye mkutano na waandishi wa habari huko Los Angeles siku ya jumatano kuwa hakuwa tayari kukubali kushindwa. Pacquiao pia kwa upande wake mapema alisema kuwa atampiga bondia huyo bora wa Amerika anaesifika kwa ubora kwenye mchezo wa masumbwi. Mpiganaji huyo raia wa Ufilipino...

Like
300
0
Thursday, 12 March 2015
CHELSEA YAAGA MASHINDANO YA KLABU BINGWA ULAYA
Slider

Chelsea jana imeyaaga mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya katika uwanja wao wa nyumbani huko Stamford Bridge walipowakaribisha Paris St-Germain Kikosi cha PSG kikiwa na wachezaji kumi uwanjani baada ya talisman Zlatan Ibrahimovic kupewa kadi nyekundu baada ya kumchezea madhambi Oscar. Paris Saint-Germain inasonga mbele kwenye hatua ya robo fainali kwenye michuano hiyo ya klabu bingwa kwa tofauti ya magoli baada ya sare ya magoli 2-2 na klabu ya Chelsea. Chelsea jana ilizidiwa kimchezo na PSG katika uwanja wa nyumbani...

Like
326
0
Thursday, 12 March 2015
ANTONIO VALENCIA AWAOMBA RADHI WACHEZAJI NA MASHABIKI WA MAN U
Slider

Antonio Valencia ameomba radhi kwa wachezaji wenzake wa Manchester United pamoja na mashabiki baada ya kufanya makosa yaliyopelekea Arsenal kuiondoa Man u kwenye robo fainali za kombe la FA mapema jumatatu. Kitendo cha timu hiyo kufungwa katika uwanja wa nyumbani kimeipa pigo timu nzima pamoja na mashabiki. Kupitia ukurasa wake wa instagram Antonio Valencia aliwaomba radhi wadau na wapenzi pamoja na wachezaji na kuwataka kuangalia mbele...

Like
482
0
Wednesday, 11 March 2015
CRISTIANO RONALDO AVUNJA REKODI YA MAGOLI LIGI YA MABINGWA
Slider

 Ronaldo avunja rekodi ya magoli kwenye ligi ya mabingwa ambapo mshambuliaji huyo alishinda mabao mawili kwenye mechi ya jana na kufikisha idadi ya magoli 78. Klabu ya real Madrid hapo jana ilipokea kichapo cha mabao 4-3 kutoka kwa Schalke kwenye uwanja wa nyumbani. Aidha Cristiano Ronaldo ambae ni mchezaji wa kimataifa kutoka Ureno ameapa kutozungumza chochote kwenye hadhara hadi mwisho wa msimu wa ligi hiyo   10 BORA WANAOONGOZA IDADI YA MAGOLI BARANI ULAYA PAMOJA NA UEFA SUPER CUP  ...

Like
439
0
Wednesday, 11 March 2015
ROY KEANE: VAN GAAL APEWE MUDA KUKIJENGA KIKOSI IMARA
Slider

Aliekuwa Captain wa Manchester United Roy Keane ameesema ni janga kubwa kwa klabu hiyo kushindwa kumaliza hatua ya nne bora ila anaamini kuwa meneja wa sasa wa timu hiyo Louis van Gaal anahitaji muda wa takribani miaka miwili ama mitatu kukijenga kikosi hicho. Ndoto za klabu hiyo kwenye michuano ya FA zilifutika hapo jana baada kupokea kichapo cha magoli 2-1 kutoka kwa wapinzani wao wa jadi Arsenal katika robo fainali za michuano hiyo Keane ameeleza kuwa si jambo la kushangaza...

Like
287
0
Tuesday, 10 March 2015
DANNY WELBECK AIONDOA MAN U KOMBE LA FA
Slider

Danny Welbeck amerejea katika viwanja vya old Trafford kwenye mechi iliyochezwa jana ambapo timu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 2-1 baada ya kuichapa Manchester united kwenye uwanja wa nyumbani Mshambuliaji wa Uingereza Welbeck aliejiunga na klabu ya Arsenal akitokea Man u alishinda goli lililoipa Arsenal ushindi wao wa kwanza katika viwanja hivyo tangu mwaka 2006 Goli la kwanza la Arsenal lilifungwa na Nacho Monreal katika kipindi cha kwanza cha mchezo huolakini baadae Wayne Rooney alisawazisha bao hilo Goli hilo...

Like
258
0
Tuesday, 10 March 2015
KOCHA WA ZAMANI WA YANGA, MICHO AJIUNGA NA AL HILAL YA SUDANI
Slider

Kocha wa zamani wa Yanga, Micho ajiunga na klabu ya Al Hilal ya Sudani na kuitosa timu ya Taifa ya Uganda Timu hiyo ya sudani imemtangaza mserbia Milutin ‘Micho’ Sredojevic kama kocha mkuu w timu hiyo baada ya kikao cha bodi siku ya jumamosi Al Hilal imemaliza mkataba wake na kocha aliekuwa akikinoa kikosi hicho Patrick Osimes mwezi uliopita. “Bodi imekutana jumamosi katika makao makuu ya klabu huko Omdurman na kufikia maamuzi mengi ikiwemo kumchagua Micho kuwa kocha mkuu” ilitangaza...

Like
508
0
Monday, 09 March 2015
ARSENAL YAICHAPA 2-1 QPR
Slider

Klabu ya Arsenal hapo jana imefanikiwa kujinususru na balaa la kuondolewa kwenye michuano ya Champions ligi kwa ushindi wa magoli mawili ndani ya dakika tano kwenye mchezo kati yao na QPR huko katika viwanja vya Loftus Road siku ya jana ambapo mechi hiyo ilimalizika kwa Arsenal kuibuka na ushindi wa 2-1 Kocha wa timu ya Arsenal alikuwa kwenye wakati mgumu baada ya kupoteza mchezo kati yao na Monaco baada ya kupokea kichapo lakini kwa ushindi huo wa jana unaiweka klabu...

Like
241
0
Thursday, 05 March 2015