Sports

ADAM JOHNSON AKABILIWA NA KESI YA KUWA MAHUSIANO NA MTOTO WA MIAKA 15
Slider

Mshambuliaji wa klabu ya  Sunderland  Adam Johnson ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye umri wa miaka 15. Polisi wa huko Durham wamethibitisha kuwa  mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alifikishwa kwenye kituo hicho cha polisi kwa ajili ya mahojiano na baadae aliachiwa. Kwa upande wa klabu ya Sunderland AFC mchezaji huyo kwa sasa amewekwa kando ili kupisha uchunguzi wa polisi, kukamatwa kwa mchezaji huyo wa ligi kuu ya Uingereza kuliripotiwa na gazeti...

Like
333
0
Wednesday, 04 March 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA DK PANJUAN KWENYE SPORTS HEAD QUARTERS
Slider

miongoni mwa yaliyosikika leo kwenye SPH ni hii interview unaweza kuisikiliza na kudownload hapa....

1
784
0
Tuesday, 03 March 2015
AUDIO: KIBONZO CHA DK PANJUAN KWENYE SPORTS HEADQUARTERS
Slider

Kama ulipitwa na sehemu hii ya mahojiano sikiliza hapa  ...

Like
1890
0
Monday, 02 March 2015
HONGERA CHELSEA
Slider

Jose Mourinho ayataka makombe mengine baada ya kushinda kwenye Capital One Cup Meneja huyo wa Chelsea kwa sasa anatazamiwa kuwekeza nguvu kuhakikisha anayaramba makombe mengine baada ya ushindi wa Capital One Cup hapo jumapili Ushindi huo wa The Blues umekuja mara baada ya Terry strike na Kyle Walker kuzichungulia nyavu za Tottenham huko Wembley mabao yaliyopelekea timu hiyo kuibuka na ushndi wa 2-0 Mourinho ambae kwa mara ya kwanza alikuwa meneja wa klabu ya Chelsea kati ya mwaka 2004 hadi...

Like
379
0
Monday, 02 March 2015
WENGER AMWAGIA SIFA OLIVIER GIROUD
Slider

Arsene Wenger amemmwagia sifa za kutosha Olivier Giroud’s kuwa na uwezo mkubwa kiakili na kusisitiza kuwa hakudhamiria kumpumzisha mshambuliaji huyo Giroud amekuwa benchi baada ya kukosa nafasi kadhaa za kushinda magoli kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya na kupokea kichapo cha 3-1 walipokutana na Monaco. Meneja huyo wa Arsenal bado anaimani ya kutosha kwa mshambuliaji huyo kufuatia ushindi wa magoli ya 2-0 dhidi ya Everton kwenye uwanja wao wa nyumbani huko Emirates ambapo Giroud kuziona nyavu na kuandika goli...

Like
292
0
Monday, 02 March 2015
KWENYE SPORTS HEAD QUARTERS LEO NA DK PANJUANI
Slider

...

Like
809
0
Thursday, 26 February 2015
UEFA: MONACO YAILAZA ARSENAL 3-1
Slider

Matumaini ya Arsenal kufikia robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya kwa mara ya kwanza toka mwaka 2010 yanakutana na vikwazo mara baada kupokea kichapo cha 3-1 kutoka kwa Monaco katika uwanja wao wa nyumbani huko Emirates Meneja wa timu ya Arsenal ametupia lawama kwa wachezaji wake kwa kusema kuwa kiakili hawakuwa wamejiandaa kwenye mchezo huo baada ya kuruhusu magoli yaguse mlango wao kutoka kwa Geoffrey Kondogbia, Dimitar Berbatov na Yannick Ferreira Alex Oxlade aliipatia bao Arsenal lililodumu...

Like
383
0
Thursday, 26 February 2015
VIDEO: FAHAMU KIPAJI KINGINE CHA ADEBAYOR MBALI NA KUSAKATA KABUMBU
Slider

Kama ukiulizwa orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu barani Afrika wenye uwezo wa kucheza na mapenzi ya muziki pia basi bila shaka hutomsahau Emmanuel Adebayor. Richa ya uwezo wake wa kusakata kabumbu Adebayor pia ni dancer mzuri saana katika kulithibitisha hili tazama hii video Mchezaji huyo ambae ni raia wa Togo kwa sasa anaichezea klabu ya Tottenham Hotspur klabu ya ligi kuu ya Uingereza Mchezaji huyo pia aliwahi kuchezea Monaco, Arsenal, na Manchester City...

Like
343
0
Wednesday, 25 February 2015
LUIS SUAREZ AFANYA KWELI ETIHAD
Slider

Kwa misimu saba mfululizo Barcelona wameifikia robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya wakati klabu ya Manchester City haikuwahi kufikia hatua hiyo kwenye historia yake. Katika mchezo uliochezwa hapo jana na kumalizika kwa Barcelona kuichapa Manchester City 2-1 Luis Suarez aliziona nyavu mara mbili kwenye ardhi ya Uingereza alipotokea kabla ya kusaini na klabu ya Barcelona na kuweza kuifundisha adabu Manchester City huko katika viwanja vya...

Like
250
0
Wednesday, 25 February 2015
TUZO ZA OSCAR: VAZI LA X- WA CRISTIANO RONALDO LAZUA UTATA
Entertanment

Kama haukubahatika kutazama sherehe za ugawaji wa tuzo za Oscar huko Marekani basi hii inakuhusu Tuzo hizo za awamu ya 87 za Oscar zilifanyika February 22, 2015, huko Hollywood Dolby Theatre kwenye jiji la Los Angels. Katika sherehe hizo mastar wengi wa Hollywood walihudhuria akiwemo aliyekuwa mpenzi wa mchezaji nyota duniani Cristiano Ronaldo Irina Shayk. Vazi la mrembo huyu liliwaacha vinywa wazi baadhi ya wanaume waliokuwa kwenye sherehe...

Like
395
0
Tuesday, 24 February 2015
KOMBE LA DUNIA 2022 KUANZA NOVEMBER MPAKA DECEMBER
Slider

Kuelekea michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 huko Qatar kikosi maalum cha shirikisho la mpira wa miguu duniani kimetoa mapendekezo ya michuano hiyo kufanyika mwezi wa kumi na moja hadi wa kumi na mbili. Maofisa hao walikutana huko Doha kujadili mapendekezo kufuatia hofu ya hali ya hewa katika msimu wa kiangazi inaweza kuwaathiri wachezaji na mashabiki. Msimu wa kiangazi huko Qatar joto huongezeka hadi kufikia nyuzi joto 40C wakati katika kipindi cha November hadi December kiwango hicho hushuka hadi...

Like
243
0
Tuesday, 24 February 2015