Sports

MANCHESTER UNTD USO KWA USO NA ARSENAL KOMBE LA FA
Slider

Maasimu wa jadi katika ligi ya mpira wa miguu huko Uingereza wanarajia kukutana kwenye mechi za kombe la FA ambapo Arsenal watasafiri kwenda Old Trafford kuikabili Manchester Untd. Mchezo huo unatajwa kuwa ni mchezo unaosubiriwa kwa hamu katika hatua ya robo fainali ambapo timu hizo zinatarajiwa kushuka dimbani tarehe 7 au 8 ya mwezi Machi. Manchester Untd imeingia kwenye hatua hiyo baada ya kuilaza Preston North End mabao 3-1 siku ya jumatatu. Mbali na mchezo huo wa Manchester Untd na...

Like
451
0
Tuesday, 17 February 2015
MANNY PACQUIAO: MAYWEATHER JNR ATATANGAZA PAMBANO LETU
Slider

Floyd Mayweather Jnr ameikana taarifa inayodai kuwa mpinzani wake Manny Pacquiao ametilia saini mkataba wa kupambana nae huko Las Vegas ifikapo tarehe mbili mwezi wa tano ila Mayweather ameeleza kwamba anamatumaini juu ya pambano hilo kufanyika. Mbabe huyo kutoka nchini Marekani ameonyesha utayari wake juu ya pambano hilo na kusisitiza kwamba bado hakuna makubaliano yoyote yakimaandishi yaliyosainiwa kuthibisha kufanyika kwa pambano hilo. Mayweather aliyasema hayo alipokuwa kwenye NBA All-Star Game katika viwanja vya Madison Square Garden siku...

Like
331
0
Monday, 16 February 2015
SERGIO AGUERO AUTUMIA MUDA WA MAPUMZIKO NA MESS BARCELONA
Slider

Sergio Aguero na mpenzi wake Karina Tejeda mwishoni mwa wiki hii walipata nafasi yakutembelea Barcelona na kukutana na mchezaji mwenzake wa Argentina Lionel Mess akiwa na rafiki yake Antonella Roccuzzo. Mshambuliaji huyo wa klabu ya Manchester City Aguero amekuwa akihusishwa nana tetesi za kuhamia Barcelona, hata hivyo vyombo vya habari nchini Hispania vinaamini Messi anamuhitaji Aguero ajiunge na klabu hiyo ili waweze kucheza pamoja. Baadae Aguero alichukua ndege binafsi kurejea nchini Uingereza tayari kujiandaa na michezo ya Ligi kuu nchini...

Like
462
0
Monday, 16 February 2015
PAUL SCHOLES AKIFUNGUKIA KIKOSI CHA MANCHESTER UNTD
Slider

Kiungo wa zamami wa Manchester United Paul Scholes hali ya uchezaji wa klabu hiyo kwa sasa ni duni kutokana na kushindwa kushambulia kwakufuata misingi ya ushambulizi iliyokuwa ikitumika enzi zao. Aliongeza kuwa ili umshinde mpinzani wako unatakiwa kushambulia na pia ili ushambulie unahitaji kuikabili hatari iliyopo mbele yako, Scholes alisema kwamba kwenye kikosi hicho cha sasa ni wachezaji wachache wenye uthubutu wakuikabili hali ya hatari ili waweze kuibuka na ushindi Paul amedai kwa sasa hafuraishwi na mwenendo wa kikosi hicho...

Like
391
0
Friday, 13 February 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU KWA BAKARI IDDI KWENYE MAKAO MAKUU YA MICHEZO
Slider

BAKARI IDD-MCHEZAJI WA ZAMANI WA BDF XI BAKARI IDD kaanza kwa kujitambulisha pamoja na kutueleza alivyofika katika klabu ya bdf xi. BAKARI je unakumbuka ni mchezo gani ulikuwa mgumu katika kipindi chote ulichokuwa na klabu hiyo na ni timu gani mlicheza nayo. kunamchezaji yoyote mliekuwa nae kipindi hicho na sasa nikiongozi wa BDF XI. Je hakuna kiongozi yoyote wa BDF XI ambaye umewasiliana nae katika kuelekea mchezo huo na mliongea nini. Kunautofauti gani wa hali ya hewa ya Gaborone na...

Like
571
0
Friday, 13 February 2015
TIGER WOODS ATANGAZA KUPUMZIKA GOFU KWA MUDA
Slider

 Eldrick Tont “Tiger” Woods alizaliwa Dec 30 mwaka 1975 raia wa marekani mchezaji wa gofu, Tiger woods aliwahi kushikilia rekodi ya kuwa mwanamichezo mwenye mkwanja mrefu duniani kwa miaka kadhaa. Mwanamichezo huyu ametangaza kupumzika kidogo kwenye michezo hiyo ya gofu kwa muda usiojulikana. Maaamuzi haya ya Tiger Wood yanakuja kufuatia matokeo mabovu aliyoyapata kwenye michuano yake. Mchezaji huyo mahili duniani ameeleza kuwa kwa sasa anahitaji kupumzika na kuwa karibu na watu. Tiger wood amesema atarejea kwenye tasnia ya mchezo...

Like
352
0
Thursday, 12 February 2015
MENEJA WA EVERTON ALIA NA CHELSEA
Slider

Meneja wa klabu ya Everton Roberto Martinez amewashutumu wachezaji wa klabu ya Chelsea kwa kujaribu kumuongoza na kumzonga refa baada ya klabu yake kupokea kichapo cha 1-0 wakati Chelsea ilipokuwa kwenye uwanja wa nyumbani huko Stamford Bridge. “ni wazi kuwa timu iliyokwenye uwanja wa nyumbani inajaribu kumshawishi refa” alisema Martinez kuiambia BBC. Jitihada za kuzungumza na Mourinho ziligonga mwamba mara baada ya kukatisha interview alipoulizwa kuhusu nidhamu za wachezaji wake kufuatia mchezo huo kutawaliwa na utata Bao la Chelsea...

Like
331
0
Thursday, 12 February 2015
CHRIS SMALLING AIPELEKA MAN U NAFASI YA TATU
Slider

Beki wa Manchester United Chris Smalling amekiri timu yake haikufanya vizuri kwenye nusu ya kwanza ya mchezo wao dhidi ya Burnley ambapo mchezo huo ulimalizika huku Manchester united wakiwa ni washindi wa 3-0. Ushindi huo wa Manchester unawarudisha kwenye nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya Uingereza. Smalling aliibeba klabu yake kwa kushinda magoli mawili ambapo pia kwenye mchezo huo Manchester iliwapoteza Phil Jones na Daley Blind kutokana na majeraha Mkwaju kutoka kwa Kieran Trippier ulimuwezesha Danny Ings kuiandikia...

Like
260
0
Thursday, 12 February 2015
MASWALI NA MAJIBU YA PATRIC RWEMAMU KWENYE MAKAO MAKUU YA MICHEZO
Slider

(1) mwanzilishi wa simba B anatueleza sababu zilizo pelekea kuanzishwa kwa timu hiyo na wakina nani walikua waanzilishi. (2)Lengo la kuamua kuanzisha simba B ni nini (3)Kwa nini wachezaji wengi waliotoka simba B wapo katika klabu nyingine na hili simba wanalitazavipi. (4)Changamoto mnazokutana nazo ndani ya simba mnakabiliana nazo vipi? Je viongozi wa simba wanatoa ushirikiano katika hili.   (5)Kuliwahi kutokea hali ya kutoelewana kati yenu na viongozi wa juu wa simba nahii nikutokana na ninyi kugoma kuwatumia wachezaji kutoka...

Like
390
0
Tuesday, 10 February 2015
IVORY COAST YATWAA UBINGWA AFCON
Slider

Ivory Coast imefunga ukurasa wa kombe la mataifa ya Afika AFCON kwa kuibuka na ushindi dhidi ya majirani wake wa Ghana kwa mikwaju ya penati ya 9-8 kwenye ardhi ya Equatorial Guinea ndani ya jiji la la Bata baada ya kutoka sare ya bila kufungana “tunaupeleka huu ushindi kwa waivory coast” alisema kocha mfaransa Herve Renard ambae pia aliipatia ushindi Zambia dhidi ya Ivory Coast katika fainali za mwaka 2012 Ushindi huo wa Ivory Coast na Zambia chini ya Herve...

Like
349
0
Monday, 09 February 2015
20 WAFARIKI, LIGI KUU YASIMAMISHWA MISRI
Global News

MISRI  imesimamisha kwa muda usiojulikana ligi kuu ya nchi hiyo baada ya watu zaidi ya  20 kufariki dunia. Kati ya waliofariki wengi wao ni Mashabiki wa timu ya Zamalek ambao walifariki kutokana na msongamano wakati Polisi walipowafyatulia mabomu ya machozi baadhi ya mashabiki waliokuwa wakijaribu kuingia kwa nguvu ndani ya uwanja wakati timu hiyo ilipokuwa ikipambana na timu ya ENPPI. (INI-P) Taarifa ya Wizara ya mambo ya ndani ya Misri inasema kuwa Mashabiki wa Zamalek walikuwa wanataka kuingia uwanjani kwa...

Like
566
0
Monday, 09 February 2015