Sports

TFF YATANGAZA DHAMIRA YA KUVIKATA VILABU VYA LIGI KUU ASILIMIA TANO YA FEDHA
Slider

Kamati ya utendaji ya shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF,jana tarehe 2 oct imetamka hadharani kuwa inadhamira ya kweli ya kuvikata vilabu vya ligi kuu asilimia 5 ya fedha za mdhamini,na kwamba yeyote anayepinga agizo hilo anajisumbua. Hatua ya tff,kujitokeza hadharani kutoa msimamo wake,imekuja baada ya umoja wa vilabu kumteua mwanasheria atakayewakingia kifua kupinga agizo hilo,ambalo wanaliona kama unyonyaji kwenye kiasi kidogo wanachokipata toka kwa mdhamini wa ligi. Tayari kwa upande wake bodi inayosimamia ligi kuu na ile ya...

Like
343
0
Friday, 03 October 2014
Chicharito Apelekwa Real Madrid Kwa Mkopo
Slider

Huku dirisha la usajiri ulaya llikitarajiwa kufungwa usiku wa leo, tiimu ya Manchester United wamempeleka kwa mkopo Javie Hernandez “Chicharito kwenda timu ya Real Madrid  na wako mbioni kumwachia Danny Welbeck kwenda Tottenham au Everton. Katika siku za hivi karibuni timu zote mbili yaani Manchester United na Real Madrid  zimeonyesha udhaifu katika safu ya ushambuliaji, ambapo  katika mechi dhidi ya Burnley Manchester United ilitoka suluhu huku Real Madrid ikichapwa jana usiku na Real Sociedad kwa mabao 3-1. Mchezaji huyo wa...

Like
615
0
Monday, 01 September 2014
Christiano Ronaldo Mchezaji Bora Ulaya
Local News

Mchezaji wa kimataifa wa Portugal anayechezea timu ya Real Madrid Christiano Ronaldo Jana usiku alitwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya kwa mwaka 2014/2015. Ronaldo alitwaa tuzo hiyo akiwashinda wachezaji Arjen Robben wa Bayern Munich Emmanuel Neur wa Bayern Munich katika sherehew iliyofanyika jijini Monaco nchini...

Like
420
0
Friday, 29 August 2014
Okwi Arudi Simba Asaini Mkataba Kama Mchezaji Huru Kulinda Kipaji Chake
Local News

Aliyekuwa msambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi jana jioni amesaini Simba SC kwa mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi hiki ambacho ana matatizo na Yanga SC ili kulinda kipaji chake, kwa kuwa hata FIFA haitaki mchezaji akae bila kucheza. Sasa wakati Yanga wanaendelea na kesi yao, mimi ninaomba nichezee Simba SC ili kulinda kipaji changu. Nimewaandikia...

Like
991
0
Friday, 29 August 2014
Arsenal Yaifunga 1-0 Besiktas Na Kufuzu UEFA Kwa Msimu Wa 17 Mfululizo
Local News

Timu Ya Arsenal ya nchini Uingereza jana usiku iliweza kufuzu kucheza mashindano ya kombe la UEFA kwa msimu wa 17  mfululizo kwa timu za Ulaya baada ya kuichapa timu ya Besiktas ya Uturuki kwa bao 1-0. Katika mchezo wa awali wiki mbili zilizopita timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana na hivyo kusubiri uamuzi wa nani atavuka katika mechi ya pili ya marudiano ambayo ilichezwa jana usiku. Alikuwa ni mchezaji mpya wa timu ya Arsenal aliyejiunga msumu huu akitokea timu...

Like
395
0
Thursday, 28 August 2014
Man UTD Yachapwa 4-0. Van Gaal Alaumu Wachezaji Wake
Local News

Baada ya kipigo cha magoli 4-0 dhidi ya timu yake,  Meneja wa klabu ya Man Utd Van Gaal amelia na kikosi chake ambacho jana usiku kiliendelea kupata matokeo mabaya tangu kuanza kwa msimu mpya wa soka huko nchini Uingereza Agosti 16. Kocha Van Gaal amesema kikosi chake hakikucheza vizuri wakati wa mchezo wa michuano ya kombe la ligi dhidi ya klabu ya Milton Keynes Dons ambao waliibuka na ushindi wa mabao manne kwa sifuri na kuwatupa nje ya michuano hiyo...

Like
455
0
Wednesday, 27 August 2014
Mtangazaji Wa Michezo Omari Katanga Naye Ajiunga EFM
Slider

Aliyekuwa mtangazaji wa Redio One katika kipindi cha “Spot Leo” Omary Katanga amefuata nyayo za pacha wake Maulid wa Kitenge aliyejiunga na kituo cha redio 93.7 E FM mapema wiki hii.Katanga na Kitenge walikuwa wote Redio One, na wataanza kusikika E FM kesho(Leo) katika kipindi cha michezo cha E Sports, ambacho kitakuwa kikiruka kila siku saa 7:00 – 7:30 usiku.Watangazaji hao wanajiunga na watangazaji wengine maarufu kama Dennis Ssebo, Dickson Ponnela (Dizzo 1), DJ Majay, na Kanky...

Like
1845
0
Monday, 25 August 2014
Maulid Kitenge Na Omari Katanga Waanza Rasmi Kazi EFM
Slider

Watangazaji mahiri wa michezo nchini, Maulid Kitenge na Omari Katanga jana usiku wameanza kazi rasmi katika kituo chako cha Radio EFM. Watangazaji hao mahiri ambao wote wamejiunga  wiki hii watakuwa wakitangaza katika kipindi cha michezo cha E Sports kinachoruka hewani kuanzia mida ya saa moja kamili usiku. Kwa kuanzia pia Mtangazaji Maulid Kitenge alikuwa uwanja wa ndege wa Kimataifa jana usiku kukutangazia moja kwa moja yaani live kuwasili kwa nyota wa timu ya wakongwe wa real...

Like
1809
0
Friday, 22 August 2014
Fifa nayo yaishukia Gor Mahia
Slider

NI taabu tupu kwenye ngome ya Gor Mahia kwani baada ya kuandamwa na Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru (KRA) kwa kutokulipa ushuru wa Sh118 milioni, sasa iko hatarini kufungiwa na Fifa kusajili wachezaji. Kwa wiki chache zilizopita, mambo hayajawa mazuri kwa mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Kenya ambao wamefilisika na kwa sasa wanawategemea mashabiki wao kutoa mchango ili kuwanusuru na janga la kifedha. Huku hayo yakizidi kuwaumiza kichwa, Fifa ambalo ni shirikisho la kimataifa la vyama vya soka, imetishia kuwashushia...

Like
380
0
Monday, 12 May 2014
Msanii LADY JAY DEE (@jidejaydee) ameula katika michuano ya Kombe la Dunia 2014
Entertanment

Msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ameula katika michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya kupata nafasi ya kuandaa wimbo kwa a jili ya michuano hiyo mikubwa zaidi ya soka duniani. Jaydee anayefahamika pia kama Komandoo au Anaconda, amepata fursa ya kuandaa wimbo maalum wa michuano hiyo ‘FIFA World Cup Anthem’ akishirikiana na wakali wawili David Correy wa Brazil na rapa Octopizzo wa Kenya. Katika wimbo huo, Lady Jaydee na Correy wameimba kwa lugha ya Kiingereza huku Octopizzo ‘akichana’ kwa...

Like
545
0
Friday, 11 April 2014