Sports

ALEKSANDAR TONEV APEWA ADHABU KUTOCHEZA MECHI NNE BAADA YA KUKUTWA NA HATIA YA UBAGUZI WA RANGI
Slider

  Winga wa klabu ya Celtic, Aleksandar Tonev amepewa adhabu ya kutokucheza mechi nne baada ya kukutwa na hatia ya kitendo cha ubaguzi wa rangi. Raia huyo wa Bulgaria mwenye umri wa miaka 24 alifanya kitendo hicho kwa beki wa klabu ya Aberdeen, Shay Logan mwezi tisa mwaka huu mchezo ambao Celtic waliibuka na ushindi wa goli 2-1.                   Uongozi wa klabu ya Celtic umesema adhabu hiyo ni kali na hawaamini kama...

Like
276
0
Friday, 31 October 2014
MANCHESTER UNITED YAFIKIA MAKUBALIANO NA AS MONACO JUU YA ADA YA KUMSAJILI RADAMEL FALCAO
Slider

  Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya AS Monaco juu ya ada ya kumsajili moja kwa moja mshambuliaji wa kimataifa wa Colombia, Radamel Falcao. Falcao alijiunga na klabu ya Manchester United kwa mkopo wa msimu mmoja akitokea AS Monaco kwa dau la euro million 8 huku kukiwa na kipengele kinachomruhusu kujiunga na mashetani wekundu mwisho wa mkataba huo. Manchester United chini ya Ed-Woodward wamesema wapo teyari kulipa kiasi cha euro million 56 na mshahara wa kiasi cha...

Like
404
0
Friday, 31 October 2014
SIMBA YAMTAKA HANS POP KUTOZUNGUMZA CHOCHOTE KUHUSU CLUB HIYO
Slider

Siku moja tu baada ya kamati ya utendaji ya Klabu ya Simba kumpiga stop mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu hiyo, Zakaria Hans pop kutozungumza chochote kuhusu Simba kwa kuwa taarifa zake hazina Baraka ya uongozi, mwenyekiti huyo wa usajili ameibuka na kusema hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kumzuia isipokuwa rais wa Simba pekee. hans ameyazungumza hayo baada ya E.sports kutaka kujua msimamo wake baada ya kauli ya iliyotolewa jana na katibu wa Simba stephen Ally. Wakati hayo...

Like
405
0
Thursday, 30 October 2014
MENEJA WA KASEJA AMFUNGUKIA MAXIMO, KAGERA SUGA YAANZA TAMBO DHIDI YA YANGA
Slider

Wakati kikosi cha Yanga kikiendelea na mazoezi huko Kahama ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Kagera sugar, uongozi wa Yanga umepewa masharti magumu kuhusu mlinda mlango wao Juma kaseja anaeonekana kusugua benchi kila kukicha ndani ya Klabu hiyo Akizungumza na E.sports, meneja wa Kaseja, Abdulfatah Saleh, amesema haoni sababu ya kocha Maxio Maximo kuendelea kumkalisha benchi mchezaji huyo mwenye sifa kuubwa hapa nchini Kikosi cha watengeneza sukari – Kagera sugar cha mjini Bukoba kimetoa tahadhari kwa vijana wa kocha maxio...

Like
375
0
Thursday, 30 October 2014
DONDOO ZA TENNIS- PARIS MASTERS
Slider

Bingwa nambari moja duniani katika mchezo wa Tennis, Novak Djokovic amefanikiwa kutinga katika hatua ya raundi ya pili baada ya kumchapa Mjerumani, Phillip Kohlschreiber kwa seti 6-3 6-4. Djokovic mwenye umri wa miaka 27, alionekana akiwa katika kiwango kizuri dhidi ya Phillip huku akipambana kutopoteza taji la ubingwa nambari moja dhidi ya Mswisi Roger Federer. Federer anayetarajiwa kushuka leo uwanjani dhidi ya Mfaransa Jeremy Chardy anaalama 9,280 nyuma ya Djokovic mwenye jumla ya alama 11,510 kuelekea katika michuano ya ATP...

Like
322
0
Wednesday, 29 October 2014
CHELSEA NA LIVERPOOL ZATINGA ROBO FAINALI ENGLAND
Slider

Chelsea na Liverpool zatinga katika hatua ya robo fainali ya kombe la ligi nchini England kwa ushindi wa magoli 2-1 kila mmoja. Chelsea bila ya mshambuliaji wao tegemezi msimu huu, Diego Costa ilibidi wamgeukie Didier Drogba aliyefunga goli la kwanza katika mchezo huo likiwa ni goli lake la tatu katika michezo mitatu iliyopita ndani ya uzi wa The Blues. Mnamo dakika ya 77 klabu ya Shrewsbury ilifanikiwa kusawazishakabla ya beki wa klabu hiyo Grandison kujifunga katika daika ya 81. Wakati...

Like
332
0
Wednesday, 29 October 2014
URUSI YAZINDUA NEMBO YA KOMBE LA DUNIA 2018 KWENYE CHOMBO CHA ANGA
Slider

Kuelekea michuano ya kombe la dunia mwaka 2018, Taifa la Urusi lazinduwa rasmi nembo itakayotumika katika michuano hiyo mikubwa ya mpira wa miguu iliyo chini ya FIFA. Nembo hiyo ilizinduliwa katika chombo cha uchunguzi wa kisanyasi wa anga na baadaye kuonyeshwa katika jiji la Moscow. Urusi ilipata haki ya kuandaa michuano hiyo ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza kwa kuzipiku nchi kama England, Spain-Ureno na Uholanzi-Ubelgiji mwaka 2010. Shirikisho la soka duniani (FIFA) ilijikuta katika kashfa nzito kwa...

Like
457
0
Wednesday, 29 October 2014
NAHODHA WA BAFANABAFANA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI
Slider

Nahodha ambaye pia ni golikipa wa timu ya soka ya taifa la Afrika kusini Senzo Meyiwa amefariki dunia baada ya kupigwa risasi. Jeshi la polisi la nchi hiyo limesema. Tukio hilo limeripotiwa kutokea katika nyumba ya mpenzi wake iliyopo katika mji wa Vosloorus kusini mwa Johannesburg. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliichezea klabu ya Orlando Pirates na alicheza mechi nne zilizopita za timu yake ya taifa katika mechi za kufuzu za fainali ya mataifa ya Afrika. Jumamosi alikuwepo...

Like
436
0
Monday, 27 October 2014
OSCAR TAVERAS AFARIKI DUNIA KWA AJARI YA GARI
Slider

Oscar mwenye umri wa miaka 22 ambae ni nyota iliyokuwa ikichukia kwa kasi kwenye ulimwengu wa Baseball mzaliwa wa Dominican Republic, amaefariki yeye pamoja na mpenzi wake  Edilia Arvelo, mwenye umri wa miaka 18. kwa mujibu wa msemaji wa timu ambayo Oscar alikluwa akiichezea enzi za uhai wake amesema ajari hiyo imetokea mara baada ya gari alilokuwa akieendesha mchezaji huyo kuacha njia na kupoteza uelekeo                       kupitia mtandao wa twitter moja ya...

Like
465
0
Monday, 27 October 2014
DONDOO ZA LIGI KUU YA UINGEREZA
Slider

Katika ligi kuu ya England mechi 12 zimechezwa usiku wa kuamkia leo ambapo Tottenham wamewabamiza bila huruma Asteras Tripolis kwa magoli 5 -1. Ilikuwa ni hat-trick ya Harry Kane ambayo imeisaidia Tottenham kuwabamiza wagiriki hao. Wakati Evarton imewatunishia misuli Wafaransa, Mpaka dakika ya 90, si Lilli wala Everton aliyechezea nyavu za mwenzie. Mchezo huo uliotanguliwa na mapambano kati ya Polisi na Mashabiki wa Evarton ukaisha bila bila. Divock Okoth Origi mchezaji kinda ameonyesha mchezo mzuri katika mechi hiyo, Divock aliyezaliwa mwaka...

Like
342
0
Friday, 24 October 2014
REAL MADRID YAICHAPA LIVERPOOL 3-0 HUKO ANFIELD
Slider

Katika ligi ya mabingwa barani Ulaya Liverpool imechabangwa nyumbani Anfield kwa mabao 3-0 kutoka kwa Real Madrid huku Mario Balotelli akiingia lawamani. Meneja wa mchezaji huyo mtukutu, Brendan Rodgers amemlaumu mshambuliaji huyo kwa kitendo chake cha kubadilishana Jezi na Pepe mara tu baada ya dakika 45 za kwanza. Baadhi ya mashabiki wa jijini Dar es Salaam,Tanzania wamemtupia lawama mchezaji huyo ambaye pamoja na kununuliwa kwa pauni milioni 16 ameifungia Liverpool goli moja tu msimu huu. Wakati huo huo Arsenal wamepata...

Like
813
0
Thursday, 23 October 2014