Slider

NCCR MAGEUZI YATAKA WAZIRI MKUU AWAJIBISHWE KWA KUONDOLEWA MADARAKANI
Local News

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Mrisho Kikwete, kumuwajibisha kwa kumuondoa madarakani Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwakuwa yeye ndiye kiongozi Mkuu wa shughuli za bunge na ndiyo kiongozi wa Mawaziri wanaotuhumiwa kwa uchotaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow. Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu wa chama hicho Mosema Nyambabe, amesema kitendo cha Waziri Mkuu kutojua kwamba kuna bilioni za fedha ya Umma zinachotwa na Mawaziri wake...

Like
254
0
Monday, 26 January 2015
VIDEO: ZITTO KABWE NA SAKATA LA SUKARI KWENYE KIPINDI CHA MEZANI 93.7EFM
Local News

Kama ulikosa nafasi ya kusikiliza kipindi cha Mezani kuinachoruka kila siku ya juma mosi kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne unaweza kuitazama interview nzima hapa   mwendelezo...

Like
512
0
Monday, 26 January 2015
AFCON: KUFA AMA KUPONA ZAMBIA KUINGIA DIMBANI LEO
Slider

Mabingwa watetezi Afcon Zambia wanatakiwa kuendeleza ubabe leo dhidi ya Cape Verde ili kuendeleza matumaini yao ya kufika robo fainali ya michuano hiyo inayofanyika Equatorial Guinea Zambia wana wakati mgumu katika kundi B ambapo wanaomba Tunisia wanaoongoza kundi hilo watoke suluhu au wafungwe na DRC Kwa sasa Tunisia wana pointi nne wakifuatiwa na Cape Verde na Drc huku Zambia ikiwa katika nafasi ya...

Like
402
0
Monday, 26 January 2015
MAAJABU YA EQUATORIAL GUINEA MICHUANO YA AFCON
Slider

Kocha wa Equatorial Guinea Esteban Becker ameeleza mafanikio na malengo ya taifa hilo mwenyeji wa michuano hiyo katika kufikia robo fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika na kufananishwa na hadithi za Cinderela baada ya kuichapa Gabon 2-0 siku ya Jumapili. “Ni hadithi ya Cinderela ambapo temu kapuku ilipoichapa timu tajiri kwa faida. Shukran kwa kujitolea sadaka. Kujidhati kwao, uzalendo na mapenzi yao” alisema kocha huyo raia wa Argentina ni story itakayokumbukwa kwa Becker mwenyewe kwani alichaguliwa kuwa...

Like
319
0
Monday, 26 January 2015
OBAMA KUWEKA HISTORIA INDIA LEO
Global News

RAIS wa Marekani Barack Obama amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kuwa mgeni rasmi katika gwaride la siku ya Jamhuri nchini inayoadhimishwa  nchini India leo siku moja baada ya kusifu enzi mpya ya urafiki kati ya nchi hizo mbili. Mwaliko huo wa kuhudhuria sherehe hizo muhimu za India za kuuonyesha ulimwengu uwezo wake wa kijeshi na tamaduni mbalimbali za India zinaonyesha ni kwa kiasi gani Rais Obama ana uhusiano wa karibu na Waziri mkuu wa India Narendra Modi. Baadaye hii...

Like
258
0
Monday, 26 January 2015
BARAZA LA USALAMA LA UN KUFANYA MIKUTANO YA DHARURA LEO
Global News

BARAZA la usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kufanya mikutano ya dharura hii leo kuijadili mizozo ya Ukraine na Yemen. Lithuania imesema iliwasilisha ombi kufanyike mkutano wa wazi kuhusu mzozo wa Ukraine. Baraza hilo la usalama limekutana takriban mara 30 kuujadili mzozo wa Ukraine tangu uanze lakini limeshindwa kuchukua hatua madhubuti kutokana na wanachama wa kudumu kama Urusi kutumia kura ya turufu kupinga maamuzi....

Like
285
0
Monday, 26 January 2015
MTOTO WA MWEZI MMOJA APIGWA NA MCHI KICHWANI NA BABA YAKE
Local News

MTOTO mwenye umri wa mwezi mmoja amelazwa katika hospital ya  Wilaya ya  Mpwapwa mkoani Dodoma kutokana na kupigwa na Mchi kichwani na Baba yake Mzazi na kusababisha kupasuka fuvu. Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Hospital ya Wilaya ya Mpwapwa ya Benjamin Mkapa Dokta SAID MAWJI amesema kuwa mtoto huyo amepokelewa na amelazwa Wodi namba saba huku hali yake ikiwa mbaya. Amebainisha kuwa wanaendelea kumfanyia uchunguzi hasa katika fuvu la kichwa ambapo uchunguzi wa awali umeonyesha limepasuka kutokana na kupigwa...

Like
309
0
Monday, 26 January 2015
RAIS KIKWETE KUWASILI BERLIN LEO
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo atawasili Mjini Berlin, Ujerumani ambako akitokea Riyadh, Saudi Arabia, ambako anatarajiwa kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa –Gavi Alliance, ambako viongozi mbali mbali duniani watajadili jinsi ya kuboresha mipango ya utoaji chanjo kwa watoto wadogo hasa katika nchi zinazoendelea. Baada ya kumaliza ziara yake Ujerumani, Rais Kikwete atakwenda Ufaransa ambako miongoni mwa mambo mengine atakutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Ufaransa. Aidha, Rais Kikwete atafungua...

Like
252
0
Monday, 26 January 2015
DIDIER DROGBA: BADO NAHITAJI KUITUMIKIA CHELSEA
Slider

Didier Drogba amesema kuwa bado anahitaji kuitumikia klab ya Chelsea mara baada ya msimu huu wa ligi ya England Mshambuliaji huyo wa Ivory Coast alitangaza nia yake hiyo wakati anapokea tuzo ya mwaka inayoandaliwa na shirikisho la waandishi wa habari za mpira wa miguu kwa mwaka 2015 huko London. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 36 ameelezea mapenzi yake kwenye klabu hiyo na kuongeza ya kuwa bado anahitaji kuwa sehemu ya klabu hiyo siku zijazo na ikibidi kucheza na wachezaji...

Like
373
0
Monday, 26 January 2015
KEJERI ZA SHABIKI ZAMTIBUA KANYE WEST
Entertanment

Kanye West rapa kutoka nchini Marekani alikuwa na wakati mgumu mwishoni mwa wiki pindi yeye na mkewe Kim Kardashian waliwasili jijini Washington DC   Hali ilikuwa tete pale mmoja wa mashabiki alipomtaka Kanye west asain picha iliyotumika katika harusi ya Kim na Kris Humphries. Katika hali tu yakawaida unaweza ukajiuliza huenda shabiki huyo alikosa picha yakuweka sahihi na Kanye au alilenga kumkera msanii huyu ambae alikataa kusaini picha...

Like
438
0
Monday, 26 January 2015
VIDEO: TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI: MTU MMOJA AKUTWA AMEKUFA KIMARA TEMBONI
Local News

MTU MMOJA asiyejulikana amekutwa amekufa katika eneo la Kimara Temboni, Mtaa wa Upendo. EFM imefika katika eneo hilo na kushudia mwili wa mtu huyo ukiwa umeharibika vibaya baada ya kukaa muda mrefu bila kugundulika na hivyo kusababisha harufu kali katika eneo hilo.   Inasemekana kabla ya mwili huo kuharibika zaidi katika hatua ya kutoa harufu haukuweza kugundulika kwa sababu ulikuwa katika eneo ambalo limejificha na baadhi ya watu kudhani kuwa huwenda ni mnyama amekufa kwakuwa mara nyingi wakazi wa eneo...

Like
948
0
Monday, 26 January 2015