Slider

SERIKALI KUPAMBANA NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA WA DAWA ZA KULEVYA
Local News

SERIKALI kupitia Tume ya kudhibiti dawa za kulevya inaandaa mikakati ya kupambana na wafanyabiashara wakubwa wa dawa  hizo ili kunusuru makundi ya vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa. Hayo yamebainishwa na Afisa Tawala Tume ya kudhibiti dawa za kulevya AIDA TESHA alipotembelea kituo cha kutibu waathirika wa dawa hizo cha PILI FOUNDATION kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam. TESHA ameeleza kuwa ili kudhibiti matumizi ya dawa hizo ni vyema kupambana na wafanyabiashara wakubwa badala ya kushughulika na wafanyabiashara...

Like
276
0
Thursday, 06 November 2014
DONDO ZA MBIO ZA MAGARI ZA FORMULA 1
Slider

Dereva wa kimataifa kutoka nchini Brazil, Felipe Nasr ameteuliwa kuitumikia timu ya Sauber yenye maskani yake huko nchini Uswisi katika michuano ya langalanga msimu wa 2015. Felipe aliyekuwa ni dereva wa akiba wa timu ya Williams atajiunga na timu inayoshika nafasi ya 10 katika msimamo wa ligi huku wakishindwa kukusanya alama yoyote. Uteuzi huo unamaanisha kuwa madereva wawili wa sasa Adrian Sutil na Esteban Gutierez watakuwa huru kujiunga na timu nyengine ndani ya klabu hiyo ifikapo mwishoni mwa msimu huu....

Like
1073
0
Thursday, 06 November 2014
RATIBA YA MICHUANO YA LIGI KUU YA ULAYA KULINDIMA TENA LEO
Slider

Michuano ya ligi ya Europa kurindima tena leo kwa kuzishusha uwanjani timu 48 ndani ya michezo 24 tofauti. Ratiba ya michezo hiyo itakayoanza Majira ya saa mbili kwa saa za Afrika ya Mashariki huku mechi nyengine zikipigwa saa tatu kamili usiku na zilizobakia zitapigwa saa tano na dakika tano.   Dinamo Moskva 20 : 00 Estoril More info   Qarabağ 20 : 00 Dnipro Dniprop… More info   Zürich 21 : 00 Villarreal More info   Apollon 21 : 00...

Like
472
0
Thursday, 06 November 2014
MATOKEO YA KLABU BINGWA ULAYA
Slider

Usiku wa klabu bingwa Ulaya umeshuhudia jumla ya magoli 23 yakifungwa usiku jana kwa michezo mbalimbali kupigwa katika viwanja maarufu barani humo. Haya ni matokeo ya michezo hiyo iliyochezwa hapo jana: Manchester City 1 – 2 CSKA Moskva View events More info Bayern München 2 – 0 Roma View events More info PSG 1 – 0 APOEL View events More info Ajax 0 – 2 Barcelona View events More info Sporting CP 4 – 2 Schalke 04 View events More...

Like
385
0
Thursday, 06 November 2014
MAN CITY YALAZWA 2-1 NA CSKA MOSKVA HUKO ETIHAD
Slider

Klabu ya Manchester City imejikuta katika wakati mgumu baada ya kupokea kipigo cha magoli mawili kwa moja dhidi ya CSKA Moskva ndani ya uwanja wao wa nyumbani Etihad, Magoli mawili ya Seydou Doumbia mnamo dakika ya pili ya mchezo huo na lile jengine mnamo dakika ya 34 yalitosha kuwaangamiza mabingwa hao watetezi wa ligi kuu nchini England huku goli lao la kufutia machozi likifungwa na Yaya Toure ambae baadae alionyeshwa kadi nyekundu. Toure alipewa kadi nyekundu dakika ya 81 huku...

Like
321
0
Thursday, 06 November 2014
JOTO LA KLABU BINGWA BARANI ULAYA
Slider

Mshambuliaji wa klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi afikia rekodi ya magoli 71 ndani ya michuano ya klabu bingwa Ulaya iliyokuwa inashikiliwa na legendari Raul Gonzalez. Messi amefikia rekodi hiyo baada ya kufanikiwa kupachika magoli mawili katika mchezo dhidi ya Ajax Amsterdam kwa kuisadia klabu ya Barcelona kupata ushidi wa magoli mawili kwa sifuri na kukata tiketi ya kutinga raundi ya 16 bora. Mchezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid na S04, Raul ilimchukua takribani michezo 142 kuweza kufikisha...

Like
311
0
Thursday, 06 November 2014
WAFANYABIASHARA SOKO LA BUGURUNI WAIOMBA MANISPAA YA ILALA KUWAJENGEA MIUNDOMBINU
Local News

WAFANYABIASHARA wa Soko la Buguruni wameiomba Serikali kupitia manispaa ya Ilala kuwasaidia kuwajengea miundombinu ya soko hilo ili kuwasaidia kupunguza hasara ya uharibifu wa biashara zao. Wakizungumza na kituo hiki  leo katika soko hilo wafanyabiashara  hao wamesema kuwa wamekuwa wakikabiliana na changamoto mbalimbali za miundombinu hali inayosababisha kuharibika na kuoza kwa biashara zao hususani katika kipindi cha mvua. Kituo hiki kilizungumza na Mwenyekiti wa soko hilo Said Habibu ambaye amekiri kuwepo kwa changamoto hizo na kudai...

Like
388
0
Thursday, 06 November 2014
BURKINA FASO KUFANYA UCHAGUZI MKUU NOVEMBER 2015
Global News

VYAMA vya siasa nchini Burkina Faso vimekubaliana kuwa na uchaguzi mkuu mwezi Novemba 2015 ikiwa ni harakati za kurejesha utawala wa kiraia na demokrasia.. Hata hivyo mazungumzo hayo yameisha bila kuwa na ufumbuzi kuhusiana na nani atakayekuwa kiongozi wa mpito hadi kufikia muda wa kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kufuatia kuangushwa kwa aliyekuwa rais wa taifa hilo la Afrika Magharibi Blaise Compaore. Jeshi la nchi hiyo limekuwa likishikilia madaraka tangu aondolewe madarakani kiongozi huyo kutokana na maandamano ya...

Like
329
0
Thursday, 06 November 2014
UINGEREZA YAWATEMA WANAJESHI 300 WA LIBYA
Global News

WANAJESHI kutoka nchini Libya wamerejeshwa nchini kwao kutokana na kukosa uadilifu wakiwa mafunzoni Uingereza huku wengine wakituhumiwa kufanya vitendo vya ukatili wa kimapenzi. Wanajeshi hao waliokuwa mafunzoni nchini Uingereza, 300 kati yao wamesharejeshwa Libya kutokana na tuhuma kuhusiana na unyanyasaji wa kimapenzi. Waziri wa Ulinzi wa Libya amethibitisha kurejeshwa kwa askari hao na kuongeza kuwa wengine watarejeshwa siku chache zijazo. wanajeshi wawili wa Libya wamekiri kufanya vitendo vya unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanawake huko...

Like
428
0
Thursday, 06 November 2014
RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU WAKUU NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA
Local News

  RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja, uteuzi uliomuondoa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Charles Pallangyo ambaye sasa anakua Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita. Rais Kikwete amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa. Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jana jioni na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa Uteuzi huo ambao umeanza na Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa...

Like
384
0
Thursday, 06 November 2014
56% WAFAULU ELIMU YA MSINGI
Local News

BARAZA la Mitihani la Tanzania limeidhinisha kutoa matokeo ya mtihani wa kumaliza Elimu ya msingi uliuofanyika September 10 hadi 11mwaka huu. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Dokta CHARLES MSONDE ameeleza kuwa jumla ya watahiniwa laki nane mia nane na themanini na tano, wa shule za msingi walisajiliwa kufanya mtihani huo wakiwemo wasichana Laki nne ishirini na tisa elfu mia sita na ishirini na nne sawa na asilimia 53.17 na wavulana...

Like
365
0
Thursday, 06 November 2014