Slider

LIST YA VILABU VITAKAVYOKUTANA USIKU WA LEO KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA BARANI ULAYA
Slider

Usiku wa klabu bingwa Ulaya kuendelea tena leo kwa kuvitukanisha vilabu mbalimbali vinavyosaka tiketi ya kuvuka hatua ya makundi ikiwa ni michezo ya raundi ya pili katika hatua hiyo. Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Uingereza, Manchester City itashuka dimbani Majira ya saa nne na dakika arobaini na tano kuwakaribisha klabu ya CSKA MOSKVA ya nchini Urusi. Mabingwa wa Bundesliga klabu ya Bayern Munich itakuwa wenyeji wa klabu ya AS Roma ya huko nchini Italy wakiwa na kumbukumbu mbaya ya...

Like
451
0
Wednesday, 05 November 2014
REAL MADRID NA BORUSSIA DORTMUND ZATINGA HATUA YA 16
Slider

Mabingwa watetezi wa michuano ya klabu bingwa Ulaya klabu ya Real Madrid imefanikiwa kutinga katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo kwa kuilaza klabu ya Liverpool kwa goli 1-0. Goli la Real limefungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Karim, Benzema aliyeunganisha krosi safi iliyojazwa na beki wa kushoto wa Brazil Marcelo. Mechi hiyo iliyokuwa inatazamiwa kuwa ya kipekee kwa mchezaji Cristiano Ronaldo aliyekuwa anafukuzia rekodi ya ufungaji magoli 71 iliyowekwa na Raul Gonzalenz, alishindwa kutamba mbele ya beki...

Like
352
0
Wednesday, 05 November 2014
WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKI CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA
Local News

RAIS  JAKAYA MRISHO KIKWETE amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa sanjari na kuhakikisha kuwa wanaisoma ipasavyo katiba inayopendekezwa ili kuelewa masuala muhimu yaliyopo kwenye katiba hiyo.   Rais KIKWETE ametoa wito huo mkoani Dodoma wakati akizungumza katika na Wazee mkoani humo ambapo amesema kuwa suala la wananchi kushiriki kikamilifu uchaguzi huo litasaidia katika kupata viongozi bora wenye kujali maslahi ya wananchi.   Mbali na hilo Rais Kikwete amewataka wananchi kuchukua...

Like
292
0
Wednesday, 05 November 2014
WAMAREKANI WASHIKA MPINI WA BARAZA LA SENETI
Global News

WAPIGA kura nchini Marekani wanashiriki katika uchaguzi, utakaoamua ni chama gani kitalidhibiti baraza la Seneti na kutoa sura ya muelekeo wa rais BARACK OBAMA katika kipindi cha miaka miwili iliosalia ya utawala wake. Bwana OBAMA binafsi amesema anauangalia uchaguzi huo kuwa kipimo cha maoni ya wamarekani kuhusu sera zake. Wagombea wa chama cha Republican wana matumaini kwamba kuvunjwa moyo kwa wapiga kura na sera za Bwana OBAMA kutawapa fursa ya kulidhibiti baraza la Seneti. Kuna viti 36 kati ya100 vinavyogombewa...

Like
324
0
Tuesday, 04 November 2014
UNHCR KUTOA URAIA KWA WATU MILIONI 10 ULIMWENGUNI
Global News

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi – UNHCR limeanzisha kampeni inayolenga kumaliza tatizo la watu wasio na uraia wa nchi yoyote, ambao kwa mujibu wa shirika hilo wanafikia milioni 10 kote ulimwenguni. Mkurugenzi wa Shirika hilo ANTONIO GUTERRES amesema hali ya watu hao haikubaliki hata kidogo, na kuongeza kuwa lengo ni kuwa tatizo lao liwe limepatiwa ufumbuzi wa kudumu katika muda wa miaka 10. UNHCR imesema kupitia kampeni hiyo inataka kuziangazia changamoto wanazokabiliana nazo watu wasio na uraia...

Like
311
0
Tuesday, 04 November 2014
DAVID KAFULILA AOMBA UFAFANUZI JUU YA SWALA LA ESCROW BUNGENI LEO
Local News

  MKUTANO wa 16 na 17 wa kikao cha kwanza cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo mjini Dodoma ambapo kumekuwa na kipindi cha maswali na majibu mara baada ya kusomwa kwa mara ya pili Miswaada ya Sheria ya Serikali pamoja na Mswaada Binafsi wa bajeti wa mwaka 2014.   Katika majadiliano hayo yaliyoambatana na kipindi cha maswali na majibu ya masuala mbalimbali ya maendeleo ndipo muda ulipofika kwa baadhi ya wabunge kuomba miongozo ya masuala muhimu...

Like
548
0
Tuesday, 04 November 2014
RAIS KIKWETWE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUOMBOLEZA KIFO CHA KATIBU UVCCM ARUMERU
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi –CCM, Taifa, Pofesa JAKAYA MRISHO KIKWETE amemtumia Salamu za Rambirambi Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM -UVCCM Taifa, SIXTUS MAPUNDA kuomboleza kifo cha Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arumeru, LUCY BONGELE kilichotokea tarehe 2 Novemba, mwaka huu kwa ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea Wilaya ya Ngorongoro baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Land Cruiser Prado Namba T380 ADP kuacha njia na kupinduka wakati...

Like
416
0
Tuesday, 04 November 2014
DESIRE LUZINDA ANAKABILIWA NA KIFUNGO CHA MIAKA KUMI JELA
Entertanment

Msanii kutoka Uganda amabe mapema hapo jana amemake headlines kwenye vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya picha zake za utupu kusambaa kwa kasi zikimuonyesha katika mikao kumi tofauti katika picha hizo. Watu mbalimbali wamekuwa wakimuiga msanii huyo kwa kuweka V pose akiwemo Bob wyne pia kutoka Uganda Hivi karibuni Desire alipouulizwa kuhusiana na namna picha hizo zilivyovuja alimtupia lawama boy friend wake raia wa Nigeria Franklin kuwa ndie aliefanya hivyo. mpenzi wake huyo amedai kwamba aliyafanya hivyo baada ya kuchoshwa...

Like
341
0
Tuesday, 04 November 2014
KENDRICK LAMAR AMUOMBA RADHI PHIL JACKSON
Entertanment

rapa anaefanya vizuri kwa sasa kutoka Marekani Kendrick lamar amemuomba radhi mkongwe phil Jackson mara baada ya kuchana bar kwenye ngoma ya Big shown “control” kwa kutamka maneno haya “Phil Jackson came back, still no coaching me. I’m uncoachable.”  mstari huo ambao ulitafsiriwa kama kumdhihaki kocha huyo na mchezaji mkongwe wa basket bal yani mpira wa kikapu duniani na baadae mkongwe huyo aliongea maneno machache ya kumjibu Kendrick lamar kupitia ukurasa wake wa Twitter Kedrick aliomba radhi kupitia interview aliyofanya...

Like
406
0
Tuesday, 04 November 2014
ERASTO NYONI APATA AJALI
Slider

Beki wa Azam fc Erasto Nyoni amekutwa na mkasa mkubwa baada ya kumgonga dereva wa bodaboda katika enero la tiptop Manzese lakini akaendeklea kukimbia akiyagonga baadhi ya magari hadi katika eneo la Kijitinyama jijini Dar ambako alikwama baada ya kugonga gari la grobal publisheer. Bada ya tulio hilo Nyoni beki wa Taifa stars alitoka kwenye gari lake aina ya toyota grande mark 11 GX 110, akaanza kujitahidi kukimbia kutokana na lundo la bodaboda kuanza kumfukuza wakitaka kumchukulia sheria mkononi hali...

Like
716
0
Tuesday, 04 November 2014
CRISTIANO RONALDO NA IKER CASILLAS  KUVUNJA REKODI USIKU WA LEO!!!
Slider

Michuano ya klabu bingwa ulaya kuendelea tena leo ikiwa ni mechi za raundi ya pili katika hatua ya makundi kwa msimu wa mwaka 2014/2015. Bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya Real Madrid itawakaribisha majogoo wa jiji la Anfield Liverpool katika uwanja wa Santiago Bernabeu wakiwa na rekodi ya kushinda goli 3-0 katika mchezo uliopita. Mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo na Iker Casillas wanatazamiwa kuvunja rekodi mbalimbali usiku wa leo, Ronaldo anafukuzia rekodi ya magoli 71 iliyowekwa na Raul...

Like
397
0
Tuesday, 04 November 2014