Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rich mavoko jana kupitia mtandao wa instagram alipost picha zinazoonyesha uandaaji wa video yake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka South Afrika ambapo alifanya video ya wimbo wake wa Pacha wangu chini ya director Adam Juma mara kadhaa rich amekuwa akiulizwa kuhusu gharama za video hiyo inayoonekana kugharimu kiasi kikubwa cha pesa hata hivyo Rich mavoko hakuwahi kuweka wazi kwa kusema Adam Juma ndie anaefahamu gharama zake itazame teaser hapa...
Picha ni askari wa kikosi cha barabarani walioonyesha utovu wa nidhamu kufuatia kitendo chao cha kupiga picha za kimapenzi wakiwa na sare za kazi Kamanda wa Jeshi la Polisi Henry Mwaibambe amewataja askari hao kuwa ni PC Asuma Mpaji Mwasumbi mwenye namba F.7788,PC Fadhili Linga mwenye namba G 2122 na PC Veronica Nazaremo Mdeme na wote walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Missenyi. idara ya polisi ni moja ya vitengo vya serikali vinavyolalamikiwa kwa utovu wa maadili kwenye...
Uongozi wa rais Barack Obama wa Marekani umetoa wito wa kuwepo hali ya utulivu kufuatia kupatikana kwa mgonjwa wa ebola nchini kwake. Taarifa zinasema Marekani inajiandaa kupambana na mzozo wa ugonjwa wa ebola kote nchini mwake na katika eneo. Milipuko wa ugonjwa wa ebola kwa miaka 40 iliyopita ilidhibitiwa. Marekani inatuma vikosi elfu mbili nchini Liberia kusaidia kupambana na mlipuko wa ebola ambao umeuwa takriban watu elfu tatu katika bara la Afrika magharibi. Marekani pia inajaribu kuondoa hofu kuhusu kuzuka...
Serikali Kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imepeleka madaktari Watano kusaidia kutoa huduma za Kitabibu katika nchi zilizoathirika na Ugonjwa wa Ebola.Hapa Dokta MMBANDO anafafanua Mbali na hayo MMBANDO ametoa tahadhari kwa Ugonjwa mpya uliojitokeza katika nchi ya Uganda ambao utapelekea kufungwa kwa mipaka kati ya Tanzania nchi hiyo...
Tanzania imeandika historia mpya baada ya kukamilisha mchakato wa kutengeneza Rasimu pendekezwa ya Katiba Mpya na kuikabidhi kwa Rais JAKAYA KIKWETE pamoja na Rais wa Zanzibar Dokta ALLI MUHAMMED SHEIN. Akitoa hotuba yake kwa Maelfu ya Wananchi,Mabalozi waliowakilisha nchi zao pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na Kidini, Rais KIKWETE anaeleza Mbali na hayo amewasihi wajumbe waliofanya kazi ya kutunga na kurekebisha katiba kutambua na kuwa mabalozi wazuri katika kupigania na kutimiza wajibu wa kuwaelimisha wananchi juu ya katiba hiyo...
Rais wa jamuhuli ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya mrisho Kikwete amewasili mjini Dodoma leo katika Hafla maalum ya kukabiziwa katiba iliyopendekezwa na bunge maalum la katiba mheshimiwa Rais amepokelewa katika uwanja wa Jamuhuli mjini Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekua Spika wa Bunge la Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amefika mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC huko Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu. Yeye ni kiongozi wa kwanza wa taifa kuwasili mbele ya mahakama hiyo. Kenyatta amefika mbele ya mahakama hiyo baada ya waendesha mashtaka kuishutumu serikali ya Kenya kukata kuwasilisha ushahidi muhimu. Kenyatta amekanusha madai ya kupanga na kufadhili ghasia za kikabila nchini Kenya baada ya uchaguzi uliokumbwa na utata mwaka 2007/2008. Kikao cha leo kitatathmini ombi...
Efm imekuwa ikiendesha kampeni yake iliyopewa jina la muziki mnene katika jiji la Daresalaam na maeneo ya jirani kampeni hiyo imekuwa ikiwakutanisha wafanyakazi wa redio hii pamoja na wadau yani wasikilizaji toka kuanzishwa kwake ambapo imeshapitia maeneo tofauti ikiwemo Ukonga magereza yenyewe kampeni ya muziki mnene wiki hii inaendelea na itafanyika Navy beach...
Kwa mujibu wa Grazia Magazine Kanye west na mkewe Kim Kardashian wameandaa mwanamitindo ambae kazi yake kubwa itakuwa ni kutengeneza mavazi ya mtoto wao ambayo yatafanana na mavazi ya mama yake Kim kardashian. mwanamitindo huyo ambae atakuwa analipwa kwa kazi hiyo pia yupo kwenye timu ya wabunifu wa mavazi ya Kim...
Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia imetiliana saini Mkataba na Serikali ya India kusaidiwa Ujenzi wa Kituo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano-TEHAMA kwenye kituo cha Sayansi na Teknolojia cha NELSON MANDELA mkoani. Akizungumza mara baada ya kusaidi makubaliano hayo Waziri wa Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia Profesa MAKAME MBARAWA Lakini pia Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imesaini mkataba wa kutathmini utendaji wa kazi na bodi ya Mamlaka ya Mawasilianonchi-TCRA ili kuboresha utendaji wa kazi wa...
Baba Mtakatifu Francis amekubali kujiuzulu kwa Askofu Kieran Conry kutoka majimbo ya Arundel na Brighton baada ya kupokea barua ya Askofu huyo alieomba radhi mara baada ya taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari Conry, mwenye umri wa miaka 64, aliomba radhi katika barua kwa kutokuwa mwaaminifu kwa ahadi yake kama kuhani Katoliki lakini alisisitiza matendo yake yalikuwa si kinyume cha sheria na hawakuwa kuhusisha watoto. Kanisa katoliki limekuwa likipata shinikizo juu ya kubadilisha tamaduni hivyo kuwaruhusu watumishi hao kuingia kwenye...