Wito huo umetolewa Jijini Dar es salaam na Rais JAKAYA KIKWETE wakati akifungua rasmi barabara ya Mwenge –Tegeta. Naye Balozi wa Japani nchini MASAKI OKADA amezungumzia juu ya ushirikiano uliopo kati ya Serikali yake na Tanzania Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 12.9 imegharimu kiasi cha Sh. bilioni 77.85, fedha ambazo zimetolewa na Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa la JICA. Serikali ya Tanzania imechangia asilimia 7.64 katika gharama za ujenzi wa Barabara hiyo. Katika ufunguzi...
Muungano wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Zimbabwe al maarufu Zinasu, umesema kwamba unawasilisha kesi mahakamani hii leo kutafuta ufafanuzi zaidi wa namna mkewe rais Grace Mugabe alivyopata shahada ya udaktari wa falsafa. Mwanafunzi mmoja mwanaharakati amesema kuwa ni muhimu kwa taifa hilo kuhifadhi hadhi yake ya elimu. Baadhi ya watu wamehoji kasi aliyosomea shahada hiyo huku wengine wakidai ni njama za kumuandaa kwa urithi wa kiti cha rais baada ya rais Mugabe. Gazeti moja linalomilikiwa na serikali , the...
Muimbaji kutoka kwenye kundi la P square Peter Okoye jana alianguka jukwaani siku ya jumanne usiku wakati anatumbuiza kwenye tamasha lililoandaliwa na Beat 99.9 FM’s Triple 9 huko Lagos Nigeria tulio hilo lilitokea wakati P square wanaimba wimbo wao “BRING IT ON” kutoka kwenye albam yao ya ‘Double Trouble’ wakati Peter aliposogea mbele kwenye ukingo wa jukwaa baada ya show hiyo Peter aliandika kwenye kurasa zake za Twitter na Instagram maneno...
Hali hiyo imekuja mara baada ya Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola kugundulika nchini Marekani, na kuthibitishwa katika mji wa Dallas, Texas. Maafisa katika kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa ambaye hakutajwa ametengwa katika hospitali hiyo. Jumatatu, maafisa wa kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian ya Dallas wamesema mgonjwa ambaye hakutajwa jina alikuwa akichunguzwa virusi vya Ebola na ametengwa katika hospitali hiyo. Shirika la Afya Duniani, WHO limesema mpaka...
Mkali wa Anaconda Nicki Minaj ametajwa na MTV kwamba mbali na kuperfom atakuwa host wa awamu ya 20th kwenye tuzo za MTV EMA 2014 ambapo mapema baada ya kutangazwa Nicki alitweet kupitia akaunti yake ya Twitter akisema maneno haya So excited to announce that I will not only perform, but I have the honorable task of HOSTING this… tuzo hizi zinatarajiwa kufanyika huko Glasgow Uingeleza mapema mwezi November mwaka...
Tuzo hizo ambazo hapo zamani zilijulikana kama Hip-Hop World ambapo kwa mara ya kwanza zilifanyika mwaka 2006 huko Lagos. mwaka huu zinatarajiwa kufanyika tarehe 25th October 2014 Lagos ikiwa ni msimu wake wa 9 Diamond ametajwa kuwania kipengere cha BEST AFRICAN ARTIST kipengere hicho kinahusisha wasanii kutoka mataifa ya Afrika wanaofanya vizuri Nigeria Diamond atachuana na MAFIKIZOLO SARKODIE R2BEES...
Picha ni umati wa wakazi wa kibaha na maeneo ya jirani waliokusanyika katika kampeni za redio EFM 93.7 kampeni hii imekuwa ikiendelea maeneo tofauti kwa kuwakutanisha wafanyakazi yani watangazaji na ma rdj wa 93.7efm pamoja na wadau mbalimbali wa redio hii na kuweza kutoa zawadi mbalimbali kwa wananchi. kampeni hii wiki hii itakuwa maeneo ya Ukonga siku ya jumamosi muziki utaongea...
Siku moja baada ya kuapishwa kuwa rais mpya wa Afghanistan Ashraf Ghani, serikali yake imetia saini mkataba mpya wa usalama na shirika la kujihami la NATO. Mkataba huo utaidhinisha zaidi ya wanajeshi elfu kumi na mbili, wengi wakiwa wamarekani, kusalia nchini Afghanistan hata baada ya kumalizika kwa kandarasi yao mwaka huu. Mkataba huo ulitiwa sahihi katika hafula iliyotangazwa moja kwa moja katika televisheni na mshauri wa maswala ya usalama wa kitaifa wa Afghanistan Hanif Atmar na balozi wa Marekani nchini...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen(kushoto) akizungumza na washiriki katika mkutano huo. baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano wakifatilia kwa makini mkutano huo ulioanza rasmi siku ya jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa...
umati wa watu huko bagamoyo wakicheza na kufurahi kwenye kampeni ya Muziki mnene bar kwa bar Swebe moja ya watangazaji wa EFM akizungumza jambo na wakazi wa bagamoyo Wananchi wa Bagamoyo wakijiachia kwa shagwe kampeni hiyo bado inaendelea maeneo...
Aliekuwa meneja wa Msanii Nick Minaji, Big Fendi ameelezea kiundani jinsi alivyokutana na msanii huyo kati ya mwaka 2006 au2007 kupitia mtandao wa MySpace ambapo alimchukua na kumbadilisha jina kutoka Nicki Maraj kwenda Nicki Minaj kitendo kilichomsababishia Nick Minaj matatizo na familia yake lakini baadae Big Fendi alimuelewesha ikiwemo pia kumtumia Jadakiss na Busta Rhymes Fendi amedai kumiliki sehem ya jina na vyanzo vya mapato vya Nick ikiwemo NickiMinaj.com. Fendi Baadae alipata mkataba wa kumuuza nick Minaj kwenda Young...