Big Fendi, NICK MINAJ BADO YUPO CHINI YA DIRTY MONEY
Entertanment

Aliekuwa meneja wa Msanii Nick Minaji, Big Fendi ameelezea kiundani jinsi alivyokutana na msanii huyo kati ya mwaka 2006 au2007 kupitia mtandao wa MySpace ambapo alimchukua na kumbadilisha jina kutoka Nicki Maraj kwenda Nicki Minaj kitendo kilichomsababishia Nick Minaj matatizo na familia yake lakini baadae Big Fendi alimuelewesha ikiwemo pia kumtumia Jadakiss na Busta Rhymes Fendi amedai kumiliki sehem ya jina na vyanzo vya mapato vya Nick ikiwemo NickiMinaj.com.   Fendi Baadae alipata mkataba wa kumuuza nick Minaj kwenda Young...

Like
460
0
Tuesday, 30 September 2014
CRISS BROWN KWENYE UTATA NA TMZ
Entertanment

Mkali wa ngoma zinayofanya vizuri kwa sasa New frame na loyal Criss brown jana kupitia mtandao wa Instagram alimtukana meneja wa TMZ mtandao unaotoa ripoti na tetesi za mastar huko marekani.                     Criss brown alimtukana CEO . Harvey Levin kwa kumuita shetani na kumtaka aache kumfuatilia mara moja. Criss Brown amedai meneja huyo amekuwa akimfuatilia kwa miaka kadhaa kwa lengo la kumshusha. Hii inakuja siku chache baada ya mtandao huo kuchapisha habari...

Like
364
0
Tuesday, 30 September 2014
Je Mugabe atamrithisha mkewe mamlaka?
Global News

            Hivi karibuni kumekuwa na swali ambalo linawatatiza watu wengi hususani raia wa Zimbabwe kufuatia mtukio ya rais wa nchi hiyo kumkabidhi mkewe nyazfa mbalimbali za juu kiutawala. Kuzaliwa kwa utawala wa kinasaba sio jambo jepesi kubashiri. Lakini wananchi wengi wa Zimbabwe kwa sasa wanaonekana kushawishika kuwa kuna uwezekano wa familia ya Mugabe kuingia katika orodha hiyo ya kurithishana madaraka. Rais Mugabe ana umri wa miaka 90. Mke wake, Grace, ana umri wa miaka 49....

Like
341
0
Monday, 29 September 2014
CHINA YAONYA MATAIFA YA KIGENI KUTOINGILIA HONG KONG
Global News

Uchina imeonya kuwa  kuwa haitawavumilia wahaini kutoka nje ya nchi wanaounga mkono maandamano yasiyo halali nchini humo. Kundi lijulikanalo kama Occupy Central ndilo linalolengwa kwa sababu limekuwa likiunga mkono juhudi za maandamano ya maelfu ya watu wanaounga mkono kuimraishwa kwa Demokrasia nchini Uchina. Katika kile kinachoaminika kulenga maandamano yanayoendelea katika jimbo la Hong Kon, Uchina inaonya mataifa mengine yasijiingize kwa kila inachoamini na maswala ya ndani ya Uchina.Uchina mara kwa mara hutoa onyo kwa mataifa mengine...

Like
518
0
Monday, 29 September 2014
MEEK MILL KUTOKA JELA HIVI KARIBUNI
Entertanment

  Rapa kutoka kundi la MMG Meek Mill ambae jina lake halisi ni Robert Williams alihukumiwa kutumikia kifungo kisichopungua miezi mitatu hadi sita jela baada ya rufaa yake kukataliwa alipokutwa na hatia ya kutofuata taratibu alizowekewa wakati anatumikia kifungo cha nje ikiwemo fujo na vurugu. Meek Mill alitiwa hatiani baada ya kukamatwa na silaha pamoja na madawa ya kulevya mwaka 2008 ambapo alitumikia miezi nane jela kabla hajaachiwa kutumikia kifungo cha nje ndani ya miaka mitano.Kupitia mtandao wa twitter rick...

Like
481
0
Monday, 29 September 2014
DIAMOND PLUTNUM AMZAWADIA GARI WEMA SEPETU
Entertanment

Kupitia mtandao wa instagram jana msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul yani Diamond amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake muigizaji Wema Sepetu gari aina ya Nisani kama zawadi katika siku yake ya kuzaliwa september 28. wawili hawa ambao wamekuwa wakimake Headlines kwenye vyanzo vya habari tofauti kuhusiana na mapenzi yao mbali na hayo wema anamiliki kampuni ya Endless fame inayojihusisha na uandaaji wa filam lakini pia Diamond ndie mmiliki wa brand ya Wasafi classic inayojihusisha zaidi na maswala...

Like
783
0
Monday, 29 September 2014
Jason Derulo amethibitisha rasmi kuachana na Jordin Sparks
Entertanment

mkali wa r&b kutoka marekani Jason Derulo ambae alikuwa na mahusiano na mwimbaji mwenzake Jordin Sparks.Jason Derulo  amethibitisha kuachana kwao kupitia ABC News kwa kusema hakuna ubaya baina yao wala usaliti ama kukwazana. Jason ameongeza kuwa licha ya mahusiano yao kuwa ni maswala binafsi ila anayaweka wazi kuepuka kuvuma kwa taarifa zisizo za kweli kupitia vyao tofauti vya habari, wawili hao ambao wamedumu kwa miaka mitatu mara baada ya kuingia rasmi kwenye mahusiano mwaka 2011 na kuamua kuyaweka wazi mwaka uliofuata 2012. kwa...

Like
377
0
Monday, 29 September 2014
« Previous Page