SHEDY CLEVER DIAMOND NI KITOVU CHA KAZI ZANGU ZA KIMATAIFA TIWA SAVAGE & K CEE
Entertanment

Mtayarishaji wa kazi za muziki wa Bongo fleva hapa nchini amezungumzia jinsi Diamond alivymuunganisha na Wasanii wa kimataifa na kuweza kufanya kazi nao. miongoni mwa wasanii hao ni Tiwa savage  pamoja na K cee wote kutoka Nigeria na mataifa mengine ya Africa, Shedy aliyasema hayo siku ya jana kwenye birthday ya...

Like
712
0
Friday, 03 October 2014
RONALDO MANCHESTER UNITED NI FAMILIA YANGU
Slider

Mchezaji wa kimataifa kutoka  Portugal ambae nyota yake ilianza kung’aa na kutambulika zaidi duniani kupitia Club ya Manchester united Cristiano Ronaldo. hivi karibuni kumekuwa na tetesi juu ya uwezekano wa mchezaji huyo anaeichezea club ya Real Madrid kurudi Manchester united . Club ya Real Madrid imeonyesha msimamo wake juu ya mchezaji huyo kwa kumuhitaji kuendelea kukichapa hapo Santiago Bernabeu kwenye msimu wa kiangazi kitendo ambacho Ronaldo amekipokea kwa furaha taarifa hiyo na kusema anafurahi kuitumikia Club hiyo lakini pia...

Like
431
0
Friday, 03 October 2014
WANAFUNZI 40 MEXICO WAPOTEA
Global News

Mamia ya wanafunzi nchini Mexico katika jimbo la Guerrero wameandamana katika mji mkuu wa jimbo la Chilpancingo kulalamikia kutoweka kwa zaidi ya wanafunzi wenzao arobaini wiki iliyyopita. Wanafunzi hao wanasemekana kuwa mwisho walionekana kusombwa katika magari ya polisi kufuatia maandamano walioshiriki wakilalamikia ubaguzi katika ajira ya walimu wa maeneo ya vijijini. Polisi walifyatua rissasi kwenye basi na kwa waandamaji na kuua watu sita na wengine 17 kujeruhiwa. Maafisa ishirini na wawili wa polisi wanashikiliwa na kwa kutuhuma za...

Like
297
0
Friday, 03 October 2014
LIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA WIKIENDI HII
Slider

Kivumbi cha ligi kuu soka Tanzania bara kinaendelea tena wikiendi hii kwa timu kumi kushuka katika madimba matano tofauti,ambapo katika uwanja wa taifa jijini wenyeji simba watawakaribisha vijana toka shinyanga-stand united,Mtibwa dhidi ya mgambo jkt,ruvu shooting dhidi ya mbeya city,prisons na azam na polisi morogoro wakikipiga dhidi ya...

Like
209
0
Friday, 03 October 2014
TFF YATANGAZA DHAMIRA YA KUVIKATA VILABU VYA LIGI KUU ASILIMIA TANO YA FEDHA
Slider

Kamati ya utendaji ya shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF,jana tarehe 2 oct imetamka hadharani kuwa inadhamira ya kweli ya kuvikata vilabu vya ligi kuu asilimia 5 ya fedha za mdhamini,na kwamba yeyote anayepinga agizo hilo anajisumbua. Hatua ya tff,kujitokeza hadharani kutoa msimamo wake,imekuja baada ya umoja wa vilabu kumteua mwanasheria atakayewakingia kifua kupinga agizo hilo,ambalo wanaliona kama unyonyaji kwenye kiasi kidogo wanachokipata toka kwa mdhamini wa ligi. Tayari kwa upande wake bodi inayosimamia ligi kuu na ile ya...

Like
259
0
Friday, 03 October 2014
SERIKALI IMEFANIKIWA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO
Local News

  Serikali imefanikiwa kupunguza tatizo la Vifo vya Watoto walio chini ya umri wa miaka 5 kutoka vifo 165 hadi kufikia vifo 54 ikiwa ni mojawapo ya malengo waliowekewa na Umoja wa Mataifa,Zaidi Dokta DONAN MMBANDO anafafanua Kwa upande wake MONIKA MALLOMO ambaye ni Daktari wa watoto kutoka hospitali ya Sokoine Mkoani Lindi, amesema...

Like
333
0
Friday, 03 October 2014
SERIKALI IMEAHIDI KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI JESHI LA ZIMA MOTO
Local News

  Serikali imeahidi kushughulikia changamoto zinazolikabili Jeshi la Zima Moto na Uokoaji nchini ili kuliwezesha kutekeleza maajukumu yake kwa kuzingatia ongezeko la Ajali za Barabarani ambapo jeshi hilo pia lina jukumu la uokoaji katika Ajali mbalimbali. Akizungumza katika uzinduzi wa baraza dogo la zima moto na uokoaji mjini Bagamoyo Mkoani Pwani, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi MUBARAKA ABDULWALIKI amesema...

Like
315
0
Friday, 03 October 2014
WANAFUNZI ELIMU YA JUU WAIOMBA SERIKALI KUTOA MIKOPO BILA KUGAWA MATABAKA
Local News

Wanafunzi wa Elimu ya juu nchini wameiomba Serikali kuhakikisha kuwa Wanafunzi wote wenye sifa ya Elimu ya Kati –Diploma wanapewa mikopo kama ilivyo kwa wanafunzi wanaosoma Kada nyingine mbalimbali katika Elimu ya juu. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taasisi ya Elimu ya Juu –TAHLISO MUSSA MDEE amesema...

Like
277
0
Friday, 03 October 2014
AKON AFANYA SHOW NDANI YA PUTO KUEPUKA EBOLA!
Entertanment

Msanii kutoka Senegal mwenye mafanikio makubwa duniani aishie kikazi huko Marekani hivi karibuni amezua mijadala juu ya mtindo wake wa kufanya show ndani ya puto kubwa Akon alifanya hivyo kwenye show yake ya huko Goma Congo mwezi uliopita katika maazimisho ya siku ya amani duniani. lakini pia Akon alionekana kwenye moja ya show zake huko Canada, wachunguzi wa mambo wanasema huenda ikawa sehem ya kampeni yake ya AKON LIGHTING  AFRICA ambapo sio chini ya makazi milioni moja yatapatiwa huduma ya umeme...

Like
262
0
Thursday, 02 October 2014
SHINIKIZO LA NDOA LAVUNJA UCHUMBA WA JORDIN SPARKS NA JASON DERULO
Entertanment

kupitia mtandao wa TMZ mwimbaji Jordan Sparks amedai kuwa chanzo cha kuvunjika kwa mahusino ya wawili hao yaliyodumu kwa muda wa miaka mitatu ni kitendo cha yeye kudai ndoa baina yao ili kuhalalisha mapenzi yao. Jordan aliongeza kwa kusema kuwa haitaji kuwepo kwa aina yeyote ya mikwaruzano ama kusemana vibaya kati yake na aliyekuwa mpenzi wake na ndio maana aliamua kukaa kimya...

Like
232
0
Thursday, 02 October 2014
JUSTIN BIEBER AMPIGA NGUMI MWANDISHI PARIS
Entertanment

Tukio hilo limetokea wakati Bieber na kundi la watu wake wakaribu wanaingia hotelini baada ya chakula cha usiku kwenye moja ya hoteli za huko Paris picha inamuonyesha Justin Bieber akiwa katikati ya mapaparazi wakikwaruzana wakati anataka kupita katika eneo hilo kitendo kilichopelekea arushe ngumi kwa mmoja wa wapiga picha. mwanamuziki huyo amekuwa akiandamwa na kesi za mara kwa mara ambapo  siku chache nyuma alituhumiwa kugonga Min Van ya...

Like
258
0
Thursday, 02 October 2014
« Previous PageNext Page »