WIZ KID AZUNGUMZIA COLLABO YAKE NA CRISS BROWN
Entertanment

  Mkali kutoka Nigeria Wiz kid Ayo amezungumzia collabo yake na Criss Brown kupitia Capital Extra ya Uingereza jumamosi iliyopita Wiz kid amesema kuwa anatarajia kuiweka ngoma hiyo ambayo amemshirikisha Criss Brown aliyoipa jina la African bad girl   kwenye Albam yake...

Like
328
0
Friday, 10 October 2014
ITAZAME VIDEO MPYA YA RICH MAVOKO BAADA YA PACHA WANGU
Entertanment

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rich mavoko jana kupitia mtandao wa instagram alipost picha zinazoonyesha uandaaji wa video yake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka South Afrika ambapo alifanya video ya wimbo wake wa Pacha wangu chini ya director Adam Juma mara kadhaa rich amekuwa akiulizwa kuhusu gharama za video hiyo inayoonekana kugharimu kiasi kikubwa cha pesa hata hivyo Rich mavoko hakuwahi kuweka wazi kwa kusema Adam Juma ndie anaefahamu gharama zake itazame teaser hapa...

Like
2371
0
Friday, 10 October 2014
UKIPEWA NAFASI YA KUTOA HUKUMU NI ADHABU GANI UNGEWAPATIA
Local News

Picha ni askari wa kikosi cha barabarani walioonyesha utovu wa nidhamu kufuatia kitendo chao cha kupiga picha za kimapenzi wakiwa na sare za kazi Kamanda wa Jeshi la Polisi Henry Mwaibambe amewataja askari hao kuwa ni PC Asuma Mpaji Mwasumbi mwenye namba F.7788,PC Fadhili Linga mwenye namba G 2122 na PC Veronica Nazaremo Mdeme na wote walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Missenyi. idara ya polisi ni moja ya vitengo vya serikali vinavyolalamikiwa kwa utovu wa maadili kwenye...

Like
369
0
Thursday, 09 October 2014
HOFU YA EBOLA YATANDA MAREKANI
Global News

Uongozi wa rais Barack Obama wa Marekani umetoa wito wa kuwepo hali ya utulivu kufuatia kupatikana kwa mgonjwa wa ebola nchini kwake. Taarifa zinasema Marekani inajiandaa kupambana na mzozo wa ugonjwa wa ebola kote nchini mwake na katika eneo. Milipuko wa ugonjwa wa ebola kwa miaka 40 iliyopita ilidhibitiwa. Marekani inatuma vikosi elfu mbili nchini Liberia kusaidia kupambana na mlipuko wa ebola ambao umeuwa takriban watu elfu tatu katika bara la Afrika magharibi. Marekani pia inajaribu kuondoa hofu kuhusu kuzuka...

Like
250
0
Thursday, 09 October 2014
TANZANIA YAPELEKA MADAKTARI SIERRA LEONE NA LIBERIA
Local News

Serikali Kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imepeleka madaktari Watano kusaidia kutoa huduma za Kitabibu katika nchi zilizoathirika na Ugonjwa wa Ebola.Hapa Dokta MMBANDO anafafanua Mbali na hayo MMBANDO ametoa tahadhari kwa Ugonjwa mpya uliojitokeza katika nchi ya Uganda ambao utapelekea kufungwa kwa mipaka kati ya Tanzania nchi hiyo...

Like
278
0
Thursday, 09 October 2014
TANZANIA IMEANDIKA HISTORIA MPYA
Local News

Tanzania imeandika historia mpya baada ya kukamilisha mchakato wa kutengeneza Rasimu pendekezwa ya Katiba Mpya na kuikabidhi kwa Rais JAKAYA KIKWETE pamoja na Rais wa Zanzibar Dokta ALLI MUHAMMED SHEIN. Akitoa hotuba yake kwa Maelfu ya Wananchi,Mabalozi waliowakilisha nchi zao pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na Kidini, Rais KIKWETE anaeleza Mbali na hayo amewasihi wajumbe waliofanya kazi ya kutunga na kurekebisha katiba kutambua na kuwa mabalozi wazuri katika kupigania na kutimiza wajibu wa kuwaelimisha wananchi juu ya katiba hiyo...

Like
487
0
Thursday, 09 October 2014
RAIS KIKWETE,DK.SHEIN WAWASILI MJINI DODOMA
Local News

    Rais wa jamuhuli ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya mrisho Kikwete amewasili mjini Dodoma leo katika Hafla maalum ya kukabiziwa katiba iliyopendekezwa na bunge maalum la katiba mheshimiwa Rais amepokelewa katika uwanja wa Jamuhuli mjini Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekua Spika wa Bunge la Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la...

Like
646
0
Wednesday, 08 October 2014
HATIMAE KENYATTA AIKABILI ICC LEO NA KUWEKA REKODI
Global News

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amefika mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC huko Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu. Yeye ni kiongozi wa kwanza wa taifa kuwasili mbele ya mahakama hiyo. Kenyatta amefika mbele ya mahakama hiyo baada ya waendesha mashtaka kuishutumu serikali ya Kenya kukata kuwasilisha ushahidi muhimu. Kenyatta amekanusha madai ya kupanga na kufadhili ghasia za kikabila nchini Kenya baada ya uchaguzi uliokumbwa na utata mwaka 2007/2008. Kikao cha leo kitatathmini ombi...

Like
261
0
Wednesday, 08 October 2014
BAADHI YA MATUKIO KATIKA KAMPENI YA MUZIKI MNENE UKONGA
Entertanment

  Efm imekuwa ikiendesha kampeni yake iliyopewa jina la muziki mnene katika jiji la Daresalaam na maeneo ya jirani kampeni hiyo imekuwa ikiwakutanisha wafanyakazi wa redio hii pamoja na wadau yani wasikilizaji toka kuanzishwa kwake ambapo imeshapitia maeneo tofauti ikiwemo Ukonga magereza yenyewe kampeni ya muziki mnene wiki hii inaendelea na itafanyika Navy beach...

Like
388
0
Wednesday, 08 October 2014
NORTH WEST KUPATIWA MBUNIFU WA MAVAZI
Entertanment

Kwa mujibu wa Grazia Magazine Kanye west na mkewe Kim Kardashian wameandaa mwanamitindo ambae kazi yake kubwa itakuwa ni kutengeneza mavazi ya mtoto wao ambayo yatafanana na mavazi ya mama yake Kim kardashian. mwanamitindo huyo ambae atakuwa analipwa kwa kazi hiyo pia yupo kwenye timu ya wabunifu wa mavazi ya Kim...

Like
425
0
Wednesday, 08 October 2014
WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA YASAINI MKATABA NA SERIKALI YA INDIA
Local News

Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia imetiliana saini Mkataba na Serikali ya India kusaidiwa Ujenzi wa Kituo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano-TEHAMA kwenye kituo cha Sayansi na Teknolojia cha NELSON MANDELA mkoani. Akizungumza mara baada ya kusaidi makubaliano hayo Waziri wa Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia Profesa MAKAME MBARAWA Lakini pia Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imesaini mkataba wa kutathmini utendaji wa kazi na bodi ya Mamlaka ya Mawasilianonchi-TCRA ili kuboresha utendaji wa kazi wa...

Like
282
0
Wednesday, 08 October 2014
« Previous PageNext Page »