SALVA KIIR, MACHAR KUKUTANA TANZANIA
Global News

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir na aliyekuwa makamu wake waliyehasimiana Riek Machar, leo wamealikwa kuhudhuria uzinduzi wa mazungumzo ya kutafuta muafaka ndani ya chama cha SPLM kinachoongoza taifa hilo lenye machafuko ya kisiasa. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika Arusha chini ya usimamizi wa CCM, chama tawala nchini Tanzania. Endapo mahasimu hao wawili watafika na kukaa meza moja itakuwa ni hatua muhimu katika jitihada ambazo zimekuwa zikifanyika na jumuiya ya kimataifa kupata muafaka wa machafuko yanayoendelea katika taifa hilo changa...

Like
277
0
Monday, 20 October 2014
EBOLA YATINGA TANZANIA!!!
Local News

  MWILI wa mtu mmoja anayesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilayani Sengerema Mkoani mwanza umezikwa jana kwa tahadhari kubwa na wataalamu wa afya. Mgonjwa huyo anayedaiwa kufariki kwa Ebola Salome Richard mwenye umri wa miaka 17, alifikishwa katika hospitali ya Sengerema siku ya Ijumaa wiki iliyopita nakufariki siku hiyo hiyo. Kwa mujibu wa muunguzi aliyempokea mgonjwa huyo SUZANA JONATHAN ambaye pia bado amewekwa chini ya uangalizi maalumu, mgonjwa huyo alifika hospitalini hapo akiwa anatokwa damu sehemu mbalimbali za wazi...

Like
422
0
Monday, 20 October 2014
VIJANA WATAKIWA KUMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUDUMISHA MUUNGANO
Local News

VIJANA wa Vyuo vya Elimu ya Juu na wametakiwa kuachana na fikra potofu za kudhani kuwa Serikali tatu ndio Suluhisho la Kero ya Muungano badala yake wametakiwa kudumisha Muungano kwa Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati mwalimu JULIUS NYERERE. Hayo yamebainishwa Jijini Dar es salaam na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi-CCM Bara PHILIP MANGULA wakati akizungumza katika mkutano wa Vijana Wanafunzi wa vyuo Vikuu. Kwa upande wake Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho NAPE NNAUYE amevibeza Vyama vya...

Like
271
0
Monday, 20 October 2014
HAYA NI MACHACHE KUTOKA KWENYE MOYO WA SHILOLE
Entertanment

Kufuatia maneno ya hapa na pale juu ya mahusiano kati ya msanii Shilole na Nuh mziwanda, haya ndio machache ambayo Shilole ameyatoa kutoka Moyoni mwake kupitia mtandao wa instagram msanii huyo aliwataka wanaoyachukia mapenzi yao wawache kama...

Like
432
0
Monday, 20 October 2014
MTOTO WA BONDIA MOHAMED ALLY AKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA BABA YAKE
Entertanment

mtoto wa aliekuwa Bondia mashuhuri duniani Mohamed Ally, Leila Ally amekanusha uvumi unaendelea sehemu mbalimbali duniani juu ya Afya ya baba yake anaesumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu Leila amedai baba yake yupo hai na hakuna ukweli wowote juu ya taarifa za kifo cha baba yake  ingawa kimsingi baba yake huyo ani mgonjwa. Kwa miaka mingi sasa Bondia huyo mashuhuri duniani mwenye umri wa miaka 72 alianza kusumbuliwa na maradhi mnamo mwaka 1984  ...

Like
444
0
Friday, 17 October 2014
FAINALI ZA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA ZAINGIA UTATA KUFUATIA KUENEA KWA EBOLA
Slider

Kuenea kwa ugonjwa wa Ebola umefanya fainali za Kombe la mataifa ya Afrika kuwa mashakani. Fainali hizo zimepangwa kufanyika nchini Moroco kuanzia Januari 17 lakini nchi hiyo iliwaeleza waandaji wa mashindano hayo kwamba wangependa kusogeza mbele mashandano hayo. Serikali ya Moroco imekuwa na wasi wasi maambukizo ya virusi vya ebola kutoka nchi za magharibi mwa Afrika. Shirikisho la kandanda barani Afrika CAF linatarajiwa kutoa uamuzi wa mwisho mwezi novemba kama nitasogeza mbele mashindano hayo au la japo limekuwa likisisitiza kuwa...

Like
321
0
Friday, 17 October 2014
SIMBA NA YANGA KUKICHAPA KESHO KWENYE MCHEZO WA LIGI KUU
Slider

Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba, kimerejea nnchini kimyakimya toka Afrika kusini baada ya kumaliza kambi yake na sasa wapo tayari kuwavaa watani wao wa jadi Yanga katika mchezo wa ligi kuu uatakaopigwa keshokutwa jumamosi kwenye uwanja wa taifa jijini Daresalaam. ikiwa huko Afrika kusini Simba chini ya kocha wake Mzambia Patrick Phiri, imecheza mechi tatu za kujipima nguvu, ambapo imekwenda sare mechi mbili na kuchezea kichapo mechi moja Tumezungumza na mjumbe wa kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tulli,...

Like
309
0
Friday, 17 October 2014
JESHI LA MAREKANI KUPAMBANA NA EBOLA AFRIKA MAGHARIBI
Global News

Rais wa Marekani Barack Obama amethibitisha wito wa kulitumia jeshi la nchi hiyo na wale wa akiba iwapo watahitajika kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola Afrika magharibi. Rais Obama amesema wanajeshi hao wataongeza nguvu ya jeshi katika kutoa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo. Kundi la kwanza la wanajeshi hao linatarajiwa kupelekwa kusaidia ujenzi wa vituo 17 vya kutolea tiba ya ugonjwa huo, katikati mwa Liberia, moja ya nchi iliyoathiriwa vibaya na ugonjwa huo. Maafisa wa kikosi cha ulinzi...

Like
418
0
Friday, 17 October 2014
CHADEMA YAKUTANA KUJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Local News

KAMATI kuu ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA imekutana katika kikao chake cha kawaida kujadili pamoja na mambo mengine mchakato wa katiba mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbalimbali wakati wa kutungwa kwa sheria ya katiba na marekebisho yake na baadaye, sheria ya kura ya maoni  TUNDU LISSU Naye Katibu Mkuu wa Chama hicho, DR WILLBROD SLAA amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura katika uchaguzi wa serikali...

Like
272
0
Friday, 17 October 2014
SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA YAWEKA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA EBOLA
Local News

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imewataka viongozi wa ngazi zote nchini kuanzia ngazi ya jamii hadi mkoa kuwaelimisha ipasavyo wananchi kushiriki kikamilifu katika kampeni ya utoaji chanjo ya kutibu magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Surua na Rubella. Wito huo umetolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara Dokta DONAN MMBANDO… Mbali na hayo pia Dokta MMBANDO amebainisha mikakati mbalimbali inayoandaliwa na serikali katika kujiweka sawa kupambana na ugonjwa hatari wa...

Like
286
0
Friday, 17 October 2014
HII NDIO LESENI YA UDEREVA YA MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU
Entertanment

Baada ya passport kuonyesha umri tofauti na ule alioutaja kwa kuangalia mwaka wa kuzaliwa hoja na maswali yasintofaham yamezidi kuongezeka juu ya miss huyo na hii ni inadaiwa kuwa leseni yake ya...

Like
1148
0
Thursday, 16 October 2014
« Previous PageNext Page »