Local News

Wajasiriamali wahofia usimamizi wa jeshi katika sakata la korosho
Local News

Wanawake wajasiriamali wanaoshughulika na kubangua korosho nchini wamelalamikia mpango mpya uliotangazwa na rais Magufuli ambapo sasa jeshi la nchi litasimamia biashara shughuli hiyo. Wanawake hao wanasema kuwa hatua hiyo itawanyima fursa ya ununuzi wa kiwango cha kawaida kwa lengo la biashara ndogo ndogo kwani, wana wasiwasi kwamba huenda jeshi likabadili kabisa mfumo wa uuzaji korosho tofauti na walivyo zoea. Hapo jana ikiwa ni kabla ya muda uliowekwa kwa wafanyabiashara kujiorodhesha ili wanunue korosho ya wakulima mkoani Mtwara, rais...

Like
1150
0
Tuesday, 13 November 2018
Serikali ‘yakaza buti’ mzozo wa korosho
Local News

Rais John Magufuli amesema kwamba kuanzia Jumatatu wanunuzi wa korosho hawaruhusiwi tena kununua bidhaa hiyo kutoka kwa wakulima. Serikali sasa iko tayari kununua korosho hizo kwa gharama ya shilingi 3,300 badala ya shilingi 3000 za kitanzania ambayo ni sawa na dola 1.4. Na kukabidhi rasmi kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuzichukua korosho hizo. Mzozo huu wa korosho umekuwa gumzo kubwa kwasababu korosho zina umuhimu mkubwa kutokana na kuwa usafirishaji wake katika nchi za nje ndio mojawapo...

1
630
0
Monday, 12 November 2018
Serikali yatishia kufuta leseni za wafanyabiashara wa korosho
Local News

Sakata la korosho nchini  lianendelea kufukuta na sasa serikali ya nchi hiyo imewapa wafanyabiashara siku nne za mwisho kununua zao hilo. Siku 11 zilizopita, Rais John Magufuli pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walikutana na wanunuzi wa zao hilo baada ya kutokea mgomo wa wakulima kuuza korosho zao kwa wanunuzi hao. Mwaka jana zao hilo liliuzwa kwa wastani wa Shilingi 4,000 kwa kilo lakini mwaka huu bei ikaporomoka mpaka wastani wa Sh1,900 mpaka Sh2,700 kwa kilo. Mgomo wa wakulima hao...

Like
581
0
Friday, 09 November 2018
CPJ yapatwa na hofu ya wafanyakazi wake kukamatwa
Local News

Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi wa Habari CPJ imezitaka Mamlaka nchini Tanzania kuwaachia huru wawakilishi wake wawili barani Afrika, Mratibu wa progam barani Afrika Angela Quintal na Muthoki Mumo mwakilishi wa CPJ kusini mwa jangwa la Sahara ambao wanadaiwa kukamatwa na Idara ya Uhamiaji nchini. Kwa mujibu wa Taaarifa iliyotolewa na kuchapishwa kwenye tovuti ya CPJ, Afisa mmoja aliyejitambulisha kuwa ni mfanyakazi wa Idara ya Uhamiaji aliwakamata wafanyakazi hao wawili wa CPJ Angela Quintal na Muthoki Mumo, katika hotel...

Like
637
0
Thursday, 08 November 2018
Mashoga wapo salama
Local News

Waziri wa Mambo ya Ndani nchi Kangi Lugola amesema kuwa wapenzi wa jinsia moja hawapo hatarini nchini humo. Lugola amesema japo ushoga ni kosa la jinai nchini, wanaojihusha na vitendo hivyo hawatishiwi maisha na wala hawaikimbii nchi. Akizungumza na gazeti la serikali la Habari Leo, Lugola amekanusha kuwa wapenzi wa jinsia moja wapo hatarini. “Ninachosema ni kuwa Tanzania ni salama na hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kuwa sio salama bila ya kuwa na vigezo husika, kama mtu yeyyote anahatarishiwa maisha...

Like
886
0
Wednesday, 07 November 2018
Abdul Nondo ashinda kesi ya ‘kujiteka’
Local News

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi  (TSNP), Abdul Nondo. Nondo ameshinda kesi aliyofunguliwa na upande wa jamuhuri toka mwezi Machi mwaka huu. Katika kesi hiyo, Nondo alikuwa anakabiliwa na mashtaka mawili, la kwanza kutoa taarifa ya uongo kwa ofisa wa polisi wa kituo Mafinga akidai alitekwa na watu wasiojulikana. Katika shtaka la pili, Nondo alidaiwa kutoa taarifa za uongo mtandaoni kuwa yupo katika hatari. Kesi hiyo ilikuwa ikisikilizwa na Hakimu Liad Chamchama na Nondo...

Like
839
0
Monday, 05 November 2018
Biashara ya ngono na ushoga vita vikali na rc makonda
Local News

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameunda kamati maalum ya watu 17 ili kuhakikisha kuwa watu wanaofanya biashara chafu za ngono wanachukuliwa hatua za kisheria. Kamati hiyo ambayo imejumuisha watu kutoka bodi ya filamu, Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA, polisi kutoka kitengo cha kuzuia uhalifu wa mitandao,madaktari na wanasaikolojia. Makonda amesema kuwa kamati hiyo aliyoiunda itafanya kazi katika makundi manne; Kamati itakayoshughulika na mashoga wanaojitangaza na wasiojitangaza lakini wanajulikana kuwa mashoga. Kamati...

1
953
0
Thursday, 01 November 2018
Rais Magufuli atema cheche anguko la bei ya korosho
Local News

Panda shuka za zao la korosho nchini  zimemvuta Rais John Pombe Magufuli na sasa ametishia tena kuchukua hatua kali. Siku chache zilizopita msimu mpya wa mauzo ya zao la korosho ulifunguliwa huku bei ya zao hilo zikishuka maradufu. Korosho ndio chanzo kikuu cha fedha na tegemeo la kiuchumi kwa wakazi wa mikoa ya kusini. Wakaazi hao kutokana na unyeti wa sekta hiyo waligomea bei mpya kati ya Sh1,900 mpaka Sh2,700 kwa kilo ikiwa ni anguko la kutoka wastani wa Sh4,000...

Like
1275
0
Tuesday, 30 October 2018
Mizizi na asili ya nguli wa muziki duniani na visiwa vya Zanzibar
Global News

Filamu mpya imeingia sokoni kuhusu bendi ya mziki ya Queen kutoka Uingereza, na macho yameelekezwa tena juu ya maisha ya muimbaji kinara wa bendi hiyo Freddie Mercury. Ushawishi wake jukwaani, mavazi, mizizi yake na kifo chake kutoana na maradhi yanayohusiana na ugonjwa wa ukimwi akiwa na umri wa miaka 45 mwaka 1991 ni kumbukumbu tosha za mwanamuziki huyo wa miondoko ya rock kuanzia miaka ya sabini na themanini. Kile ambacho wengi hawakifahamu na hakizungumziwi sana katika filamu ni kuwa alizaliwa...

Like
1091
0
Wednesday, 24 October 2018
Asa Mwaipopo na wakuu wa kampuni ya madini washtakiwa kwa uhalifu wa kiuchumi
Local News

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya uchimbaji madini Tanzania Acacia Mining, Asa Mwaipopo amefikishwa mahakamani hii leo kwa mashtaka ya uhalifu wa kiuchumi. Mwaipopo mwenye umri wa miaka 55 alikamatwa hapo jana mjini Dar es salaam. Anajiunga na wengine sita ambao wanazuiwa tangu wiki iliyopita kwa makosa hayo akiwemo Deogratias Mwanyika aliyekuwa makamu wa rais wa kampuni ya Barrick Gold na mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya Bulyanhulu mine, na Alex lugendo mwenye umri wa miaka 41 ambao tayari wako rumande....

Like
891
0
Wednesday, 24 October 2018
Jiwe lililotokana na ‘taa ya wachawi’
Local News

Kupiga picha kwenye kimondo cha Mbozi ni tukio la kipekee kwenye kivutio cha utalii kilichopo wilayani Mbozi, mkoa wa Songwe, Nyanda za Juu Kusini nchini Tanzania. “Wengi huwa wanafurahia kupiga picha kwa sababu ni kitu cha kipekee na tunaamini kuwa mtu akishapiga picha anakuwa balozi wa kimondo hiki kwa wengine,” anasimulia Beatus Bonabana, Mhifadhi, kivutio cha Kimondo Mbozi, anaongeza akisema. ‘Katika miaka ya nyuma, wenyeji wa eneo hilo walikuwa wanakitumia sehemu hiyo kwa ajili ya maombi ya kupata kitu, walifanya...

1
1731
0
Tuesday, 23 October 2018