Local News

zawadi nono mwenye taarifa kuhusu dewji
Local News

Familia ya mfanyabiashara wa Tanzania  Mohammed Dewji imetangaza zawadi nono ya shilingi billioni moja kwa yeyote atakaetoa taarifa muhimu zitakazofanikisha kupatikana kwa mfanyabiashara huyo...

Like
700
0
Monday, 15 October 2018
Erasto Nyoni kuitwa taifa stars
Local News

Nyota wa Simba SC Erasto Nyoni ameitwa kikosi cha Taifa Stars kitachoshuka dimbani jumanne ijayo kucheza mechi ya Marudiano na Cape Verde katika mbio za kwenda Cameroon kucheza AFCON 2019. Nyoni anachukua nafasi ya Hassan Kessy ambaye ataukosa mchezo huo kwa kuwa na kadi mbili za...

Like
1306
0
Monday, 15 October 2018
Mambosasa asema wanawahoji 26 kutekwa kwa Mo Dewji
Local News

      Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, inaendelea na uchunguzi wa alipo mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ na hadi sasa linawashikiliwa watu 26  ...

Like
607
0
Sunday, 14 October 2018
Oktoba 14 ni maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa.
Local News

Leo Oktoba 14 ni maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwl. Nyerere alifariki dunia 14 Oktoba 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, mjini London, baada ya kuugua Saratani ya Damu. #NyerereDay...

Like
1632
0
Sunday, 14 October 2018
Mfanyabiashara Mohamedi Dewji ametekwa na watu wasiojulikana jijini das es salaam
Local News

Mfanyabiashara Mohamedi Dewji ametekwa na watu wasiojulikana leo asubuhi wakati akienda kufanya mazoezi (gym). Taarifa za awali zinaeleza kuwa, Watu hao walifyatua risasi angani wakati akiingia Gym nakumchukua na kuondoka...

Like
697
0
Thursday, 11 October 2018
Watu 55 wafariki katika ajali ya basi Kenya wakielekea Kisumu, Magufuli atuma rambirambi
Local News

Watu 55 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali kwenye barabara kuu ya Nairobi-Kisumu. Walioshuhudia wanasema kuwa ajali hiyo ilitokea leo mwendo wa saa kumi na moja alfajiri. Ajali hiyo mbaya ilitokea katika eneo la Fort Ternan Kaunti ya Kericho. Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli ni miongoni mwa waliotuma salamu za rambirambi kwa...

Like
702
0
Thursday, 11 October 2018
Tanzia; Mtayarishaji maarufu  wa Muziki afariki dunia
Entertanment

Mtayarishaji wa muziki Pancho Latino amefariki dunia. Taarifa za awali zinaeleza kuwa Pancho amefikwa  na umauti kwa ajali ya maji katika kisiwa cha Mbudya jijini  Dar es Salaam leo Octoba 9/2018. Tunatoa pole kwa ndugu na jamaa na marafiki pamoja na wadau wa muziki kufuatia msiba huu. Mungu ampuzishe ndugu yetu mahali pema...

Like
744
0
Tuesday, 09 October 2018
wananchi wagoma kupanda vivuko vya ukerewe.
Local News

Wananchi wa kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani mwanza wamegoma kupanda vivuko vya MV Sabasaba na MV Ukara na kutishia kuviponda mawe wakidai kuwa na mashaka na usalama wa vivuko hivyo. Hii ni kufuatia kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere mapema mwezi septemba na kusababisha vifo zaidi ya...

Like
940
0
Tuesday, 09 October 2018
wese bure dar es salaam
Local News

matukio katika picha ; Namba ya bahati 93.7 Efm Dar es salaam inawawezesha wasikilizaji wake wa mbagala zakhem mapema leo, Kwa kugawa mafuta (petroli) bure kwa pikipiki na bajaji....

Like
950
0
Tuesday, 09 October 2018
mtikisiko na vishindo vyaikumba 95.5 morogoro
EVENTS

Mtikisiko na vishindo vya wana mazoezi wa  95.5 morogoro vyasikika mapema asubuhi ya leo MATUKIO KWA...

Like
792
0
Saturday, 06 October 2018
Wallace Karia; mchezo wa October 12 ni Muhimu sana
Local News

“Mchezo wa October 12 ni muhimu sana kabla ya October 16, 2018 kwa hiyo sasa hivi tuangalie wa October 12 kwa sababu inabidi tukacheze kule Cape Verde halafu October 16 tunamalizia hapa Wallace Karia, Rais TFF. Watanzania waiunge mkono Taifa Stars, Waziri Mwakyembe na serikali yetu kwa kuchangia lakini mchango huo ni nauli yao wenyewe ya kuwafikisha Cape Verde. Cape Verde tutakwenda kwa mambo mawili, tangu ndege yetu imenunuliwa mipango yake ilikuwa ni kuwa na safari za nje ya nchi....

Like
586
0
Saturday, 06 October 2018