Global News

Saudi Arabia yakataa kupokea vitisho vya kisiasa na kiuchumi
Global News

Saudi Arabia imekataa kupokea “vitisho vya kisiasa na kiuchumi” juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi, idara ya habari ya Saudi Arabia imeharifu. Taifa hilo limeeleza kuwa linaweza kujibu shinikizo lolote kwa kuchukua hatua kubwa zaidi,mmoja wa maafisa wa juu ambaye jina lake alifahamiki alisema.” Khashoggi, ambaye amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Saudi Arabia alitoweka Oktoba 2 katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutembelea ubalozi wa nchi hiyo mjini Istanbul,...

Like
1139
0
Sunday, 14 October 2018
Kutoweka kwa Jamal Khashoggi: Mkuu wa UN ataka ‘ukweli’ kuhusu kutoweka kwake
Global News

Taarifa za kutoweka kwa mwanahabari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi na madai ya kwamba huenda ameuawa zimeendelea kugonga vichwa vya habari kote duniani Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres sasa anasema kuwa ”anataka ukweli” kuhusiana na kutoweka kwa mwanahabari Jamal Khashoggi. Bwana Guterres ameimbia BBC kuwa anahofia visa vya kutoweka kwa watu kama vile mwanahabari Jamal Khashoggi huenda ikawa “Jambo la...

Like
1490
0
Saturday, 13 October 2018
Je chama cha Kijani Ujerumani ni chama kipya cha umma?
Global News

Je chama cha Kijani Ujerumani ni chama kipya cha umma? Je chama cha Kijani kimepevuka hadi kuwa chama kikubwa cha umma Ujerumani? Siku zake za mwanzo wanachama wake walikuwa wanavaa makubadhi na kufuga nywele ndefu kama ishara ya kampeni yao ya kupambana na vyama vikubwa. Lakini sasa wanakijani wamepevuka na yumkini wako tayari kuyatekeleza majukumu ya vyama vikubwa vya umma. Kilipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1986 na msimamo mkali wa kutetea mazangira chama cha kijani kiliutikisa mfumo...

Like
580
0
Saturday, 13 October 2018
Kanye West adai kofia ya Trump imempa nguvu za Superman, akosoa shule za siku hizi
Global News

Si jambo la kushangaza kusikia Kanye West mmoja kati ya wasanii maarufu zaidi duniani katika miondoko ya kufoka foka amekutana na Rais wa Marekani Donald Trump. Kwa muda mrefu sasa amekuwa akionyesha hisia zake wazi wazi za kumsifu Trump kupitia ukurasa wake wa Twitter na mahojiano mbali mbali. Hata hivyo amekuwa akiwakosoa wanaomkemea kwa kuwataka wamwache awe na uhuru wa mawazo...

1
592
0
Friday, 12 October 2018
Nini kinabaini umri wa mvulana kubaleghe
Global News

Umri wa vijana kubaleghe unalinganishwa na wakati mama zao walipo vunja ungo, utafiti unaonyesha. Akina mama ambao walivunja ungo mapema kuliko wasichana wenzao wanaishiwa kuwa na watoto wa kiume ambao wana: • wana nywele za kwapani miezi miwili na nusu mapema zaidi • wanatokwa na chunusi na sauti kubadilika miezi miwili mapema zaidi. Kwa upande mwingine mabinti zao, huota maziwa miezi sita mapema...

Like
586
0
Friday, 12 October 2018
maporomoko ya ardhi yaua uganda
Global News

  Takriban watu 40 wameripotiwa kufariki katika wilaya ya Bududa Mashariki mwa Uganda baada ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha huko kusababisha mto Tsuume kuvunja kingo zake na kusomba takriban nyumba 100. Shughuli za uokoaji...

Like
1111
0
Friday, 12 October 2018
Kiongozi wa #BringBackOurGirls kuwania urais Nigeria
Global News

Oby Ezekwesili ni mwanamama jasiri na maarufu nchini Nigeria anayetaka hivi sasa kupambana katika ulingo wa siasa za kuwania urais katika taifa ambalo kwa miaka mingi ni wanaume ndio wanaozihodhi siasa za nchi hiyo. Mwanamke aliyeongoza kampeni ya kimataifa ya kutaka waachiwe huru wasichana washule ya Chibok waliotekwa nyara na kundi la itikadi kali la Boko Haram sasa ameamua kugombea urais nchini Nigeria.Oby Ezekwesili ni mwanamke mashuhuri nchini humo. Oby Ezekwesili ni mwanamama jasiri na maarufu nchini Nigeria anayetaka hivi...

Like
583
0
Thursday, 11 October 2018
Rais Trump ataka ukweli upatikane mkasa wa kupotea mwandishi wa habari Uturuk
Global News

Rais Donald Trump wa Marekani ameahidi kwamba ukweli wote utapatikana kuhusiana na kupotea kwa mwandishi wa mwenye asili ya Saudia Jamal Khashoggi ambaye kwa mara ya mwisho alikwenda katika majengo ya Ubalozi wa Saudia nchini Uturuk oktoba mbili mwaka huu.Mamlaka za Uturuki zinasisitiza kwamba Khashoggi. Trump amewaambia waandishi wa habari kwamba sana jambo hilo na mamlaka za Saudia na kutaka maelezo ya kina kutolewa. “Hatuwezi vumilia vitendo kama hivyo kutokea kwa waandishi ama kwa mtu awaye,” Trump Ameongeza kwamba wanahitaji...

Like
654
0
Thursday, 11 October 2018
Trump kumchagua balozi mpya wa UN mwezi huu
Global News

Rais Donald Trump wa Marekani amesema atafanya maamuzi katika kipindi cha wiki mbili ama mapema zaidi kuhusu kumchagua balozi mpya akayeiwakilisha Marekani katika Umoja wa Mataifa. Rais Donald Trump wa Marekani amesema atafanya maamuzi katika kipindi cha wiki mbili ama mapema zaidi kuhusu kumchagua balozi mpya akakayeiwakilisha Marekani katika Umoja wa Mataifa. Balozi wa sasa Nikki Haley ametangaza kujiuzulu wadhifa huo jana, na rais Trump amekubaliana na uamuzi huo. Nikki Haley, balozi wa sasa wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa...

Like
503
0
Wednesday, 10 October 2018
Idadi ya vijana wanaokunywa pombe imeshuka kwa kiwango kikubwa
Global News

  Idadi ya vijana wasiozidi umri miaka 25 wanaokunywa pombe imeshuka kwa kiwango kikubwa mno katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Utafiti uliojumuisha vijana 10,000 nchini Uingereza na kuchapishwa katika jarida la kiafya la BMC Public Health, umebaini kuwa Idadi ya vijana wa kati ya miaka 16 – 24 wasiobugia mvinyo 🍻🍻imeongezeka kutoka asilimia 18% mwaka 2005 hadi 29% mwaka 2015. Utafiti huu unathibitisha ushahidi wa awali kuwa idadi ya watu wanaojiburudisha kwa pombe🥂🥂 inapungua kwa kasi nchini...

Like
551
0
Wednesday, 10 October 2018
Ajali ya basi yaua 42 Kenya
Global News

Ajali: Watu zaidi ya 40 wafariki katika ajali ya basi Kenya Watu 42 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali kwenye barabara kuu ya Nairobi-Kisumu. Mashuhuda wanasema kuwa ajali hiyo ilitokea leo mwendo wa saa kumi na moja alfajiri. Vyombo vya Habari nchini Kenya vinaripoti Kuwa ajali hiyo mbaya ilitokea katika eneo la Fort Ternan Kaunti ya...

Like
642
0
Wednesday, 10 October 2018