Sports

no-cover
Sports

Hatimaye kiungo anayehusishwa kujiunga na Young Africans, Fabrice Mugheni, amewaaga rasmi mashabiki wa timu yake ya Rayon Sports ya Rwanda kwa kuwaambia ataondoka mwishoni mwa msimu huu. Fabrice raia wa DR Congo aliwahi kusema kuwa, aliombwa video zake na Injinia Hersi Said ambaye ni Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM ambaye pia anahusika na masuala ya usajili ndani ya Young Africans. Fabrice kupitia mtandao wake wa Instagram, aliwaaga rasmi mashabiki wa timu hiyo jambo ambalo linatafsiriwa kama huenda akawa alishamalizana na Young...

4
905
0
Friday, 12 June 2020
Man Utd na Real Madrid zagongana kwa Lautaro Martinez
Sports

Manchester City wamejiandaa kuanza mapambano dhidi ya Chelsea kuhusu huduma za mlinzi wa pembeni wa Leicester City Ben Chilwell, 23, baada ya kuonyesha kiwango murua akiwa kwa mbweha hao. Napoli hawatapunguza bei ya beki wao raia wa Senegal Kalidou Koulibaly, 28, ambapo wanataka Pauni Milioni 100, haya yanakuja kipindi ambacho anahusishwa kujiunga na miamba kama Manchester United, Manchester City na Paris Saint Germain. Manchester United na Real Madrid wanamchunguza mshambuliaji wa Inter Milan Lautaro Martinez 22, baada ya mazungumzo ya...

Like
846
0
Monday, 08 June 2020
Kocha mkuu Luc Eymael kurejea Tanzania Juni 06/07 kunoa kikosi chake.
Sports

Kocha mkuu wa Young Africans Luc Eymael amethibitisha kupokea tiketi ya ndege, kwa ajili ya safari ya kurejea Tanzania kuendelea na kazi ya kukinoa kikosi chake.     Eymael amethibitisha taarifa za kupokea tiketi ya safari, baada ya kueleza wazi namna uongozi wa Young Africans ulivyokua umekaa kimya kuhusu mpango wa kumrudisha nchini ili aendelee na kazi. Kocha huyo amesema amepanga kuanza safari ya kuja nchini Juni 06 ama 07 na atakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa ajili ya...

1
711
0
Thursday, 04 June 2020
uongozi wa klabu ya Yanga waachia ngazi
Local News

Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Samwel Lukumay na aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji, akishikilia nyadhifa za Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano na Mwenyekiti wa Kamati ya usajili, Hussein Nyika, wamejiuzulu nafasi zao leo Machi 27, 2019. Nyika na Lukumay wametangaza hilo, kwenye makao makuu ya klabu hiyo ambapo wamesema kuwa wamefanya hivyo ili kupisha uchaguzi utaowezesha klabu hiyo kupata viongozi wapya. Aidha, viongozi hao ndio waliokuwa wamebaki kwenye uongozi wa Yanga ambao uliingia madarakani mwaka 2016 baada ya wengine...

Like
1148
0
Wednesday, 27 March 2019
Kombe la FA: Mabingwa watetezi Chelsea kuminyana na Man Utd
Sports

Mabingwa watetezi wa kombe la FA, Chelsea, wataminyana na mabingwa mara 12 wa kombe hilo, Manchester United, katika mzunguko wa tano wa michuano hiyo. Mechi ya miamba hiyo itakuwa ni marudio ya fainali ya mwaka jana mabapo Chelsea waliibuka na ushindi. Timu ya Ligi Daraja la Pili ya Newport County wanaweza kuminyana na mabingwa wa Ligi ya Premia Manchester City iwapo watawang’oa Middlesbrough katika mechi yao ya marudiano. Timu ya Ligi Daraka la Kwanza Doncaster Rovers wamenuwia kuwang’oa Crystal Palace...

1
1142
0
Tuesday, 29 January 2019
Real Madrid yafunika kwa ukwasi, ‘yaichapa’ Barcelona
Sports

Klabu ya Real Madrid imetangazwa kuwa klabu ya soka duniani kote iliyoongoza kwa kuingiza fedha nyingi zaidi kati ya mwaka 2017/2018. Klabu hiyo ya Hispania yenye rekodi ya kushinda makombe ya misimu mitatu mfululizo ya Ligi ya Mabingwa, imeripotiwa kutengeneza $854.8 milioni katika kipindi hicho, kwa mujibu wa Deloitte Football Money League la mwaka 2019. Klabu ya Barcelona ambayo sasa inaongoza La Liga imechukua nafasi ya pili katika orodha hiyo ikiwa imeingiza $785.5 milioni, na magwiji wa Uingereza, Manchester United...

Like
864
0
Friday, 25 January 2019
Ronaldo aingia katika makubaliano na mahakama ili kukwepa kifungo jela
Sports

Nyota wa soka Cristiano Ronaldo ameingia katika makubaliano na mahakama ya Madrid kuhusu madai ya kukwepa kulipa kodi baada ya kubali kupigwa faini ya €18.8m (£16.6m) fine. makubaliano yaliofikiwa yanashirikisha kifungo cha miezi 23 jela Jaji mmoja alikataa ombi la mchezaji huyo kuhudhuria kesi hiyo kupitia kanda ya video ama hata kuingia katika jumba hilo kwa kutumia gari ili kuzuia kuandamwa na vyombo vya habari. Nchini Uhispania, wafungwa huwa hawahudumii kifungo cha chini ya miaka miwili. Hali ya makosa ya...

Like
659
0
Tuesday, 22 January 2019
Mourinho agoma kuzungumzia kufutwa kazi
Sports

Jose Mourinho anasema kwamba, hawezi kuzungumzia kuhusu kuondoka kwake kutoka kwenye ukufunzi mkuu wa timu ya soka ya Manchester United, kwa sababu ya “heshima kubwa aliyo nayo” kwa Mashetani Wekundu. Mreno huyo alifutwa kazi siku ya Jumanne baada ya kukifunza timu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili u nusu. Timu ya Man United ipo kwenye nafasi ya 6 katika jedwali la mchuano wa Ligi kuu ya Premia, alama 19 nyuma ya viongozi Liverpool. “Nilikuwa na furaha kubwa kuvalia nembo ya...

Like
639
0
Thursday, 20 December 2018
Samatta kuwindwa na vilabu vya  uingereza
Sports

Imeripotiwa kuwa Klabu za Evarton, West Ham , Burnley na Brighton zinaiwinda saini ya mshambuliaji wa Genk na kapteni wa Taifa stars Mbwana Ali Samatta. Samatta ameonesha kiwango cha juu msimu huu ambapo mpaka sasa amefunga magoli 14 katika mechi 16 alizocheza....

1
1395
0
Tuesday, 09 October 2018
Ballon d’Or: Sergio Aguero na Gareth Bale miongoni mwa wanaoshindania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka duniani
Sports

Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, kipa wa Liverpool Alisson, mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema na straika wa Paris St-Germain Edinson Cavani ni miongoni mwa wachezaji walioteuliwa kushindania tuzo ya Ballon d’Or mwaka huu. Mshambuliaji wa Wales Gareth Bale anayechezea Real Madrid pia ameorodheshwa...

1
845
0
Monday, 08 October 2018
John Terry: Kapteni wa zamani wa England na Chelsea astaafu soka
Sports

Aliyekuwa kapteni wa timu ya taifa ya England na Chelsea John Terry amestaafu katika soka. Terry, mwenye umri wa miaka 37, hajaichezea klabu yoyote tangu aondoke timu ya mabingwa Aston Villa msimu wa joto. Mlinzi huyo alitoa tangazo hilo kwenye akaunti yake ya Instagram, akisema: “Baada ya miaka 23 kama mchezaji wa soka, nimeamua sasa ndio muda muafaka kwangu mimi kustaafu kutoka mchezo wa soka.” Terry, aliyejinyakulia mataji 78 England, aliondoka Chelsea mnamo 2017 baadaya kuichezea klabu hiyo ya London kwa miongo...

Like
923
0
Monday, 08 October 2018