Sports

LEGEND WA MCHEZO WA BASEBALL YOGI BERA AFARIKI DUNIA
Slider

Legend wa mchezo wa baseball kutoka nchini Marekani, Yogi Berra ambae alikuwa chachu ya utengenezwaji wa vibonzo vya Yogi Bear amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Jengo la kumbukumbu linalofanya hifadhi ya kumbukumbu za kazi na maisha ya ya legend huyu lilitangaza habari za kifo cha Yogi Berra siku ya jumanne jioni. Berra ambae ameitumikia timu ya New York Yankees kwa takribani miaka 19 amewahi kuwa mchezaji mwenye thamani ya juu kwa mara tatu huku akiweka rekodi ya...

Like
280
0
Wednesday, 23 September 2015
DAKTARI WA CHELSEA ABWAGA MANYANGA
Slider

Daktari wa klabu ya Chelsea ya nchini England Eva Carneiro ameamua kuondoka katika klabu hiyo wiki sita baada ya kukwaruzana na meneja wa timu Jose Mourinho. Carneiro aliingiliwa katika majukumu yake baada ya Mourinho kusema kuwa benchi lake la matibabu lilikuwa na watu wasiojua majukumu yao kwa kumtibu hovyo Eden Hazard wakati wa sare ya 2-2 na Swansea tarehe 8 Agosti. Chelsea ilimuomba Carneiro mwenye miaka 42 kurejea kazini lakini alikataa na kwa sasa analishughulikia suala hilo kisheria zaidi. Chama...

Like
273
0
Wednesday, 23 September 2015
FERGUSON ATAJA TOP 4 KATIKA KIPINDI CHAKE
Slider

Aliyewahi kuwa meneja wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson amesema ni wachezaji wanne tu ambao wanaingia kwenye orodha ya wachezaji bora duniani aliowahi kufanya nao kazi katika kipindi cha miaka 26 ya utumishi katika fani yake. Mwalimu huyu ambae anarekodi ya kutwaa taji la klabu bingwa mara mbili na mataji 13 ya ligi kuu ya Uingereza mara 13 akiwa na kikosi cha Man U alitaja wachzaji hao wakati wa mahojiano yake na kituo cha BBC. Ferguson alianza kumtaja...

Like
244
0
Tuesday, 22 September 2015
LOUIS VAN GAAL: TUPO TAYARI KUPAMBANA
Slider

Meneja wa klabu ya Manchester United,Louis van Gaal amesema kwamba klabu hiyo ina uwezo wa kupambana kunyakua taji la Premier League. Ushindi wa Manchester United dhidi ya Southampton umethibitisha kuwa tunauwezo wa kuchuana vikali kutwaa taji la ligi kuu, Alisema meneja Louis van Gaal. Kikosi cha Man U chini ya Mholanzi van Gaal siku ya jumapili kilifanikiwa kuitandika klabu ya Southampton 3-2 katika uwanja wa St Mary huku mshambuliaji wake mwenye miaka 19 Anthony Martial akiiandikia klabu hiyo magoli mawili...

Like
280
0
Monday, 21 September 2015
RAIS WA KRIKETI INDIA AFARIKI DUNIA
Slider

Rais wa bodi ya Kriket ya India Jagmohan Dalmiya amefariki dunia. Dalmiya mwenye miaka 75 alifikishwa hospitalini siku ya Alhamisi wiki iliyopita kutokana na maumivu ya kifua huku akilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi. Amehudumu katika nafasi ya Urais wa Kriket nchini humo tokea mwaka 2001 mpaka 2004 kwa kipindi cha mpito wa uongozi wa chama hicho ambapo alirudi tena madaraani mwaka 2013 mpaka Machi 2015. Alikuwa pia kiongozi katika shirikisho la dunia la mchezo huotokea mwaka 1997 mpaka...

Like
300
0
Monday, 21 September 2015
MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE
Entertanment

Wakazi wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene. Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe, ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli mawili huku EFM ikiambulia sifuri. \ Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha...

Like
366
0
Monday, 21 September 2015
MAPATO YA MANCHESTER YAPUNGUA
Slider

Mapato ya kilabu ya Manchester United yalianguka kwa pauni milioni 38 msimu uliopita baada ya kushindwa kufuzu katika mechi za vilabu bngwa Ulaya. Jumla ya mapato ya timu hiyo ni pauni milioni 395.2 chini kutoka pauni milioni 433.2 lakini fedha za ufadhili ziliongezeka na kuvunja rekodi kwa asilimia 14 na kufikia pauni milioni 154.9 . Hatua hiyo ilisababisha mapato ya watu wanaoingia uwanjani kushuka kwa asilimia 16 na kufikia pauni milioni 90.6 huku mapato ya utangazaji yakishukana kufikia pauni milioni...

Like
245
0
Friday, 18 September 2015
LUKE SHAW NJE KWA ZAIDI YA MIEZI 6
Slider

Meneja wa klabu ya Manchester Louis van Gaal ameekeza kuwa mlinzi Luke Shaw was alitolewa uwanjani akiwa anatokwa machozi kufuatia maumivu makali aliyoyapata baada ya kuvunjika mguu hivyo atalazimika kukaa nje kwa muda usiopungua miezi sita.   Shaw, 20, aliwekewa hewa ya Oxygen kumsaidia wakati akipokea matibabu na kutolewa uwanjani kuelekea kwenye chumba cha kubadilisha mavazi Mchezo huo ulimalizika huku klabu ya Manchester ikikubali kupokea kichapo cha magoli 2-1 dhidi ya Psv.Memphis Depay alianza kuifungia timu yake bao la kwanza...

Like
293
0
Wednesday, 16 September 2015
UEFA:MAN UNITED, MAN CITY ZACHEZEA KICHAPO
Slider

Timu za Uingereza za Man United na Man City zimeanza vibaya michuano ya kombe la klabu bigwa barani Ulaya baada ya kuchapwa. Man United wakiwa ugenini nchini Uholanzi wamelala kwa kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Psv.Memphis Depay alianza kuifungia timu yake bao la kwanza kabla ya Héctor Moreno wa PSV kusawazisha kisha Luciano Narsingh akifunga bao la ushindi. Man City nao wakiwa katika Dimba lao la Etihad walikubali kipigo cha mabao 2-1 toka kwa vibibi vizee ya Turin Juventus...

Like
209
0
Wednesday, 16 September 2015
PICHA: MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI
Entertanment

Mechi ya mpira wa miguu kati ya kikosi imara cha E-fm na Mlandizi Veteran umemalizika huku matokeo ya mchezo huo ya kiwa ni sare ya bila kufungana. Mchezo huo uliokuwa na hamasa ya hali ya juu kwakuhudhuriwa na wakazi wengi wa Mlandizi ambao hapo baadae watahudhuria kwenye party ya Muziki mnene bar kwa bar katika viwanja vya First Inn bar hapa Mlandizi mkoa wa pwani MATUKIO KATIKA PICHA...

Like
599
0
Saturday, 12 September 2015
US OPEN: SERENA AMBWAGA DADA YAKE
Slider

Serena williams amemshinda dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga mbele katika ushindi mara mbili wa kalenda ya kwanza ya Grand Slam. Serena ambaye ni nambari moja duniani amshinda dada yake kwa seti tatu ya 6-2 1-6 6-3 zilizompa upenyo wa kuweza kuingia kwenye mashindano ya nusu fainali huko New York,Marekani. Katika hatua ya nusu fainali,serena atachuana na mwanadada wa nchini Italia Roberta Vinci siku ya alhamisi wiki...

Like
239
0
Wednesday, 09 September 2015