Sports

PEDRO RODRIGUEZ AWAINUA MASHABIKI WA BARCELONA
Slider

Mchezaji aliyeingia kutokea benchi Pedro Rodriguez aliifingua timu yake bao la ushindi katika dakika za nyongeza ambapo Barcelona walishinda kombe la Eefa Super Cup mchezo uliopigwa kwenye mji wa Tbilisi. Washindi wa kombe la Europa Sevilla waliwashangaza Bacelona ambao ni washindi wa klabu bingwa barani ulaya baada ya Ever Banega kufunga goli la kwanza kwa mkwaju safi wa adhabu ndogo. Lionel Messi alifunga mara mbili na kuifanya Barca kuongoza kwa goli 2-1 kabla ya Rafinha na Luis Suarez kufumania nyavu...

Like
304
0
Wednesday, 12 August 2015
TOURE ANG’ARA KATIKA USHINDI WA MAN CITY
Slider

Yaya Toure aliiongoza Man City katika ushindi mnono dhidi ya West Brom ambapo Raheem Sterling aliyesajiliwa majira ya joto kwa dau la pauni milioni 49 akicheza mchezo wake wa kwanza kwa timu yake mpya. Mkwaju wa Toure uliombabatiza mchezaji mwenzake David Silva ulikwenda pia kwenye miguu ya mlinzi wa West Brom Craig Dawson kabla ya kutinga nyavuni. City waliendeleza kupanua ushindi wao baada ya Toure kupiga mkwaju mwingine uliokwenda kona ya juu na kuwa goli la pili.Nahodha Vincent Kompany alihitimisha...

Like
270
0
Tuesday, 11 August 2015
MOURINHO: HATUJAMMISS PETR CECH
Slider

Kocha mbwatukaji Jose Mourinho amesema Chelsea haijammis aliyewahi kuwa mlinda mlango bora kabisa katika klabu hiyo Petr Cech na kuongeza kuwa ana uhakika mabingwa hao watetezi wataikabili vizuri kabisa klabu ya Manchester City siku ya jumapili watakaposhuka dimbani. Mourinho hakuwa tayari kumuacha mlinda mlango huyu mwenye miaka 33, ajiunge na wapinzani wao wa London klabu ya Arsenal baada misimu 11 ya mafanikio na ubingwa . “hatujammis Petr, alikaliliwa Mounrinho akizungumza na vyombo vya habari nchini Uingereza “tuna walinda mlango...

Like
224
0
Monday, 10 August 2015
COUNTINHO AITOA LIVERPOOL KIMASOMASO
Slider

Bao la kiuchawi kutoka mganga wa kutoka Brazil, Phillipe Coutinho, lilianzisha kampeni ya musimu huu ya Liverpool kwa ushindi walipolipisha kisasi dhidi ya Stoke City kwa kuwanyuka vijana wa nyumbani 1-0 Jumapili. Liverpool walirudi uwanja wa Britannia ambapo waliandaliwa kichapo kikali cha 6-1 katika ngoma ya kufunga muhula uliopita lakini waliweza kuibuka na ushindani uliotafutwa kwa hima katika mechi ambayo ilibanwa kiubunifu. Hakuna kipa alifanyishwa kazi ya kuokoa lango lake katika makabiliano yalioonekana kufikia tamati kwa sare nunge...

Like
345
0
Monday, 10 August 2015
MAKOSA YA PETR CECH YAIGHARIMU ARSENAL
Slider

Klabu ya soka ya Arsenal imekuwa na hali ngumu katika mchezo wa ufunguzi wa ligi ya England kufuatia makosa ya mlinda mlango Petr Cech kuiwezesha klabu ya West Ham kuweka rekodi ya kuitandika Arsenal 2-0 katika uwanja wao wa nyumbani wa Emirates Cech alisajiliwa kutoka Chelsea huku usajili wake ukitarajiwa kuisaidia Arsenal kutwaa taji la ligi hiyo lakini kwa mchezo huo wa siku ya jumapili umefungua vibaya ujio wake kwenye klabu hiyo kufuatia rekodi yao ya kufungua michuano hiyo huku...

Like
258
0
Monday, 10 August 2015
FIFA: ARGENTINA YAONGOZA VIWANGO VYA DUNIA
Slider

Shirikisho la mpira wa miguu duniani Fifa limetangaza ubora wa viwango kwa mwezi Agosti ambapo timu ya taifa ya Argentina imeendelea kushika nafasi ya kwanza. Ubelgiji imepanda kwa nafasi moja mpaka nafasi ya pili huku mabigwa wa dunia Ujerumani wakiwa katika nafasi ya tatu. Timu ya juu kabisa toka Barani Afrika ni Algeria ambayo ipo pale pale Nafasi ya 19 na kufuatiwa na Ivory Coast waliobakia Nafasi ya 21. Timu za ukanda wa Afrika mashariki zinaongozwa na Uganda walioko nafasi...

Like
289
0
Friday, 07 August 2015
3 MBARONI TUHUMA ZA MAUAJI YA AFISA WA POLISI ELIBARIK PALANGO
Local News

JESHI la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwatia  mbaroni watuhumiwa watatu kwa  tuhuma za mauaji ya aliyekuwa afisa wa polisi ELIBARIK PALANGO yaliyotokea nyumbani kwakwe Yombo kilakala tarehe 4 mwezi huu. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es  salaam leo Naibu kamishna wa polisi kanda maalum Dar es salaam SIMON SIRRO amesema kuwa watuhumiwa hao ambao ni madereva bodaboda wamekamatwa baada ya jeshi kufanya msako mkali katika jiji la Dar es salaam. Aidha Kamishna SIRRO amewataja...

Like
448
0
Thursday, 06 August 2015
MOURINHO: KUTETEA TAJI NI KAZI NGUMU
Slider

Meneja wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho anahisi itakuwa vigumu zaidi kwa upande wake kutetea taji la ligi kwa wapinzani licha ya klabu hizo kuwa zimefanya usajili mzuri na imara kwa vikosi vyao. Chelsea ilitwaa taji katika msimu uliopita, ikimaliza na alama 87, ikiwa na alama nane mbele ya Manchester City. “mwaka uliopita tuliwachukua Costa na Fabregas  ikiwa ni maamuzi ya haraka licha ya kuwa hatukufanikiwa kutwaa taji” alisema Mourinho told katika mahojiano yake na kituo cha Sky Sports. “mwaka...

Like
228
0
Thursday, 06 August 2015
DOUGLAS COSTA AANZA VYEMA BAYERN MUNICH
Slider

Mbraazil Douglas Costa alikuwa katika kiwango kizuri wakati klabu yake ya Bayern Munich ilipoitandika  Real Madrid 1-0 katika mchezo wa maandalizi ya msimu wa ligi siku ya jumatano.   Costa, ambaye alijiunga kutoka Shakhtar Donetsk katika msimu wa karibu kwa kitita cha Euro milioni 30 amekuwa kivutio katika michuano ya Audi kutokana na kasi yake   “bado tupo kwenye maandalizi lakini ameonyesha ishara njema na mwanzo mzuri hivyo itatupasa kufanya kazi msimu utakapoanza” alisema mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo...

Like
252
0
Thursday, 06 August 2015
CHARLIE AUSTIN KUHAMA QPR?
Slider

Charlie Austin, mshambuliaji wa Queens Park Rangers aliyeitwa kuchezea timu ya taifa ya Uingereza mwishoni mwa msimu uliopita, huenda akahama klabu hiyo iliyoshushwa daraja kabla ya mwisho wa kipindi cha kuhama wachezaji, meneja wa klabu hiyo Chris Ramsey alisema Jumatatu. Kiungo wa kati Leroy Fer pia sana huenda akahama, ingawa Ramsey anatumai wawili hao wanaweza bado kuwa kwenye klabu hiyo na kucheza mechi yao ya kwanza ya Championship (ligi ya daraja la pili) ugenini London dhidi ya Charlton Jumamosi. “Tunajua...

Like
220
0
Tuesday, 04 August 2015
MASHINDANO YA KUOGELEA: ADAM PEATY ATWAA MEDALI YA DHAHABU
Slider

Mwingereza Adam Peaty ametwaa medali ya dhahabu baada ya kuibuka bingwa katika michuano ya dunia ya mchezo wa kuogelea Peaty ameshinda katika mbio za mita mia kwa kutumia dakika 58.52 huku Van der Burgh aliyeshika nafasi ya pili akitumia muda wa dakika 58.59. huku Ross Murdoch akishinda medali ya shaba Siobhan-Marie O’Connor nae alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 200 ya mchezji mmoja mmoja na kuwa mwingereza w kwanza kutwwa medali Mashindano haya yanayoandaliawa na chama cha mchezo...

Like
261
0
Tuesday, 04 August 2015