Sports

BODI YA LIGI MSITIKISE MASIKIO KAMA MSIMU ULIOPITA,KOMAENI NA MIUNDOMBINU YA VIWANJA KABLA YA LIGI KUANZA
Slider

Na Omary Katanga Michuano ya ligi kuu bara inataraji kuanza kutimua vumbi septemba 12 kwa msimu wa mwaka 2015/2016,na safari hii ikishirikisha jumla ya timu 16 zikiwemo 4 zilizopanda daraja kutoka ligi daraja la kwanza. Timu hizo 4 ni pamoja na African Sports ya Tanga,Majimaji ya Songea,Mwadui FC ya Shinyanga na Toto Africans ya Mwanza, zinazotarajiwa kuonesha ushindani mkubwa kama ilivyokuwa kwa Mbeya City msimu wa mwaka 2013/2014. Ongezeko hilo la timu linaongeza pia idadi ya mechi zitakazochezwa kwa msimu...

Like
288
0
Monday, 03 August 2015
AZAM BINGWA CECAFA KAGAME CUP 2015
Slider

Hongera Azam Fc kwa kutwaa ubingwa  Cecafa kagame Cup kwa mwaka 2015 wakiwa na historia ya kutoruhusu nyavu zake kutikiswa huku ikiwa ni mara ya kwanza kwa wanalambalamba kutwaa taji hili. Azam wametwaa taji hilo hapo jana katika uwanja wa taifa baada ya kuichapa timu ya Gor Mahia ya Kenya kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa fainali Ushindi huo wa wanalambalamba ni matunda ya magoli yaliyofungwa na washambuliaji wake John Bocco na Kipre Tchetche aliyepiga mpira wa adhabu nakuzama moja...

Like
296
0
Monday, 03 August 2015
TIMU YA SPECIAL OLYMPICS TANZANIA YANG’AA MAREKANI
Slider

Timu ya Taifa (Special Olympics Tanzania) iliyoko Los Anegels – Marekani imeendelea kupata mafanikio makubwa baaba ya siku ya jana tarehe 30 Julai kujipatia jumla ya medali tano.   Medali hizo zimepatikana kupitia michezo na wachezaji wafuatao:   Blandina Patrick m. 800 (wk) – Alipata medali ya Dhahabu Deonatus Manyama m. 800 (wm)- Alipata medali ya Fedha Riziki Chilumba m. 100 (wk) – Alipata medali ya Fedha Aisha Kaoneka m. 100 (wk) – Alipata medali ya Shaba Faraja Meza M....

Like
454
0
Friday, 31 July 2015
OLIMPIKI: UCHAFU NI KIKWAZO KATIKA FUKWE ZA RIO DE JANEIRO
Slider

Rais wa Kamati kuu ya Kimataifa ya Olimpiki, Thomas Bach, amesema kuwa uchafuzi wa bahari ni moja ya kikwazo Rio de Janeiro katika maandalizi ya michuano ya hapo mwakani. Hata hivyo kutokana na hali hiyo waandaji wa mashindano hayo ya riadha wamesema kuwa watafanya kila linalowezekana kwa afya ya wanariadha wakati wa Olympiki. Takribani asilimia 70 ya maji taka yanamwagika Rio de Janeiro katika fukwe za Guanabara,eneo ambalo wapiga mbizi watafanyia mashindano yao. Katika hali inayoonyesha ni hatari kwa afya...

Like
332
0
Thursday, 30 July 2015
MIGUEL HERRERA AFUKUZWA KAZI
Slider

Kocha kutoka Mexico, Miguel Herrera amefukuzwa kazi baada ya kumshambulia mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha luninga. Hatua hii ya kufukuzwa kazi kwa kocha huyo kunakuja ikiwa ni mbili tu baada ya kuongoza kikosi hicho kwenye kombe la saba la medali ya dhahabu nchini Marekani. Miguel Herrera mwenye umri wa miaka 47 amekuwa akiiongoza timu hiyo ya Mexico kwa miaka16 hadi sasa. katika utetezi wake Herrera amesema kuwa alifanyiwa fujo ndo maana akafikia hatua...

Like
237
0
Wednesday, 29 July 2015
KAGAME CUP: MANARA AWATAKA MASHABIKI WA SIMBA KUISHANGILIA AZAM KESHO
Slider

Uongozi wa Simba Sc kupitia msemaji wao Haji Manara umetoa tamko la kuwataka mashabiki na wanachama wake kujitokeza kwa wingi kesho katika uwanja wa taifa kuishangilia timu ya Azam Fc itakayocheza dhidi ya Yanga katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya Kagame.   Manara ametoa tangazo hilo leo wakati akizungumza na kipindi pendwa cha michezo nchini cha Sports Headquarters kinachorushwa kila jumatatu mpaka ijumaa kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana kupitia...

Like
305
0
Tuesday, 28 July 2015
NIGERIA: KESHI KUDAI SHIRIKISHO EURO MILIONI 3.2
Slider

Kocha wa zamani nchini Nigeria,Stephen Keshi anaidai shirikisho la soka nchini humo Euro milioni 3.2 kwa kufukuzwa kazi kabla ya mkataba wake kuisha. Keshi ambaye alifukuzwa kazi mwanzoni mwa July na nafasi yake kuchukuliwa na Sunday Oliseh.Aliiandikia shirikisho la soka nchini Nigeria NFF kupitia wakili wake kwa kutoa madai ya kuchafuliwa kwa kashfa na habari zisizo na ukweli. Hata hivyo msemaji wa shirikisho hilo anasema NFF haiko kwenye nafasi ya kumlipa hivyo ana uhakika shirikisho halitaweza kulipa fedha hizo kwa...

Like
226
0
Tuesday, 28 July 2015
FROOME ASHINDA MASHINDANO YA YA BAISKELI
Slider

Mshindi wa mashindano ya baiskeli yajulikanayo kama Tour de France ,Chris Froome ameweza kushinda kwa mara ya pili tangu aingie kwenye mchezo huo. Katika mchezo wake wa mwisho huko mjini Paris mshindi huyo Froome aliweza kufanya ushindi huo uwe rahisi kwa kumaliza chini ya muda. Mwaka huu bado Froome ni mfalme wa michuano hii kwa mwaka mwisho huko mjini Paris mshindi huyo Froome aliweza kufanya ushindi huo uwe rahisi kwa kumaliza chini ya muda .Mwaka huu bado Froome ni mfalme...

Like
280
0
Monday, 27 July 2015
UBAGUZI WA RANGI: SOULEYMANE SYLLA ADAI FIDIA
Slider

Mfaransa mweusi, mwenye asili ya Mauritania, ambaye alitukanwa kutokana na rangi yake ya mwili na mashabiki wa timu ya Chelsea kwenye kituo cha treni mjini Paris mwezi February, amesema kuwa anataka waliomtusi waletwe kutoka Uingereza ili washtakiwe kwenye mahakama ya Ufaransa. Mkanda wa video ulioonyesha kundi la mashabiki wakimzuia Bwana Souleymane Sylla kupanda treni huku wakipiga mayowe wakisema “sisi ni wabaguzi wa rangi na hivyo ndivyo tunavyopenda”. Katika mahojiano na BBC, Souleymane Sylla alisema: “nataka fidia...

Like
411
0
Friday, 24 July 2015
PRINCE ALI BIN AL AL HUSSEIN AMTAKA BLATTER KUTOJIHUSISHA NA MAGEUZI FIFA
Slider

Mwanamfalme Ali bin Al Hussein wa Jordan, aliyeshindwa uchaguzini na Sepp Blatter jaribio lake la kutaka kuwa rais wa Fifa mwezi Mei, amesema Blatter hafai kusimamia shughuli ya mageuzi kwenye shirikisho hilo lililoandamwa na kashfa ya ufisadi. Amesema jukumu hilo linafaa kuachiwa mrithi wake. Kupitia taarifa iliyotolewa Jumatano, Mwanamfalme Ali, aliyejiondoa uchaguzini duru ya pili baada ya kupata kura 73 dhidi ya 133 za Blatter duru ya kwanza, alisema ana wasiwasi Blatter, ambaye ameongoza shirikisho hilo linalosimamia soka duniani tangu...

Like
304
0
Thursday, 23 July 2015
JESHI LA POLISI LIMEFANIKIWA KUKAMATA SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KATIKA KITUO CHA SITAKISHARI
Local News

JESHI la Polisi Nchini limefanikiwa kukamata silaha zilizoporwa na majambazi katika kituo cha Polisi Sitakishari pamoja na fedha kiasi cha shilingi milioni 170.   Katika Operesheni hiyo Jeshi lilifanikiwa kukamata watuhumiwa watano ambapo wawili walipoteza maisha katika mapambano pamoja na silaha 16,  14 zikiwa za Staki shari, risasi 53 ambazo kati yake 28 zinatoka katika kituo hicho cha polisi, Stakishari.   Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es salaam leo, Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu wa Dar es salaam...

Like
581
0
Monday, 20 July 2015