Sports

MAN CITY YAICHAPA SWANSEA 4-2
Slider

Matokeo ya Mechi mbili za ligi kuu ya England zilizochezwa hapo jana,Manchester City iliwachabanga Swansea mabao 4-2 . Ni Wilfried Bony ambaye mnamo dakika ya 90 lililopigilia msumali wa moto kwa Swansea baada ya kufunga bao la nne.Lakini Yaya Toure yeye alizifumania nyavu mara mbili dakika 21 na 74. , James Milner naye akifunga mnamo dakika ya 36. Huku katika mechi ya pili Arsenal wakitoa sare ya bao 1-1 dhidi ya Man united,ambapo kwa matokeo hayo sasa Arsenal wanaendelea kujiimarisha...

Like
221
0
Monday, 18 May 2015
STARS KUKIPIGA NA SWAZILAND
Slider

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi Swaziland katika michuano ya COSAFA Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili. kocha Nooij amesema hali ya uwanja ni nzuri, uwanja una nyasi nzuri hali inayopelekea kikosi chake kufanya mazoezi katika mazingira mazuri. Akiongelea mchezo wake wa kwanza wa ufunguzi dhidi ya timu...

Like
244
0
Friday, 15 May 2015
CHELSEA YAFUNGUA MILANGO KWA PETR CECH
Slider

Golikipa Petr Cech anaweza kumaliza miaka yake 11 ndani ya klabu ya Chelsea baada ya kuruhusiwa kufanya mazungumzo na timu inayomtaka. Wakala ya kipa huyo Viktor Kolar,amethibitisha kuruhusiwa kufanya mazunguzo na timu yoyote inayomuhitaji . “Nina thibitisha tumeruhusiwa kufanya mazungumzo na klabu inayomuhitaji Cech japo anamkataba unaomalizika mwishoni mwa mwaka”alieeza wakala wa kipa huyo. Wiki iliyopita Kocha wa Chelsea Jose Mourinho alisema anamuhitaji kipa huyo kuendelea kuitumika klabu hiyo. Cech mwenye miaka 32 alijiunga na Chelsea...

Like
237
0
Friday, 15 May 2015
STEPHEN KESHI AREJEA KUINOA NIGERIA
Slider

Stephen Keshi ateuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Nigeria siku ya jumanne kwa mara ya tatu kwa mkataba wa miaka miwili. Mafanikio yake ya kwanza katika kikosi hicho ni mwaka 2013 aliposhinda kombe la mataifa ya Afrika lakini mkataba wake haukuongezwa tena baada ya kombe la dunia mwaka 2014. Baadae alirejea katika nafasi yake kuinoa timu hiyo kwa michezo tofauti tofauti ambapo makubaliano yaliishia mwezi November baada ya kulikosa kombe la mataifa ya Afrika Keshi alisema ni mwanzo...

Like
266
0
Wednesday, 22 April 2015
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: JUVENTUS VS MONACO, ATLETICO MADRID VS REAL MADRID
Slider

Uefa champions league kivumbi kuendelea leo katika mechi nyingine za robo fainali pale Juventus ya Utaliano itakaposhuka dimbani kupambana na klabu ya Monaco ya Ufaransa. Wakati mabingwa watetezi wa real Madrid watakuwa wenyeji wa mahasimu wao Atletico Madrid kwenye dimba la...

Like
332
0
Wednesday, 22 April 2015
UEFA: BARCELONA NA BAYERN MUNICH WATINGA NUSU FAINALI
Slider

Klabu ya Barcelona jana ilishuka dimbani mjini Paris wakiwa wageni wa Paris st Germen ya Ufaransa. Katika mchezo wa awali Barcelona iliibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Paris st Germen pia hapo jana wababe hao waliendeleza vipigo dhidi ya Wafaransa hao baada ya kuwakandamiza bao 2-0,zilizowekwa kimiani na Mbrazil Neymar katika kipindi cha kwanza.Kwa matokeo hayo Barcelona imefuzu nusu fainali kwa ushindi wa jumla ya magoli 5-1 katika mchezo mwingine uliochezwa hapo jana,Baada ya kuchezea kichapo cha cha bao...

Like
334
0
Wednesday, 22 April 2015
LIVERPOOL: HALI NI TETE KWA BRENDAN RODGERS
Slider

Kocha wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers yupo kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kutwaa taji lolote katika misimu mitatu ya mwanzo ya kuwanoa vijogoo hao wa Anfield. Hii ni rekodi ambayo haijawahi tokea kwa kocha yeyote tangu mwaka 1950 ndani ya kikosi hicho. ,Je ni wachezaji wasiokidhi viwango?,au ni mbinu za kocha zilizogota mwisho?hayo ni baadhi ya maswali ambayo bado hayana majibu,huku Brendan Rodgers hata kama anakula basi chakula hakishuki uzuri kwani hajui nini hatima yake kufuatia kuboronga...

Like
222
0
Tuesday, 21 April 2015
FORMULA 1: LEWIS HAMILTON ATWAA TAJI LA BAHRAIN GRAND PRIX
Slider

Lewis Hamilton atwaa taji la Bahrain Grand Prix kwenye mbio za magari za Formula 1 (Langalanga). Katika mchuano huo Hamilton amewabwaga wapinzani wake Kimi Raikkonen na Nico Rosberg kuhakikisha anaongoza na kutwaa taji hilo. Ushindi huo kwa dereva huyu wa raia wa Uingereza ni watatu katika msimu huu akiitumikia vyema kampuni ya Mercedes huku akimuacha dereva mwenzake kutoka kampuni hiyo Nico Rosberg akishika nafasi tatu baada ya kubwaga na Kimi Raikkonen kutoka kampuni ya Ferrari Kwa matokeo hayo aliyoyapata dereva...

Like
295
0
Monday, 20 April 2015
FAINALI ZA FA: ASTON VILLA USO KWA USO NA ARSENAL
Slider

Aston Villa kukutana na Arsenal kwenye fainali za kombe la FA baada ya kuitandika Liverpool 2-1 kwenye nusu fainali za kombe hilo. Kocha wa aston Villa Tim Sherwood akizungumzia maandalizi kuelekea mchezo huo amesema wanajipanga vilivyokuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi kwenye mchezo huo dhidi ya washika bunduki Sherwood aliongeza kwakusema wanajipanga kwani katika mechi za awali  walipewa kipigo cha 3-0 na 5-0 hivyo Arsenal sio timu ya mzaha...

Like
262
0
Monday, 20 April 2015
CONCACAF YAMUUNGA MKONO BLATTER
Slider

Wanachama kumi wa shirikisho la soka la Amerika ya kaskazini, America ya kati na muungano wa visiwa vya Caribbea (Concacaf) kwa pamoja wamefikia maamuzi ya kumuunga mkono Rais wa shirikisho la soka duniani Sepp Blatter katika uchaguzi wa FIFA hapo May. Azimio hilo la kumuunga mkono Blatter limefanywa katika mkutano wa (Concacaf). Rais wa chama cha soka cha jamhuri ya Dominic Osiris Guzman, amemfananisha rais huyo wa FIFA na watu mashuhuri walioweka historia duniani ikiwemo Moses, Abraham Lincoln na Martin...

Like
245
0
Friday, 17 April 2015
ETOILE DU SAHEL YAWASILI DAR
Slider

Kuelekea mchezo wa Yanga na Etoile du sahel utakaopigwa katika uwanja wa taifa hapo kesho tayari timu ya Etoile du sahel imewasili jijini Dar es salaam katika hali isiyokuwa ya kawaida kocho wa timu hiyo amekataa kuongea na waandishi wa habari. Nahodha wa timu ya Yanga Nadir Haroub Cannavaro kwa upande wake akizungumza na sports headquarters ya Efm amesema mpira ni mchezo wa makosa hivyo wamejipanga vyema ili kuwezakufanya vizuri katika mchezo wa kesho Nahida huyo pia akizungumzia timu kwa...

Like
410
0
Friday, 17 April 2015