Slider

Dk. Mukwege na Murad washinda Tuzo ya Nobel ya Amani
Global News

Daktari raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Dennis Mukwege na mwanaharakati kutoka jamii ya Wayazidi, Nadia Murad, wameshinda Tuzo ya Nobel ya Amani, 2018 kwa jitihada zao za kupambana na unyanyasaji wa kingono. Tangazo la ushindi wa Dk. Mukwege na Murad wa Tuzo ya Nobel limetolewa na mwenyekiti wa kamati ya tuzo hiyo Berit Reiss-Andersen mjini Oslo muda mchache uliopita. Bi Reiss Andersen amesema wote wawili wamekuwa nembo ya mapambano dhidi ya janga la unyanyasaji wa kingono, ambalo limeenea...

Like
516
0
Saturday, 06 October 2018
Raila asema lazima mabadiliko ya katiba Kenya yafanyike
Slider

  Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema kwamba mabadiliko ya katiba ya nchi hiyo hayawezi kuepukika kwa namna yoyote ile na kwamba hata walio madarakani hawawezi kuzuia kura ya maoni kuhusu katiba, ili kusuluhisha matatizo yanayo ikabili nchi...

Like
459
0
Friday, 05 October 2018
Afrika yaelekea kuzidiwa na watu
Global News

Idadi ya watu barani Afrika inakuwa kwa kasi ambapo kufikia mwaka 2050 itakuwa imeongezeka maradufu ya ilivyo sasa, huku 40% ya watu masikini kabisa duniani wakihofiwa kuja kuishi kwenye mataifa mawili tu ya bara hilo. Kwa sasa barani Afrika wanaishi watu bilioni 1.3. Miaka 32 ijayo, idadi hii itaongezeka mara mbili zaidi, na kama ukuwaji wa kiuchumi hautakwenda sambamba na ukuwaji huu wa idadi ya watu, basi kitakachotokea ni ongezeko la umasikini. Khofu hiyo imeufanya Wakfu wa mwanzilishi wa kampuni...

Like
709
0
Tuesday, 02 October 2018
Tetemeko la ardhi Indonesia: Idadi ya waliofariki dunia yafika takriban watu 832
Global News

Takriban watu 832 wameuawa baada ya tetemeko kubwa la ardhi na tsunami kupiga kisiwa cha Indonesia cha Sulawezi, kwa mujibu wa shirika la majanga la kitaifa. Juhudi za kuwatafuta manusura zinaendelea na idadi ya waliofariki inatarajiwa kupanda pakubwa maeneo mengi ambayo kufikia sasa hayajafikiwa na waokoaji yakifikiwa. Shirika hilo liloongeza kuwa eneo lililoathiriwa lilikuwa kubwa kuliko iliyodhaniwa. Watu wengine waliripotiwa kukwama kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomka siku ya Ijumaa....

Like
504
0
Monday, 01 October 2018
Ujerumani Yakana Tuhuma za Ubaguzi Dhidi ya Özil
Slider

Shirikisho la Soka la Ujerumani (DFB), limekana kuhusika na tuhuma za ubaguzi dhidi ya mwanasoka, Mesut Özil (29) na kusema kuwa lilipaswa kuwajibika kuhakikisha mchezaji huyo habaguliwi. Özil ametangaza kutoichezea tena timu ya taifa ya Ujerumani kutokana na kukithiri kwa vitendo na maneno ya kibaguzi dhidi yake. Özil alishutumiwa na DFB kupitia vyombo vya habari vya Ujerumani baada ya picha akiwa na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan kusambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Mchezaji huyo wa Klabu ya Arsenal FC...

Like
448
0
Tuesday, 24 July 2018
Waziri wa Nishati Ahukumiwa Jela Miaka Minne kwa Rushwa
Slider

WAZIRI wa zamani wa Nishati wa Zimbabwe, Samuel Undenge, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa ya rushwa Waziri huyo aliyefanya kazi kipindi ya Rais Robert Mugabe amekuwa kiongozi wa kwanza kuhukumiwa tangu kiongozi huyo aondolewe madarakani ambapo alituhumiwa kusaini mikataba na kuzilipa kampuni ambazo hazikuwahi kufanya kazi (kampuni hewa) ikiwemo Zimbabwe Power Company (ZPC) kiasi cha dola za Marekani 12,650, (sawa na Tsh. Milioni 28.6) mwaka 2016. Aidha, wakili wa Undenge amesema atakata...

Like
459
0
Monday, 23 July 2018
Rais Magufuli Ashuhudia Utiaji Saini Daraja la Salander
Slider

Rais John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Korea Lee Nak-yeon leo wanashuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa daraja jipya la Selander jijini Dar na njia zake. Hafla ya utiaji saini wa mkataba huo inafanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambapo serikali kupitia wakala wa barabara Tanzania (Tanroads) inatiliana saini na mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi wa daraja hilo. Daraja la Salander litaunganisha eneo la Aga Khan katika barabara ya Barack Obama na eneo la Coco...

Like
892
0
Monday, 23 July 2018
WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MICHANGO YA SHULE
Slider

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hakuna michango yoyote itakayokusanywa kutoka kwa wazazi kwa ajili ya shule kama haina kibali cha Mkurugenzi wa Halmashuri.   “Mheshimiwa Rais wetu, Dkt. John Pombe Magufuli alishapiga marufuku michango ya aina hii na akatangaza mpango wa elimumsingi bila malipo. Sasa hivi zinaletwa zaidi ya sh. bilioni 20 kila mwezi kwa ajii ya kuboresha elimu ya msingi katika kila wilaya.”   Waziri Mkuu ametoa katazo hilo jana (Jumapili, Julai 15, 2018) wakati akizungumza na maelfu ya wananchi waliohudhuria...

Like
430
0
Monday, 16 July 2018
UFARANSA YAANZA VIZURI KOMBE LA DUNIA DHIDI YA AUSTRALIA
Slider

Ufaransa imefanikiwa kuibuka na ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu nchini Russia wa mabao 2-1 dhidi ya Australia. Mabao ya mchezo huo yametiwa kimiani na Antoine Griezmann katika dakika ya 58 kwa njia ya mkwaju wa penati na la pili likitiwa kimiani na Paul Pogba (80′). Bao pekee la Australia liliwekwa wavuni na Mile Jedinak mnamo dakika ya 62 kwa mkwaju wa penati. Mechi hii imekuwa ya kwanza kushuhudiwa penati mbili ndani ya dakika...

Like
490
0
Saturday, 16 June 2018
Walioshtakiwa ulaji rushwa Kenya kukaa rumande wiki moja
Slider

Watuhumiwa 24 walioshtakiwa kuhusiana na kashfa ya ufujaji wa pesa katika Shirika la Vijana wa huduma kwa Taifa (NYS) watakaa rumande kwa wiki moja. Jaji ameamuru wazuiliwe hadi Jumatano wiki ijayo ambapo uamuzi wa kuachiliwa kwa dahamana utatolewa. Miongoni mwa walioshtakiwa jana ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana na Jinsia Lilian Mbogo Omollo na Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Richard Ndubai. Walikamatwa na wengine wakajisalimisha kwa polisi Jumatatu wiki hii na kisha kufikishwa kortini Milimani, Nairobi jana. Kikao cha...

Like
402
0
Wednesday, 30 May 2018
Sikiliza Nyimbo mpya ya Ali Kiba “Mvumo wa Radi”
Slider

Msanii Ali Kiba ameachia video ya wimbo mpya unaojulikana kwa jina la Mvumo wa Radi...

6
4841
0
Friday, 11 May 2018