Slider

UPOTEVU WA VYETI NA NYARAKA NI CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKRETARIETI YA AJIRA NA UTUMISHI WA UMMA
Local News

SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma katika kutekeleza jukumu lake la uendeshaji wa mchakato wa ajira serikalini, imekuwa ikikumbana na changamoto mbalimbali ikiwemo ya matukio ya upotevu wa vyeti vya kitaaluma na nyaraka nyingine za msingi kutoka kwa waombaji kazi. Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imeeleza kuwa waombaji kazi laki 256,928 wamekosa nafasi ya kuitwa kwenye usaili ili kuweza kuajiriwa Serikalini kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo...

Like
483
0
Wednesday, 23 December 2015
KAIMU MKURUGENZI WA TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD ASIMAMISHWA KAZI
Local News

WAZIRI wa afya , maendeleo ya jamii jinsia, watoto na wazee mheshimiwa UMMY MWALIMU amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugezi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dokta Diwani Msemo ili kupisha uchunguzi wa kubaini iwapo mgongano wa kimaslahi umeathiri utendaji wa taasisi hiyo chini ya uongozi wake. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya afya leo, inaeleza kuwa dokta Msemo amesimamishwa kazi kutokana na sababu mbalimbali  kama vile kuwepo kwa manung’uniko mengi kutoka kwa wapokea huduma hususani katika taasisi ya saratani ya ocean...

Like
487
0
Wednesday, 23 December 2015
WASHUKIWA WA UGAIDI WANASWA PARIS
Global News

WANAUME wawili wamekamatwa kuhusiana na jaribio la shambulizi la kigaidi karibu na eneo la Orleans kusini mwa mji mkuu wa Ufaransa, Paris. Polisi imesema washukiwa hao walipanga kufanya mashambulizi yanayolenga asasi za kiusalama. Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve amesema mashambulizi hayo yaliyotibuliwa na shirika la ujasusi la Ufaransa, yalikusudia kuwalenga maafisa wa usalama katika eneo la...

Like
313
0
Wednesday, 23 December 2015
KIKOSI MAALUM CHA JESHI LA IRAQ KIMEFANYA MASHAMBULIZI DHIDI YA IS
Global News

KIKOSI maalumu cha jeshi la Iraq cha kupambana na ugaidi kimeingia katikati mwa mji wa Ramadi unaodhibitiwa na wanamgambo wenye itikadi kali wa kundi la Dola la Kiislamu IS Msemaji wa jeshi Sabah al Numani, amesema kikosi hicho maalumu hakikukumbana na upinzani mkali isipokuwa mashambulizi machache kutoka kwa washambuliaji wa kujitoa muhanga katika juhudi za kuukomboa mji huo mkuu wa jimbo la Anbar kutoka kwa IS. Taarifa za kiusalama zinaarifu kuwa huenda kuna kati ya wanamgambo 250 hadi 300 wa...

Like
241
0
Wednesday, 23 December 2015
ASILIMIA 14.3% WAFAULU MITIHANI YA BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU
Local News

JUMLA ya watahiniwa 813 ambao ni sawa na asilimia 14.3 wamefaulu mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)  uliofanyika Novemba 2015 kote nchini.   Katika matokeo hayo, wahitimu wengine elfu 1,867 ambao ni sawa na asilimia 32.9 wamefaulu baadhi ya masomo katika ngazi mbalimbali kati ya watahiniwa elfu 6,404 waliosajiliwa katika mitihani hiyo.   Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi NBAA Bwana. Pius Maneno katika kikao cha wakurugenzi wa bodi hiyo kilichokaa kuidhinisha...

Like
304
0
Wednesday, 23 December 2015
KADCO YAOKOA BILIONI MBILI KWA KUZUIA WIZI WA NYARA ZA SERIKALI
Local News

KAMPUNI ya maendeleo ya viwanja vya ndege –KADCO,  inayosimamia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) imesema imeokoa zaidi ya kiasi cha shilingi  Bilioni  mbili katika kipindi cha wiki moja ikiwa ni thamani ya nyara za serikali na vito vya thamani vilivyokuwa vitoroshwe kupitia uwanja huo.   Menejimenti ya uwanja huo kupitia kitengo cha usalama ilifanikiwa kukamata vipande 264 vya madini ya Tanzanite vikiwa na uzito wa kilograamu 2.04 ambavyo thamani yake inakadiriwa kufikia Bilioni 2.5.   Kwa mujibu...

Like
261
0
Wednesday, 23 December 2015
SHIRIKA LA AMNESTY INTERNATIONAL YAITUHUMU BURUNDI
Global News

SHIRIKA la kutetea haki za Binadamu Duniani la Amnesty International, limeituhumu serikali ya Burundi kwa mauaji ya watu wasio na hatia na matumizi mabaya ya Jeshi la nchi hiyo. Aidha limelaani mauaji yaliyotokea Disemba 11 mwaka huu ambapo watu nane waliuawa wakati jeshi la serikali lilipokuwa likijihami dhidi ya mashambulizi ya waasi watatu waliovamia vituo vitatu tofauti vya Jeshi. Hata hivyo Serikali ya Burundi imeeleza kwamba wale waliouawa ni maadui, ingawa maelezo hayo yamepingwa vikali na Amnesty ambao wamesema kuwa...

Like
206
0
Tuesday, 22 December 2015
UGAIDI: WATOTO MILIONI MOJA WAACHA MASOMO
Global News

SHIRIKA la umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto-UNICEF- limesema kuwa mashambulizi kutoka kwa wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria na kwenye nchi zingine yamesababisha zaidi ya watoto milioni moja kuacha masomo. Katika ripoti mpya, iliyotolewa na shirika hilo imeeleza kuwa mamia ya shule nchini humo zimeshambuliwa, kuporwa na kuchomwa moto wakati wa mzozo huo ambao umedumu kwa kipindi cha miaka sita. Licha ya Amri ya rais mpya wa Nigeria Muhammadu Buhari kwa makamanda wake wa jeshi kuzuia mashambulizi ya...

Like
200
0
Tuesday, 22 December 2015
WAHITIMU 27005 WACHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA ARUSHA
Local News

JUMLA ya wanafunzi, 27005  ambao wamehitimu elimu ya msingi mwaka2015 mkoani Arusha wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2016.   Akitangaza matokeo hayo Kaimu katibu tawala mkoa wa Arusha, Hamdouny Mansour, amesema jumla ya wanafunzi 33, 898 walifanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi ambapo wavulana walikuwa ni 15, 868 na wasichana 18,030.   Mansour amesema waliofaulu wamepata  alama kati ya 100 hadi 250 ambapo wavulana ni12,563 na wasichana ni 14,442 na ufaulu huo ni sawa na asilimia 79.67 ikilinganishwa na mwaka...

Like
256
0
Tuesday, 22 December 2015
RAIS MAGUFULI ATOA ZAWADI KWA WATU WALIO KATIKA MAKUNDI MAALUM
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John  Magufuli,  ametoa zawadi  ya vitu mbalimbali ikiwemo vyakula vyenye thamani   ya Shilingi  milioni  8  kwa watu walio katika makundi  maalum wakiwemo watoto wanaoishi katika  mazingira hatari. Akikabidhi msaada huo kwa niaba ya Rais, Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Rabikira  Mushi  amesema zawadi hizo zinalenga kuwasaidia makundi hayo kusherehekea sikukuu kwa furaha kama watu wengine. Amevitaja baadhi ya vituo hivyo...

Like
257
0
Tuesday, 22 December 2015
KUTANA NA WAPENZI WALIOFUNGA NDOA HOSPITALI
Local News

  Huko nchini Kenya Imetufikia ishu ya ndoa iliyofungwa hospitali huku bibi harusi akiwa amelazwa na kushindwa kutembea wala kukaa baada ya kupata ajali barabarani jumanne kabla ya harusi iliyosababisha kuvunjika kwa miguu yote miwili,kiuno na mkono wa kushoto ,mwanamke huyo alisindikizwa na waauguzi pamoja na wasimamizi kuelekea kwenye uwanja uliopo nje ya hospitali hiyo ulioandaliwa kwa ajiri ya sherehe huku machozi ya furaha yakimtililika baada ya kula kiapo cha ndoa na mume wake ambaye walipata ajari wote na kuumia...

Like
362
0
Tuesday, 22 December 2015