Slider

BOMOA BOMOA: MAHAKAMA KUTOA MAAMUZI YA LEO
Local News

MAHAKAMA kuu ya Tanzania kitengo cha Ardhi leo inatarajia kutoa maamuzi juu ya ombi la dharura la kutaka zoezi la bomoabomoa kusitishwa katika kipindi ambacho kesi  hiyo ipo Mahakamani.   Wakili wa mshitaki Abubakari Salim amesema kutokana na uwepo wa kesi mahakamani juu ya wananchi kutotendewa haki katika zoezi la kubomoa nyumba za mabondeni iliyofunguliwa na Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Maulidi Mtulia waliamua kupeleka hati ya dharura ya kutaka zoezi hilo kusitishwa wakati kesi hiyo ikiendelea mahakamani.   Jaji...

Like
342
0
Tuesday, 05 January 2016
LA LAKERS YAFIKIRIA KUSTAAFISHA JEZI 2 ZA KOBE BRYANT
Slider

Timu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers yafikiria kustaafisha jezi 2 alizovaa Kobe Bryant ndani ya kikosi hicho. Kobe ametangza kustaafu mpira wa kikapu mwishoni mwa msimu huu 2015/16, alisajiliwa na LA Lakers mwaka 1996 na kupewa jezi namba 8 baada ya jezi mbili alizokuwa anazitaka, jezi namba 33 ilikuwa tayari imeshastaafishwa kwa heshima ya Legendary Kareem Abdul- Jabbar na ile ya namba 24 ilikuwa inavaliwa na George McCloud hivyo ilimbidi Kobe avae jezi namba 8, Akiwa anavaa...

Like
313
0
Monday, 04 January 2016
BAHRAIN YAVUNJA UHUSIANO WA KIBALOZI NA IRAN
Global News

BAHRAIN imetangaza kwamba imevunja uhusiao wa kibalozi na Iran, saa chache baada ya Saudi Arabia kuchukua hatua.   Saudi Arabia iliwapa maafisa wa ubalozi wa Iran siku mbili kuondoka nchini Saudi Arabia kufuatia mvutano uliotokana na kuuawa kwa muhubiri maarufu wa Kishia.   Muhubiri huyo Sheikh Nimr al-Nimr aliuawa pamoja na watu wengine 46 baada ya kupatikana na makosa yanayohusiana na...

Like
211
0
Monday, 04 January 2016
KENYA: CHUO KIKUU CHA GARISSA CHAFUNGULIWA
Global News

CHUO KIKUU cha Garissa kilichofungwa mwaka uliopita baada ya watu 148 kuuawa kwenye shambulio lililotekelezwa na wanamgambo wa al-Shabab, kimefunguliwa tena leo.   Wafanyakazi wamefika kazini leo huku usalama ukiwa umeimarishwa.   Kila aliyekuwa akiingia katika chuo kikuu hicho kilichoko eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya amepekuliwa na maafisa wa usalama. Na Kituo cha polisi, ambacho kitakuwa na maafisa zaidi ya 20 wa kutoa ulinzi, kimejengwa ndani ya chuo kikuu...

Like
226
0
Monday, 04 January 2016
MANISPAA YA ILALA KUKUSANYA BILIONI 12 KUTOKA KWENYE KODI YA MAJENGO
Local News

MANISPAA   ya wilaya  ya Ilala,  imepanga   kukusanya  kiasi cha  shilingi bilioni kumi na mbili  kutokana na kodi ya majengo  kiasi kitakacho tumika katika  kuboresha  huduma za kijamii .   Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam  leo,  Afisa uhusiano kutoka Manispaa hiyo,  TABU SHAIBU amesema Manispaa ya Ilala ina vyanzo  vingi vya mapato  na moja ya vyanzo vikuu  ni kodi ya majengo  hivyo  imepanga  kuzunguka na kupita kila kona ya mtaa ili kuhakikisha ina  wanakabiliana na wakwepa kodi ...

Like
240
0
Monday, 04 January 2016
KIPINDUPINDU: KASI YA MAAMBUKIZI YAPANDA ARUSHA NA MWANZA
Local News

  IMEELEZWA kuwa licha ya kupungua kwa maambukizi mapya katika baadhi ya Mikoa, kasi ya kukuwa kwa maambukizi ya  ugonjwa wa Kipindupindu imeendelea kupanda katika Mikoa ya Mwanza na Arusha ambapo katika Mkoa wa Arusha maambukizi yamepanda  kutoka wagonjwa wapya 60 hadi wagonjwa wapya 111 kwa wiki na katika Mkoa wa MWanza maambukizi yamepanda kutoka  wagonjwa wapya 45 hadi 66 kwa wiki. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Dokta Ahmis Kigwangala wakati...

Like
228
0
Monday, 04 January 2016
HIDDINK AONYESHA MATUMAINI YA CHELSEA KUMALIZA NNE BORA
Local News

Kaimu meneja wa Chelsea Guus Hiddink amesema bado inawezekana klabu hiyo kumaliza katika nne bora Ligi ya Premia baada yao kulaza Crystal Palace 3-0 Jumapili. Hata hivyo, amekiri kwamba ni jambo ngumu. Klabu hiyo ya Stamford Bridge sasa imeenda mechi nne bila kushindwa, kwa mara ya kwanza msimu huu, na kupanda hadi nambari 14 ligini. Hata hivyo, bado wanapungukiwa na alama 13 kufika eneo la kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Ushindi wao dhidi ya Palace, walio nambari saba...

Like
209
0
Monday, 04 January 2016
UCHAGUZI AFRIKA YA KATI: TOUADERA AONGOZA MATOKEO YA AWALI
Local News

MATOKEO ya awali ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati yanaonyesha Waziri Mkuu wa zamani Faustin Archange Touadera anaongoza.   Wagombea 30 walishiriki kwenye uchaguzi huo ambao huenda ukaingia awamu ya pili kati ya wagombea wawili watakaoongoza tarehe 31 ya mwezi huu.   Upigaji kura ulifanyika tarehe 30 Desemba mwaka 2015, huku walinda amani wa Umoja wa Mataifa wakilinda vituo vya kupigia kura....

Like
229
0
Monday, 04 January 2016
BOMOA BOMOA KUENDELEA KESHO JANGWANI
Local News

KAZI ya kuweka alama ya X , nyumba zitakazobomolewa kesho, inaendelea leo katika eneo la Jangwani baada ya mapumziko ya sikukuu za Mwisho wa Mwaka.   Mwanasheria wa Baraza la Taifa la usimamizi wa Mazingira-NEMC, Manchare Suguta, amesema wamehakikishiwa ulinzi wa kutosha Kutokana na wiki iliyopita, wananchi kufanya vurugu wakipinga nyumba zao kuwekwa alama hiyo.   Suguta amesema nyumba elfu 4 zinatarajiwa kuwekwa alama ya...

Like
279
0
Monday, 04 January 2016
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI RUVUMA
Local News

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa ameanza ziara yake ya kikazi leo Mkoani Ruvuma.   Waziri Mkuu Majaliwa aliondoka na kuwasili Mkoani humo jana, na leo atafungua tawi la Benki ya Posta Mjini Songea pamoja na kukagua Maghala ya wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula-NFRA, Kanda ya Songea.   Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu, kesho anatarajiwa kutembelea na kukagua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo na kuongea na watumishi...

Like
283
0
Monday, 04 January 2016
BASI LA LUWINZO LAPATA AJALI IRINGA
Local News

WATU kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea leo ikihusisha basi kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Njombe.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na ameiambia Efm kuwa bado wapo eneo la Tukio ili kuweza kutambua idadi ya watu waliopoteza maisha pamoja na...

Like
705
0
Monday, 04 January 2016