Slider

BALOZI WA UINGEREZA AAHIDI KUISAIDIA WILAYA YA KINONDONI KUTATUA KERO MBALIMBALI
Local News

BALOZI wa Uingereza nchini ameahidi kuisaidia Halmashauri ya kinondoni katika kutatua kero ikiwemo kero ya mafuriko pamoja na kuboresha sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ,sekta ya afya  na michezo. Hayo yamebainishwa jijini Dar es alaamu na mkuu wa wilaya ya kinondoni  PAUL MAKONDA mara baada ya kumaliza  mazungumzo na balozi huyo,  DIANA MELYROSE  ambapo amesema kutokana na  kuwepo na changamoto mbalimbali katika manispaa ya kinondoni manispaa hiyo imekuwa na mazungumzo na baadhi ya wadau wa halmashauri ya kinondoni wakiwemo...

Like
210
0
Friday, 08 January 2016
RAIS MAGUFULI AMPONGEZA SAMATTA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salam za pongezi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na  Michezo Mheshimiwa Nape Nnauye kufuatia mchezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu  Mbwana Ally Samatta kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Barani Afrika; iliyotolewa katika mji wa Abuja nchini Nigeria jana usiku.   Mhe. Rais Magufuli amemtaka Waziri Nape Nnauye amfikishie salam zake za pongezi kwa mchezaji huyo ambaye pia ni mchezaji wa...

Like
181
0
Friday, 08 January 2016
KAMPUNI YA QUALITY MEDIA GROUP YANUNUA GAZETI LA JAMBO LEO
Local News

Kampuni Ya Quality Media Group Yanunua Gazeti La Jambo Leo Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania ambao ni wachapishaji wa Gazeti la kila siku la Jambo Leo imenunuliwa na Kampuni ya Quality Media Group ambayo ni kampuni tanzu ya Quality Group Limited,ununuzi umeanza December 31 na unategemea kukamilika February 01. Kampuni ya Quality Media imedhamiria kuwekeza katika tasnia ya habari kwa kuongeza ufanisi katika utendaji wa gazeti la Jambo Leo na kuahidi kufikia mwisho wa robo ya kwanza ya mwaka 2016...

Like
424
0
Friday, 08 January 2016
SAMATTA ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA LIGI ZA NDANI
Slider

Nyota ya Tanzania inayowika TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anachezea ndani ya bara la Afrika.   Tuzo ya mwanasoka bora barani Afrika imemwendea Pierre-Emerick raia wa Gabon anayesakata kambumbu katika klabu ya Borussia Dotmund nchini Ujerumani. Tuzo hizo za kila mwaka zinazotolewa na Shirikisho la soka barani Afrika almaarufu kama CAF zimetolewa usiku wa kuamkia Ijumaa mjini Abuja nchini Nigeria. Samatta, kijana anayevumisha soka ya Tanzania Timu...

Like
234
0
Friday, 08 January 2016
MLIPUKO WAUA 70 LIBYA
Global News

WATU  70 wameuwawa  wakati  lori lililokuwa limewekewa  miripuko  kuripuka  katika  kambi  ya  polisi Kaskazini  Magharibi  ya  Libya  katika  mji  wa  pwani  wa Zliten.   Watu  wengi  wamejeruhiwa  katika  shambulio hilo  la  kujitoa  muhanga, ambalo  lilishambulia kundi  la maafisa  wa  polisi  waliokuwa  wamekusanyika  jana katika kambi .   Kwa  mujibu  wa  watu  walioshuhudia,  lori  hilo  lililokuwa na  miripuko  liligonga  katika  lango  la  kambi  hiyo ambayo  inatumiwa  kuwapa ...

Like
209
0
Friday, 08 January 2016
SALVA KIIR NA RIEK MACHAR WAAFIKIANA MUUNDO WA SERIKALI YA MPITO
Global News

HATIMAYE, RAIS  wa  Sudan  Kusini Salva Kiir  na  kiongozi  wa  waasi Riek Machar  wamefikia  makubaliano  ambapo  pande  hizo mbili  zimekubaliana  kuhusiana  na  muundo  wa   serikali ya  mpito.   Kwa mujibu  wa  makubaliano  hayo, serikali  inaruhusiwa kuteua  mawaziri  16, ambapo  upande  wa waasi wanaruhusiwa  kuteua  mawaziri  10.   Serikali  ya  mpito  iliyokubaliwa  itakuwa  madarakani  kwa miaka 3  kabla  ya  uchaguzi  mpya  kufanyika. Sudan Kusini  imekumbwa  na  vita  vya ...

Like
260
0
Friday, 08 January 2016
ITAMBOLEO: WANANCHI WAMKALIA KOONI MTENDAJI WA KIJIJI KUFUATIA UBADHILIFU WA FEDHA
Local News

WANANCHI wa Kijiji cha Itamboleo Kata ya Chimala Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamemtaka Mkugunzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo,  kumchukulia hatua za nidhamu Mtendaji wa Kijiji Julius Mwagala kwa ubadhilifu wa fedha za kijiji.   Mwenyekiti wa Kijiji cha Itamboleo SAMWEL KAGANGA amesema kuwa Mwagala amekula shilingi laki 9 zilizochangwa na wananchi mwaka 2015 kwa ajili ya maendeleo ya Kijiji.   Hata hivyo inaelezwa kuwa, mtendaji huyo hajafika kazini tangu mwezi March mwaka jana  ambapo kazi zake zimekuwa zikifanywa...

Like
317
0
Friday, 08 January 2016
WAKAZI DAR KUNUFAIKA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA
Local News

KATIKA  kuhakikisha agizo la serikali  la kufikisha huduma ya maji safi kwa wakazi zaidi ya milioni nne  wa mkoa wa Dar es alaamu na  mikoa ya jirani,  mamlaka ya maji safi na maji taka  mkoa wa Dar es alaamu- DAWASCO,  limeanzisha zoezi maalumu kwa ajili ya kuwaunganisha wakazi hao na  huduma hiyo.   Afisa uhusiano wa Dawasco  EVERLASTINGI  LYARO,  amesema kuwa zoezi hilo limeanza rasmi tangu januari mosi mwaka huu na limegawanyika katika awamu kuu nee.   LYARO amebainisha kuwa...

Like
250
0
Friday, 08 January 2016
WAFUNGWA 2 WA GUANTANAMO WAHAMISHIWA GHANA
Global News

WAFUNGWA wawili waliokuwa wakizuiliwa katika gereza la Guantanamo Bay, Cuba, wamehamishiwa Ghana.   Wizara ya Ulinzi ya Marekani imesema idhini ilitolewa kwa Khalid al-Dhuby kuachiliwa huru 2006 na kwa Mahmoud Omar Bin Atef mwaka 2009.   Wawili hao, wanaotoka Yemen, wamezuiliwa kwa zaidi ya mwongo mmoja na hawajawahi kufunguliwa...

Like
170
0
Thursday, 07 January 2016
MZOZO WA KIDIPLOMASIA KATI YA SAUDI ARABIA NA IRAN WAPAMBA MOTO
Global News

MZOZO wa kidiplomasia kati ya Saudi Arabia na Iran unazidi kufukuta, huku Iran ikiitaka Saudi Arabia kuachana na msimamo wake wa makabiliano.   Waziri wa mambo ya nje wa Iran Javad Zarif, ameitaka Saudi Arabia kuacha kuchochea wasiwasi na kujibu hatua zake za karibuni, ambazo zilisababisha mkwamo...

Like
188
0
Thursday, 07 January 2016
WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI KWA KAIMU AFISA BIASHARA WA MANISPAA YA ILALA
Local News

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa, George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kumsimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Ilala  Dennis Mrema kuanzia leo tarehe 07 Januari, 2016 kwa kosa la kusababisha upotevu wa Mapato ya Serikali kutokana na urasimu wa kukusudia, mazingira ya rushwa na uzembe katika utoaji wa leseni za Biashara.   Kutokana na hali hiyo Waziri ameelekeza Mkurugenzi huyo wa Ilala kumuondoa kwenye nafasi yake Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa...

Like
368
0
Thursday, 07 January 2016