Slider

UMOJA WA ULAYA WAONYESHA MATUMAINI HISPANIA
Global News

RAIS wa halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya Jean-Claude Juncker, amesema kuwa umoja huo una matumaini kwamba hispania itaunda serikali imara, kufuatia uchaguzi ambao waziri mkuu Mhafidhina Mariano Rajoy, amepoteza viti vingi vya Ubunge kwa vyama vya mrengo wa kushoto. Juncker amewambia wandishi wa habari mjini Brussles kuwa amezingatia matokeo ya uchaguzi huo na maelezo ya hisia za Wahispania na kuongeza kuwa zipo juu ya mamlaka ya nchi hiyo katika kuunda serikali inayoweza kutimiza wajibu wake. Hata hivyo vyama vya...

Like
236
0
Tuesday, 22 December 2015
AFGHANISTAN: SHAMBULIO LA KUJITOA MUHANGA LAUA ASKARI 6 WA MAREKANI
Global News

MSHAMBULIAJI wa kujitoa muhanga nchini Afghanistan amewaua askari sita wa vikosi vya Jeshi la Marekani likiwa ni miongoni mwa shambulio baya kuwahi kutokea katika kipindi cha miezi ya hivi karibuni. Mshambuliaji huyo akiwa kwenye pikipiki, amewalenga askari wa vikosi vya muungano kati ya majeshi ya NATO na askari wa doria wa Afghanistan karibu na kambi ya vikosi vya anga. Kamanda wa kikosi kimojawapo cha polisi amesema kwamba yeye na wasaidizi wake pamoja na kikosi cha askari walizingirwa na baadhi ya...

Like
254
0
Tuesday, 22 December 2015
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUTATUA KERO YA MAJI CHUNYA
Local News

SERIKALI WIlayani Chunya Mkoani Mbeya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wameendelea na jitihada mbalimbali za kuhakikisha wanatatua changamoto ya ukosefu wa maji wilayani humo.   Hatua hiyo imekuja kufuataia kampuni ya Peak Resource inayojihusisha na utafiti wa madini adimu chini ya ardhi katika kata  ya ngwala wilayanii chunya mkoani mbeya kuchimba visima viwili vya maji vyenye thamani ya shilingi milioni 16.   Akizungumza wakati wa makabidhiano ya visima hivyo Mkuu wa Wilaya ya Chunya Elias Tarimo  amesema hatua ya...

Like
345
0
Tuesday, 22 December 2015
WAZIRI KAIRUKI AAGIZA WATUMISHI KUJENGEWA UWEZO
Local News

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora mheshimiwa Angella Kairuki ameagiza kuzingatiwa kwa utaratibu wa kuwajengea uwezo watumishi ili waweze kumudu majukumu katika sehemu zao za kazi.   Waziri Kairuki ameyasema hayo wakati wa kikao kazi na Idara ya uendelezaji Rasilimali watu na kusisitiza kuwa waajiri wasitegemee serikali kuruhusu kuendelea kutoa mikataba kwa watumishi wakati mpango wa urithishanaji madaraka upo na watumishi wenye sifa stahiki wapo.   Mbali na hayo ameelekeza uchunguzi ufanyike kubaini watumishi...

Like
250
0
Tuesday, 22 December 2015
KASHFA YA UFISADI: SEPP BLATTER NA MICHEL PLATINI WAFUNGIWA MIAKA 8
Slider

Maafisa wawili wakuu zaidi katika usimamizi wa kandanda duniani rais Sepp Blatter na mwenyekiti wa shirikisho la soka barani ulaya UEFA Michel Platini, wamepigwa marufuku ya miaka 8 ya kutoshiriki kwa vyovyote maswala ya soka kufuatia uchunguzi wa kimaadili. Wamepatikana na hatia ya ukiukaji wa maswala mbalimbali kama vile kashfa ya dola milioni mbili malipo yasiyo rasmi ambazo zilikabidhiwa Patini mwaka 2011. Maafisa hao wawili wanasisitiza kutofanya makosa yoyote. Marufuku hiyo inaanza kutekelezwa mara moja. Rais huyo wa Fifa tangu...

Like
295
0
Monday, 21 December 2015
NIGERIA: JESHI LAPEWA MWEZI MMOJA KUISAMBARATISHA BOKO HARAM
Global News

MSEMAJI wa jeshi la Nigeria Kanali Sani Usman, amesema wanajeshi wake wamewauwa wapiaganaji 12 wa kundi la Boko Haram, na kukamata shehena ya silaha na risasi kutoka kwa kundi hilo, ambalo uasi wake wa miaka sita umegharimu maisha ya maelfu ya raia.   Usman amesema wanajeshi waliwaua washukiwa wa ugaidi wa Boko Haram waliokuwa wanazitesa jamii za maeneo ya Sabon Gari na Damboa, na kwamba miongoni mwa waliouawa ni kiongozi wa magaidi hao katika mji wa Bulayaga.   Rais Muhammadu...

Like
334
0
Monday, 21 December 2015
BURUNDI: BUNGE LAJADILI MPANGO WA AU KUPELEKA VIKOSI VYA USALA
Global News

BUNGE la Burundi leo linajadili mpango wa Umoja wa Afrika kutuma kikosi cha wanajeshi wa kuwalinda raia nchini humo, ambao tayari serikali  imeukataa na kukitaja kikosi hicho kuwa ni cha uvamizi. Wabunge wanatarajiwa kupinga kuletwa kwa kikosi hicho, kilichopendekezwa na Umoja wa Afrika wiki iliyopita, wakati ambapo wasiwasi unazidi kuhusu kuongezeka kwa machafuko katika taifa hilo dogo. Chama tawala cha CNDD-FDD kimesema lengo la kikao hicho kisicho cha kawaida kilichotarajiwa kutangazwa moja kwa moja kupitia redio na televisheni za Umma,...

Like
254
0
Monday, 21 December 2015
SERIKALI YAAGIZA HALMASHAURI KUHAKIKISHA ELIMU INATOLEWA BURE
Local News

WIZARA ya Elimu Sayansi Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi  imewataka wakuu wa wilaya na Wakurugenzi wa Halmshauri za Wilaya, Miji na Manispaa zote nchini kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa agizo la utoaji wa elimu bure kwa shule za awali, msingi na sekondari kama lilivyotolewa na  rais. Hatua hiyo imetokana na Wizara ya Elimu kupokea taarifa mbalimbali kutoka kwa wadau wa elimu kuwa kuna baadhi ya walimuu wakuu wa shule za msingi na sekondari kuendelea kutoza fedha za uandikishaji wa wanafunzi...

Like
303
0
Monday, 21 December 2015
DNA YATOA UKWELI WA MAMBO
Local News

ASILIMIA 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA)  yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.   Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.   Profesa Manyele aliongeza kuwa...

Like
268
0
Monday, 21 December 2015
HISPANIA YASUBIRI MAJIBU YA UCHAGUZI
Global News

CHAMA cha kihafidhina cha nchini Hispania kinachoongozwa na Waziri Mkuu Mariano Rajoy kimeshinda katika uchaguzi mkuu lakini kimeshindwa kupata wingi wa kura za kutosha za kukiwezesha kuunda serikali ijayo. Rajoy amesema atajaribu kuunda serikali mpya iliyo thabiti baada ya chama chake cha Popular-PP-kushinda kwa asilimia 28.71 na hivyo kujinyakulia viti 123 vya Ubunge. Chama cha Kisosholisti kiliibuka mshindi wa nafasi ya pili katika uchaguzi huo kwa kupata viti tisini huku vyama viwili vipya vya Podemos na cha mrengo wa kati...

Like
253
0
Monday, 21 December 2015
LUBANGA NA KATANGA WAREJESHWA CONGO
Global News

MAHAKAMA ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, imewarejesha nchini Kongo waasi wawili, Thomas Lubanga na Gemain Katanga ili waweze kutumikia vifungo vyao nchini humo. Lubanga alishtakiwa na mahakama hiyo kutokana na makosa ya kuwa ajiri watoto wadogo katika kundi lake la waasi na kusababisha mauaji na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kati ya mwaka 2002 na 2003. Germain Katanga yeye anayedaiwa kuongoza kundi lililofanya mauaji ya zaidi ya watu Elfu 2, katika wilaya ya Ituri Mashariki mwa...

Like
232
0
Monday, 21 December 2015