RIO 2016: MURRAY ATWAA MEDALI YA DHAHABU
Slider

Muingereza Andy Murray yeye amekuwa mcheza Tenisi wa kwanza kushinda medali mbili za dhahabu za Olympiki kwa mchezaji mmoja mmoja baada ya kumshinda muargentina Juan Martin del Potro. Murray mwenye umri wa miaka 29, alimshinda Juan kwa seti nne za 7-5 4-6 6-2 7-5 Ushindi wa Murray umekuja majuma matano baada ya kushinda taji lake la pili la Wimbledon na miaka minne tangu alipopata mafanikio jijini...

Like
212
0
Monday, 15 August 2016
RIO2016: USAIN BOLT ATWAA MEDANI YA DHAHABU YA MITA 100
Slider

Mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt, ameandikisha historia ya kuwa mwanariadha wa kwanza kushinda nishani ya dhahabu kwa mara ya tatu mfululizo, katika mbio za mita mia moja, kwenye michezo ya olimpiki ya Rio 2016. Bolt, 29, amechukua muda wa sekunde 9.81 katika fainali yake ya mwisho katika michezo ya olimpiki, kwa kuiga ushindi sawa na huo katika michezo ya olimpiki mjini Beijing 2008, na London 2012. Gatlin, ambaye amepigwa marufuku mara mbili kwa matumizi ya dawa za kutitimua misuli, alimaliza...

Like
280
0
Monday, 15 August 2016
RIO2016: KISANGA CHA MAJI KUBADILIKA RANGI KUPATIWA UFUMBUZI
Slider

Waandaaji wa michuano ya Rio wamesema kuwa Bwawa la kuogelea litarudi kwenye rangi yake ya awali baadaye hii leo, baada ya kubadilika na kuwa na rangi ya kijani siku ya jana wakati michuano hiyo ikiendelea. Kwa mujibu taarifa ya yake maji ya bwawa hilo yalibadilika rangi kutokana na kuzidi kwa kiwango cha Alkalini. Amesema kuwa wapimaji wa maji hawakujali wingi wa waogeleaji kama wataathiriwa na kiwango cha PH, na Chlorine. Washindanaji walisema ilikuwa vigumu kuwaona wenzao kwenye maji ya kijani....

Like
255
0
Thursday, 11 August 2016
WAPIGA KURA ZAMBIA WACHAGUA VIONGOZI
Slider

Wapiga kura nchini Zambia wameanza kufika katika vituo vya kupigia kura kushiriki uchaguzi wa urais na wabunge. Kumekuwa na ushindani mkali na kipindi cha kampeni kilikumbwa na vurugu. Ushindani mkubwa unatarajiwa kuwa kati ya Rais Edgar Lungu wa chama cha PF na mgombea wa upinzani wa chama cha UPND Hakainde Hichilema. Kuna jumla ya wapiga kura 6.7 milioni waliojiandikisha kupiga kura. Kwa mara ya kwanza, mgombea urais anatakiwa kupata asilimia 50 ya kura zitakazopigwa pamoja na kura moja zaidi ili...

Like
258
0
Thursday, 11 August 2016
RIO2016: WACHEZAJI KOREA KUSINI NA KASKAZINI WAJIPIGA SELFIE
Slider

Wanamichezo wa mazoezi ya viungo kutoka Korea Kusini na Kaskazini, ambao wanashiriki Michezo ya Olimpiki Rio 2016, wameuonesha ulimwengu ishara ya umoja, kwa kupiga selfie pamoja. Lee Eun-ju wa Korea Kusini na Hong Un-jong wa Kaskazini walipiga picha wakiwa wametabasamu wakati wa mazoezi kabla ya kuanza kwa michezo hiyo. Picha za wanawake hao wawili zimesifiwa sana kwa kuashiria moyo wa Olimpiki wa kuwaleta watu pamoja. Korea Kaskazini na Kusini huwa na uhasama mkubwa. Uhusiano baina ya nchi hizo mbili umedorora...

Like
210
0
Tuesday, 09 August 2016
SABABU YA SAMAKI KUPUNGUA ZIWA TANGANYIKA
Slider

Utafiti mpya umebaini kupungua kwa idadi ya samaki katika Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa muhimu zaidi kwa uvuvi duniani, kumetokana na ongezeko la joto duniani katika karne moja iliyopita. Ziwa Tanganyika ndilo la kale zaidi Afrika na samaki wake huwa muhimu sana kwa lishe katika mataifa yanayopakana na ziwa hilo.Lakini idadi ya samaki imepungua sana, huku wavuvi wakiendelea kuongezeka. Ongezeko hili la wavuvi lilidhaniwa kuwa chanzo kikubwa cha kupungua kwa idadi ya samaki.Lakini utafiti mpya unaonesha chanzo hasa ni ongezeko...

Like
421
0
Tuesday, 09 August 2016
DC KINONDONI: “JIAJIRI USISUBIRI KUAJIRIWA”
Slider

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Salum Hapi ametambulisha mradi mpya unaoenda kwa jina la ‘JIAJIRI USISUBIRI KUAJIRIWA’ mapema leo katika kipindi cha #JotoLaAsubuhi. Hapi amesema lengo la mradi huo ni kuwapatia  vijana mitaji inayotokana na vyanzo vya mapato ya Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni ni sawa na asilimia 10 ya mapato yote yanayopatikana kwa mwaka mzima ambayo hutengwa kwa ajili ya Vijana na Wanawake. Amebainisha kuwa fedha nyingine wanategemea kuzipata toka kwa Rais Dk. John Pombe Magufuli ikiwa ni...

Like
530
0
Wednesday, 03 August 2016
PICHA: BWANA E AMWAGA WESE BUREEE TEMEKE, YOMBO BUZA
Slider

Wale wadau wa E-fm wenye sticker za namba ya bahati 93.7 wamebahatika kuwekewa wese full tank kutoka kwa Bwana E katika kituo cha mafuta cha Lake Oil Yombo Buza, zoei hili ni endelevu unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unasikiliza Efm kujua eneo ambalo bwana E anapiga misele na kutunza Sticker...

Like
1650
0
Thursday, 28 July 2016
BARCELONA YARIPOTIWA KUFIKIA MAKUBALIANO NA JAVIER MASCHERANO
Slider

Klabu ya Fc Barcelona imerepotiwa kufikia makubaliano na mlinzi wake ‪Javier Mascherano‬ juu ya kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka mitatu zaidi kutoka kwenye mkataba wake wa awali. Taarifa hizi huenda zikazima ndoto ya mambingwa wa Serie A ‪ Juventus‬ ambayo ilikuwa ikimnyatia baada ya kumsajili ‪Dani Alves‬ kutoka klabu ya...

Like
275
0
Wednesday, 27 July 2016
GONZALO AKABIDHIWA JEZI NO 9
Slider

Nyota mpya wa klabu ya Juventus ya Italia Gonzalo Higuain amekabidhiwa jezi no 9 kwenye kikosi cha mabingwa hao wa ligi kuu ya Italia Serie A. Higuain mwenye umri wa miaka 28 amejiunga na Juventus kwa dau LA Euro million 94.7 akitokea Napoli pia ya Italia. Katika msimu uliopita nyota huyo amefunga magoli 36 akiweka rekodi hiyo kwenye ligi...

Like
263
0
Wednesday, 27 July 2016
ARSENAL YAPATA PIGO
Slider

Klabu ya Arsenal imepata pigo baada ya nyota wake Per Mertesacker kuripotiwa kuwa atakaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 5 akisumbuliwa na maumivu ya jeraha la goti. Beki huyo sasa ameondolewa kwenye msafara wa kikosi kitakachokuwa ziarani nchini Marekani kujiandaa na msimu mpya wa ‪#‎epl‬ utakaoanza mwezi ujao. Kwa mantiki hiyo inapotiwa kuwa nyota huyo atakaa nje ya dimba hadi mwaka...

Like
245
0
Tuesday, 26 July 2016
« Previous PageNext Page »