Sports

MAPENDEKEZO YATOLEWA NEYMAR ASHTAKIWE
Slider

Waendesha mashtaka nchini Brazil wamependekeza kwamba nyota wa timu ya Barcelona Neymar ashtakiwe na mashtaka matatu ya ufisadi kuhusu kesi ya kodi wakati wa uhamisho wake hadi Barcelona. Inadaiwa kwamba kampuni zilibuniwa ili kutumika kwa niaba yake ili mchezaji huyo alipe kodi ya kiwango cha chini. Maafisa nchini Brazil wanasema kuwa madai hayo dhidi ya mshambuliaji huyo wa Barcelona yanasimamia kipindi cha miaka saba kuanzia 2006.Madai hayo ni tofauti na yale ya kesi iliosikizwa siku ya Jumanne nchini Uhispania. Neymar...

Like
243
0
Wednesday, 03 February 2016
AMIR KHAN KUPAMBANA NA ALVAREZ
Slider

Bondia mwingereza Amir khan anatarajia kupigana na bondia kutoka Mexico sauli Alvarez kuwania mkanda wa WBC katika uzito wa kati mnamo mei saba mjini Las Vegas. Khan mwenye miaka 29, ambaye ni bingwa wa dunia katika uzito wa welter hajapigana tangu apigwe na Chris Algieri mjini New York mwezi Mei. Kwa upande wake Alvarez mwenye miaka 25, amewahi kumpiga bondia Miguel Cotto kwa pointi mjini Las Vegas mwezi Novemba. Mpaka sasa amepoteza pambano mara moja huku akishinda mara 46 katika...

Like
312
0
Wednesday, 03 February 2016
PEP GUARDIOLA AIKANA MAN CITY NA KUICHAGUA MAN U
Slider

Pep Guardiola aishangaza dunia, aikana Manchester City na kuwachagua mahasimu wao Manchester United, amtaka mlinda mlango wa Barcelona Claudio Bravo kujumuika nae. Wakati huo huo viongozi ndani ya Manchester United wanahofia kumkosa Ryan Giggs iwapo Lois Van Gaal atatimuliwa bila yeye kupewa...

Like
268
0
Wednesday, 27 January 2016
SIMBA YAIFUNGUKIA TFF
Slider

Simba yatoa msimamo wake juu ya panga pangua ya ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu huu, Tff yashushiwa lawama kwa mabadiliko ya ratiba baada ya kuiruhusu Azam Fc kwenda kushiriki mashindano ya kualikwa nchini Zambia Simba ndio bingwa ligi kuu ya kandanda Tanzania bara msimu huu, niulizeni baada ya miezi mine kauli ya MANARA, wewe unasemaje? Danny Lianga bado ni mchezaji wa Simba na hana matatizo na...

Like
294
0
Wednesday, 27 January 2016
TAMBWE AIREJESHA YANGA KILELENI
Slider

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Mrundi Hamisi Joselyn Tambwe ameendelea kuwa kinara wa kupachika mabao katika klabu yake ya wanajangwani Yanga SC. Tambwe amefanikiwa kuirejesha timu hiyo kileleni mwa Ligi kufuatia ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Timu ya Majimaji katika mchezo uliopigwa jana uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, yeye akipachika mabao 3 katika ushindi huo. Kwa ushindi huo Yanga imerudi tena kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa kufikisha alama 39, sawa na Azam FC iliyopo...

Like
390
0
Friday, 22 January 2016
SAMATTA ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA LIGI ZA NDANI
Slider

Nyota ya Tanzania inayowika TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anachezea ndani ya bara la Afrika.   Tuzo ya mwanasoka bora barani Afrika imemwendea Pierre-Emerick raia wa Gabon anayesakata kambumbu katika klabu ya Borussia Dotmund nchini Ujerumani. Tuzo hizo za kila mwaka zinazotolewa na Shirikisho la soka barani Afrika almaarufu kama CAF zimetolewa usiku wa kuamkia Ijumaa mjini Abuja nchini Nigeria. Samatta, kijana anayevumisha soka ya Tanzania Timu...

Like
283
0
Friday, 08 January 2016
ZIDANE AKABIDHIWA MIKOBA YA BENITEZ KUINOA REAL MADRID
Slider

Zinedine Zidane achukua nafasi ya Rafael Benitez kuinoa Real Madrid. Rafael Benitez ametimuliwa katika nafasi ya kuwa meneja wa klabu ya Real Madrid baada ya kushika hatamu ya uongozi katika kipindi cha miezi 7 kabla kibarua kuota nyasi. Mhispania huyu, Benitez, 55 ameanguliwa kwenye nafasi hiyo baada ya kikao cha bodi ya klabu hiyo kukutana na kufikia maamuzi hayo. Zidane, 43, amepandishwa kutoka kwenye nafasi yake ya awali ambapo alikuwa anakinoa kikosi B cha klabu ya Real Madrid   Mfaransa...

Like
334
0
Tuesday, 05 January 2016
LA LAKERS YAFIKIRIA KUSTAAFISHA JEZI 2 ZA KOBE BRYANT
Slider

Timu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers yafikiria kustaafisha jezi 2 alizovaa Kobe Bryant ndani ya kikosi hicho. Kobe ametangza kustaafu mpira wa kikapu mwishoni mwa msimu huu 2015/16, alisajiliwa na LA Lakers mwaka 1996 na kupewa jezi namba 8 baada ya jezi mbili alizokuwa anazitaka, jezi namba 33 ilikuwa tayari imeshastaafishwa kwa heshima ya Legendary Kareem Abdul- Jabbar na ile ya namba 24 ilikuwa inavaliwa na George McCloud hivyo ilimbidi Kobe avae jezi namba 8, Akiwa anavaa...

Like
376
0
Monday, 04 January 2016
ARSENAL YAONYESHA NIA KUMWAGA WINO NA ELNENY
Slider

Arsenal yaanza mazungumzo kumwaga wino na kiungo wa Basel Mohamed Elneny Mchezaji huyo wa Egypt, 23 alijiunga na klabu ya Uswiz mwaka 2013, na kushinda mataji ya ligi ya katika misimu yake mitatu   Kiasi cha pound milioni tano kinatajwa kuwa ada ya usajili kwa mchezaji huyu ambae atahitajika kupatiwakibali cha kazi.   Moja ya rekodi bora kwa nyota huyu ni ushindi wa nyumbani akiwa na klabu yake ya Basel dhidi ya Chelsea katika michuano ya mwaka 2013-14   Meneja...

Like
288
0
Monday, 28 December 2015
CARRICK: INATUUMIZA KUSIKIA HATUTOI MSAADA KWA VAN GAAL
Slider

Wachezaji wa Manchester United wanajitahidi kwa kila hali kunusuru kibarua cha Van Gaal, kauli ya Carrick Kiungo wa klabu ya Manchester United Michael Carrick amesema kuwalaumu wachezaji wa klabu hiyo kuwa hawaonyeshi juhudi za kutosha kwa meneja wa klabu hiyo Louis van Gaal ni kukosewa heshima. Carrick ameongeza kuwa kauli hizo zinazokuja kufuatia kufanya vibaya kwa klabu yao zinawaumiza kwa sababu hawapo tayari kuona meneja wao anakuwa kwenye wakati mgumu, hatuwezi kuficha tupo kwenye hali mbaya na tunahitaji kutoka kwenye...

Like
316
0
Monday, 28 December 2015
KASHFA YA UFISADI: SEPP BLATTER NA MICHEL PLATINI WAFUNGIWA MIAKA 8
Slider

Maafisa wawili wakuu zaidi katika usimamizi wa kandanda duniani rais Sepp Blatter na mwenyekiti wa shirikisho la soka barani ulaya UEFA Michel Platini, wamepigwa marufuku ya miaka 8 ya kutoshiriki kwa vyovyote maswala ya soka kufuatia uchunguzi wa kimaadili. Wamepatikana na hatia ya ukiukaji wa maswala mbalimbali kama vile kashfa ya dola milioni mbili malipo yasiyo rasmi ambazo zilikabidhiwa Patini mwaka 2011. Maafisa hao wawili wanasisitiza kutofanya makosa yoyote. Marufuku hiyo inaanza kutekelezwa mara moja. Rais huyo wa Fifa tangu...

Like
292
0
Monday, 21 December 2015