Sports

E-FM VS TABATA VETERANI HAKUNA MBABE
Slider

Dakika 90 za mtanange wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Tabata Veterani zilimalizika kwa sare ya bila kufungana. Burudani hii ya mpira ilishuhudiwa na mamia ya wakazi wa Tabata waliovutiwa kuona wafanyakazi wa Efm wakiwemo Rdj’s na watangazaji wakisakata kabumbu. Kikosi cha E-fm chini ya kikiongozwa na nahodha wake Ssebo kwenye picha ya pamoja   Picha ya pamoja ya Tabata Veterani Mpira ukiendelea katika uwanja wa shule ya Msingi Tabata E-fm wakiliandama lango la Tabata Veterani Mashabiki wa...

Like
578
0
Saturday, 21 November 2015
RIADHA: PUTIN AAGIZA MADAI YA DAWA YAFANYIWE UCHUNGUZI
Slider

RAIS wa Urusi Vladimir Putin ameagiza uchunguzi ufanyike kuhusiana na madai kwamba wanariadha nchini humo wamekuwa wakitumia dawa za kusisimua misuli. Rais Putin ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwa mara ya kwanza tangu tume huru ya shirika la kukabiliana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli duniani (Wada) kutoa ripoti yake Jumatatu juu ya matumizi ya dawa hizo nchini Urusi. Kwa upande wake Waziri wa michezo wa Urusi Vitaly Mutko amesema kuwa ingawa wao wanachangamoto ya kimfumo lakini mfumo wa kukabiliana...

Like
238
0
Thursday, 12 November 2015
CHALLENGE 2015: CECAFA YATANGAZA MAKUNDI
Slider

shirikisho la soka ukanda wa Afrika Mashariki na kati (CECAFA) limetangaza Makundi matatu ya timu zitakazocheza michuano ya Challenge itakayoanza November 21 na kumalizika December 6.  KUNDI A Ethiopia Tanzania Zambia Somalia KUNDI B Burundi Djibouti Kenya Uganda  KUNDI C Rwanda Sudan Sudan Kusini Zanzibar...

Like
327
0
Wednesday, 11 November 2015
SIONI TATIZO KLABU KUMILIKIWA NA MTU MMOJA,MFUMO HUU UNAWEZA KUBADILISHA TASWIRA YA SOKA LA TANZANIA
Slider

Na Omary Katanga Mfumo wa vilabu vinavyotajwa kuwa ni vikubwa nchini,Simba na Yanga,wa kuwa na wanachama wenye kutoa maamuzi yanayohusu klabu zao,ni wazi kuwa umepitwa na wakati kwa karne hii ya sasa katika soka lenye ushindani duniani. Mfumo huu umekuwa ukiwapa nguvu wanachama ya kufanya kile wanachotaka kwakuwa katiba za vilabu vyao vinawatambua,na ndiyo maana wakati mwingine wamekuwa wakishinikiza uongozi kufanya maamuzi yasiyofaa kwakuwa tu wanayohaki y kuamua. Ukiangalia utaratibu uliopo kwa vilabu vya bara la ulaya na maeneo mengi...

Like
310
0
Tuesday, 10 November 2015
SAMATTA MFUNGAJI BORA KLABU BINGWA BARANI AFRIKA
Slider

Klabu ya soka ya TP Mazembe, ya Jamuhuri ya Kidemocrasia ya Congo imetwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Afrika. TP Mazembe wakicheza kwao katika uwanja wa Stade du TP Mazembe Lubumbashi, waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi Union Sportive Medina d’Alger. Mshambuliaji Mbwana Samatta ndiye aliyeanza kuifungia timu yake bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya 75 ya mchezo, kisha Roger Assale akahitimisha kazi kwa bao la pili katika dakika ya 90. Mazembe imenyakua Ubingwa huu...

Like
447
0
Monday, 09 November 2015
E-FM VS KILUVYA VETERANI 2-1
Slider

Mechi ya Mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kivule Veterani imemalizika huku E-fm ikiruhusu washambuliaji wa Kivule Veterani kuziona nyavu mara mbili huku Efm wakiliona lango lao mara moja kupelekea matokeo kuwa 2 – 1, na ushindi kwenda Kivule Veterani wakiutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani Watangazaji wa vipindi vya Sports Headquarters na E Sports, Sud Mkumba na Oscar Oscar wakizungumza na mashabiki kabla ya kushuka dimbani. Picha ya pamoja ya kikosi cha E-fm Kikosi cha timu ya Kivule...

Like
480
0
Saturday, 07 November 2015
FA YATUPILIA MBALI RUFAA YA MOURINHO
Slider

Fa imetupilia mbali rufaa ya meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho aliyoikata kupinga faini ya pound 50,000 na kufungiwa mchezo mmoja na shirikisho hilo la soka. Mreno huyo alipigwa faini hiyo kufuatia kauli yake aliyoitoa baada ya timu yake kutandikwa Southampton kwa kudai kuwa waamuzi wa mchezo huo waliogopa kutoa penati kwa klabu...

Like
265
0
Friday, 06 November 2015
JELA WIKI 6 KWA KUPIGA PICHA KATIKATI YA MBIO ZA F1 LANGALANGA
Slider

Kijana raia wa Uingereza ambaye aliingia katika njia ya magari yakiwa kasi Mahakama ya Singapore imemtupa jela wiki sita jela. Kijana Yogvitam Pravin Dhokia, mwenye miaka 27, aliingilia njia ya mbio za magari ili achukue picha. Alifanya tendo hilo mwezi septemba wakati wa Singapore Grand Prix. Kijana huyo alikubali kosa hilo alilolifanya katikati ya njia ya magari ya Fomula 1 ambayo yalikuwa yanakimbia kwa kasi ya 280km/h (175mph). Akitangaza hukumu hiyo, Jaji Chay Yuen Fatt alisema, kuingilia kokote njia ya...

Like
238
0
Wednesday, 04 November 2015
HATMA YA PISTORIUS KUFAHAMIKA LEO
Slider

MAHAKAMA kuu ya rufaa nchini Afrika Kusini huenda ikaamua leo hii iwapo Mwanariadha mlemavu wa miguu Oscar Pistorius amemuua kwa kukusudia au bila kukusudia mpenzi wake wakati wa sikukuu ya wapendanao mwaka 2013. Mwanariadha huyo, hivi karibuni alianza kutumikia kifungo cha nyumbani akiwa tayari amekwisha kutumikia kifungo cha mwaka mmoja kati ya miaka mitano aliyohukumiwa jela. Endapo majaji wa mahakama hiyo kuu ya rufaa watageuza maamuzi ya awali na kuwa kesi ya mauaji, Oscar Pistorius atarejeshwa tena jela na kutumikia...

Like
213
0
Tuesday, 03 November 2015
KUWATAKA WATANZANIA KUCHANGIA STARS,KINANIFANYA NISHINDWE KUTAMBUA KAZI YA KAMATI YA USHINDI ILIYOUNDWA.
Slider

Na. Omary Katanga Nianze kwa kuipongeza Tff kwa juhudi zake japo si madhubuti za kuiandaa timu yetu ya taifa, taifa stars katika harakati za kuiwania nafasi ya  kupangwa kwenye makundi ili kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la dunia ifikapo mwaka 2018 huko nchini Urusi. Nasema maandalizi siyo madhubuti nikilinganisha na yale yanayofanywa na mataifa mengine ambayo nayo yanaisaka nafasi hiyo kwa udi na uvumba,huku mashirikisho na serikali zao zikiwekeza kiasi kikubwa cha fedha kuhakikisha malengo yao yanatimia katika...

Like
250
0
Monday, 02 November 2015
VINCENT KOMPANY ATETEA MASHABIKI WA MAN CITY
Slider

Nahodha wa klabu ya Manchester City, Vincent Kompany ametetea kitendo cha mashabiki wa klabu hiyo kuzomea wimbo maalum unaotumika katika ligi ya mabingwa. Nahodha huyo amesema kuwa ni utani kuona Uefa inachunguza klabu yao baada ya mashabiki wao kuzomea na kupuuzia wimbo huo. Tukio hilo limetokea kabla ya City kuitandika Sevilla 2-1 wakiwa nyumbani mnamo October 21 ambapo kamati ya usimamizi wa nidhamu katika ligi ya mabingwa imefungua mchakato kuichukulia klabu hiyo hatua za kinidhamu iwapo itabainika kuwa na makosa...

Like
261
0
Monday, 02 November 2015