Sports

MATOKEO YA MICHEZO YA LIGI KUU TANZANIA BARA
Slider

Yanga jana ilishuka dimbani kumenyana na Mbeya City katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ambapo mchezo huo ulimalizika kwa vinara hao wa ligi kuu kuichapa Mbeya City 3-1 , ushindi huo unaipeleka Yanga pointi tano mbele huku mabingwa watetezi Azam fc wakishika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi Magaoli ya Yanga yalifungwa na Simon Msuva, Mrisho Ngassa na Amisi Tambwe huku bao la kufuta machozi la Mbeya City lilipachikwa na Peter Mapunda. Katika michezo mingine ya ligi kuu hapo...

Like
589
0
Monday, 23 February 2015
FERNANDO ALONSO KUFANYIWA VIPIMO TENA BAADA YA AJALI
Slider

 Dereva wa kampuni ya magari ya McLaren Fernando Alonso anatarajiwa kufanyiwa vipimo zaidi siku ya jumatatu kabla timu ya madaktari wanaomuhumia hawajaamua kama watamruhusu kutoka hospitali Fernando Alonso mwenye umri wa miaka 33 amewahi kuchukua ubingwa wa dunia mara mbili kwenye mashindano ya magari. Kwa sasa dereva huyu yupo kwenye uangalizi mkubwa wa madaktari ambapo amelazwa kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU) kufuatia ajali aliyopata wakati wa majaribio huko Barcelona siku ya jumapili Alonso kwa sasa anasumbuliwa na tatizo la...

Like
335
0
Monday, 23 February 2015
AFCON: TUNISIA YAKATA RUFAA KUPINGA KUFUNGIWA MICHUANO YA 2017
Slider

Tunisia imekata rufaa katika mahakama ya usuluhishi wa masuala ya michezo kufuatia kitindo cha waandaji wa michuano ya AFCON – kombe la mataifa ya Afrika kuwaondoa kwenye mashindano yatakayofanyika mwaka 2017. Tunisia itashiriki kwenye michuano hiyo iwapo tu watakanusha madai ya rais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini humo kufuatia kuondolewa kwao kuwa kumetawaliwa na mkanganyiko kati ya Tunisia na waliokuwa wenyeji wa michuano hiyo Equatorial Guinea. Wadie Jary alisababisha hukumu hiyo kupitishwa kufuatia kauli yake ya Mbwea hao...

Like
307
0
Friday, 20 February 2015
ZLATAN IBRAHIMOVIC AFUNGIWA MECHI MBILI NA KAMATI YA MAADILI UFARANSA
Slider

Mshambuliaji wa klabu ya Paris Saint-Germain Zlatan Ibrahimovic amefungiwa michezo miwili katika mashindano ya ndani ya ligi ya Ufaransa (LFP). Mshambuliaji huyo ambae ni raia wa Sweden amepewa adhabu hiyo  na kamati ya maadili ilpokutana kujadili hatima yake na kukutwa na hatia ya kufanya madhambi Kutokana na adhabu hiyo Ibrahimovic ataikosa mechi na Monaco siku jumapili ya tarehe moja mwezi wa tatu kwenye robo fainali ya michuano ya ligi nchini Ufaransa. Adhabu hiyo huenda ikaleta madhara kwa klabu ya PSG...

Like
290
0
Friday, 20 February 2015
TANGAZO KUTOKA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU WILAYA YA ILALA
Slider

Chama cha mpira wa miguu wilaya ya ilala IDYOUTH kinawatangazia kutawakuwa na michezo miwili ya nusu fainali ya under 17 siku ya jumapili katika uwanja wa chuo cha magereza kati ya Lil boyz vs Vumbua vipaji na Colon vs Manyota ya ilala Mgeni rasmi anatrajiwa kuwa Ruvu kiwanga imetolewa na afisa habari wa chama Musa...

Like
455
0
Thursday, 19 February 2015
FA YAMUONYA VAN GAAL
Slider

  Meneja wa timu ya Manchester United Louis van Gaal amepewa onyo na shirikisho la mpira wa miguu nchini Uingereza kufuatia kauli alizozitoa kuzungumzia matokeo ya mechi kati ya timu yake na Cambridge United kwenye ligi ya Uingereza ambapo mchezo huo ulimalizika kwa matokeo ya bila kufungana mwezi uliopita. Van Gaal alielekezea lawama zake kwenye Nyanja zote za mechi hiyo kwamba zilikuwa ni dhidi ya timu yake na kuwalaumu waamuzi wa mchezo pia. FA imetoa onyo hilo mara baada ya...

Like
271
0
Thursday, 19 February 2015
MAONI YA OMARY KATANGA KWA RAIS WA SIMBA EVANS AVEVA
Slider

Rais wa Simba Evans Aveva, huna budi kukumbuka hata kwa bahati mbaya badhi ya ahadi zako ulizozitoa wakati ukiomba ridhaa ya kuwa kiongozi wa juu wa Simba,ili mambo yaende sawa. Ulitoa ahadi nyingi mno ikiwemo ya kuhakikisha unazoa pointi 3 katika kila mechi,utaleta maendeleao ndani ya klabu,utaifanya simba kuwa ni moja ya klabu inayoheshimika ndani na nje ya nchi,utaongeza idadi ya wanachama,pia utahakikisha unavunja makundi yote na kuwaunganisha wanachama kuwa simba moja. Hebu tuliangalie hili la kuvunja makundi-wanachama wa simba...

Like
470
0
Wednesday, 18 February 2015
AUDIO: MWENDELEZO WA MAHOJIANO NA JUMA PONDAMALI MENSA KUPITIA MAKAO MAKUU YA MICHEZO
Slider

Wanachokosea viongozi wa juu wa soka kwa vilabu  hapa nchini ni wapi maana wamekuwa wakilalamikiwa kuboronga  wanapokuwa madarakani………….. Je, enzi zako vilabu kama Yanga uliyowahi kuichezea na timu ya taifa mlikuwa mnasafiri nje ya nchi mathalani Ulaya nakadhalika au utamaduni huu ni wa sasa tuu…….. Kuundwa kwa timu ya taifa ya Maboresho unadhani kutasaidia kuwa na timu bora ya taifa zaidi yah ii ya sasa????????? Kikosi chenu cha timu ya taifa  enzi hizo kilikuwa na wachezaji mchanganyiko kwa timu za...

Like
661
0
Wednesday, 18 February 2015
MICHEZO YA UFUNGUZI LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA
Slider

Katika michezo ya ufunguzi ya michuano ya UEFA hapo jana nyasi ziliwaka moto katika viwanja viwili tofauti kwenye hatua ya kumi na sita bora Klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa ilikuwa mwenyeji wa Chelsea ya Uingereza ambapo nusu ya kwanza ya mchezo huo Chelsea ilitawala kwa kuwa ya kwanza kuziona nyavu za PSG kupitia mchezaji wake Branislav Ivanovic mnamo dakika ya 36 na kudumu hadi mapumziko, katika kipindi cha pili dakika ya 54 PSG waliweza kusawazisha bao hilo kupitia...

Like
320
0
Wednesday, 18 February 2015
AUDIO: MAHOJIANO NA JUMA PONDAMALI MENSA KWENYE MAKAO MAKUU YA MICHEZO
Slider

  Kwanza akijitambulisha jinalake pamoja na kusimulia mwanzo wake katika soka. baada ya kujiunga na browaris ya dare es salaam na baadaye pan afrika huku chama cha soka wakati huo kiki onekana kusita kuisajili timu hiyo je waliamua nini. Pan afrika ilionekana kuwa timu kubwa na bora wakati huo je mwisho wa klabu hiyo ni nini. kwanini ulikuwa mgomvi pondamali sababu ilikua ni nini....

Like
623
0
Tuesday, 17 February 2015
MEDANI ZA KIMATAIFA
Slider

AFRIKA. Pamoja na timu ya Taifa ya Mali kutofanya vizuri kwenye michuano ya Afcon iliyomalizika hivi karibuni, shirikisho la soka nchini humo halina mpango wa kumtimua kocha huyo. ULAYA. Pamoja na Manchester United kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano ya FA, mashabiki wa Preston walimzomea Radamel Falcao na kuita usajili wake ni sawa na upotevu wa fedha kwa Man United.   Kocha wa zamani wa Ac Millan na timu ya taifa ya Italia, Arrigo Sacchi amebainisha kuwa kuwepo...

Like
341
0
Tuesday, 17 February 2015