Sports

REMI GARDE KUINOA ASTON VILLA
Slider

Aston Villa inatarajiwa kumtangaza bosi wa zamani wa Lyon, Remi Garde kama meneja mpya wa klabu hiyo siku ya leo na kuichukua nafasi ya Tim Sherwood. Mfaransa huyo anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 3 na nusu   Garde 49 inarithi mikoba ya kuingoza klabu hiyo ikiwa mkiani kwa alama 4 katika michezo 10 ya Premier League.   Kocha wa Bastia, Reginald Ray anatajwa kuja kuwa mwalimu msaidizi wa klabhu hiyo amabapo walimu hawa wawili wanabeba kibarua katika mchezo na Manchester...

Like
247
0
Monday, 02 November 2015
MOUNRINHO ASHITAKIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU
Slider

Meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho ameshtakiwa na chama cha mpira wa miguu FA kwa utovu wa nidhamu. Mourinho ameshitakiwa na Chama hicho cha mpira kutokana na lugha pamoja na tabia kwa ujumla kwenye mchezo kati ya Chelsea na West Ham United ambapo upande wake ulipokea kichapo. Mourinho alisimamishwa baada ya kumfuata mwamuzi Jon Moss kwenye chumba chake wakati wa mapumziko siku jumamosi. Klabu zote mbili zimeshitakiwa kwa kushindwa kuwaongoza wachezaji wao na kutakiwa kutoa majibu ifikapo October 29...

Like
212
0
Tuesday, 27 October 2015
GIANNI KUWANIA URAIS FIFA
Slider

katibu Mkuu wa shirikisho la mpira wa miguu barani Ulaya Gianni Infantino ameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Urais wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA. Infantino alijumuika kwenye orodha ya wanaowania nafasi hiyo saa chache kabla ya siku ya mwisho ya kupokea maombi ambayo ni jumatatu Maamuzi haya ya Infantino kuungana Michel Platini kwenye maombi hayo ili kuweza kuchukua nafasi ya Sepp Blatter, 79. Kunazidi kuongeza kasi ya matarajio ya kuwa na mchuano mkali. Rais wa shirikisho la mpira...

Like
223
0
Tuesday, 27 October 2015
MAELEZO YA PICHA TEGETA
Entertanment

SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM  bado zinaendele.Ijumaa iliyopita ilikuwa zamu ya wakazi wa Tegeta . Burudani ya aina yake  ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya kimori high way park Tegeta , huku wakazi wa Tegeta wakikutana ana kwa ana na watangazaji na RDJ’s wa 93.7EFM. Burudani ilianza na kabumbu kati ya EFM na Boko beach veteran katika uwanja wa boko beach  ambapo EFM waliibuka na ushindi mabao matatu  huku Boko beach veteran wakiambulia sifuri. Muziki...

Like
384
0
Monday, 26 October 2015
OSCAR PISTORIUS ATOKA GEREZANI
Slider

Mwanariadha mlemavu nchini Afrika Kusini Oscar Pistorius ameruhusiwa kuondoka gerezani mwaka mmoja tu baada ya kufungwa jela kwa kosa la kumpiga risasi na kumuuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp. Aliachiliwa huru Jumatatu usiku badala ya Jumanne kama wengi walivyotarajia. Baada ya kuachiliwa huru, alielekea kwa mjomba wake Arnold Pistorius. Pistorius ameruhusiwa kukamilisha kifungo chake cha miaka 5, akiwa nyumbani...

Like
321
0
Tuesday, 20 October 2015
NEWCASTLE YAILAZA NORWICH CITY
Slider

Newcastle hatimaye imeonja ushindi baada ya kuinyuka Norwich city. Ligi kuu ya soka ya England ilieendelea tena hapo jana kwa mchezo mmoja ambapo New castle United walikuwa wenyeji wa Norwich city katika dimba la St James’ Park. Katika mchezo huo New castle waliibuka na ushindi mnono wa mabao 6-2, ambapo karamu ya mabao hayo ilihitiishwa na mchezaji Mitrovic dakika ya 64 kipindi cha pili. Kwa matokeo hayo yanaifanya New castle kukaa katika nafasi ya 18 ikiwa na pointi 6, na...

Like
266
0
Monday, 19 October 2015
E-FM YAILAZA CALFORNIA FC 2-1
Slider

Dakika 90 za mchezo wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Calfornia Fc zilimalizika kwa E-fm kutetea ahadi yake ya kutembeza dozi kwenye michezo yote iliyosalia katika Muziki Mnene Bar kwa bar. Umati wa wakazi wa Boko wameshuhudia E-fm ikiwalaza Calfornia Fc magoli 2-1, huku bao la kwanza likifungwa kipindi cha kwanza ambapo Calfornia walisawazisha goli hilo kabla ya kwenda mapumziko. E-fm ilirudi na kasi ya ajabu katika kipindi cha pili licha ya Calfornia kulilinda goli lao kikamilifu juhudi...

Like
414
0
Saturday, 17 October 2015
MOUNRINHO: FAINI YA FA NI FEDHEHA
Slider

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amesema Faini ya Pauni 50,000 aliyotozwa na chama cha soka cha England (FA) ni fedheha. Mourinho amepewa Adhabu hiyo ya faini pamoja na Kifungo cha Mechi 1 ambacho kimesimamishwa kwa kuchunguza mwenendo wake baada ya kupatikana na hatia ya utovu wa nidhamu kufuatia kauli yake kuhusu Refa Robert Madley mara baada ya kufungwa 3-1 na Southampton. Mourinho ameeleza pauni 50,000 ni fedheha, uwezekano wa kufungiwa Mechi 1 ni kitu cha kushangaza!” Mourinho pia alimchimba Meneja...

Like
254
0
Friday, 16 October 2015
NEC YAWATAKA WANANCHI KUHAKIKI TAARIFA SIKU 8 KABLA YA UCHAGUZI
Local News

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini-NEC– imewaasa  wapiga kura kote nchini kuhakiki taarifa zao katika vituo vya kupigia kura siku nane kabla ya uchaguzi.   Hayo yamesema jana  na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji mstaafu Damian Lubuva alipokuwa akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa jijini Dar es Salaam.   Katika mkutano huo Jaji Mstaafu Lubuva amewasihi viongozi hao kunadi sera zao majukwaani na sio kuilalamikia Tume katika majukwaa  wakati wa kampeni  pia amewataka wanasiasa hao  kupeleka malalamiko yao...

Like
243
0
Tuesday, 13 October 2015
CHINA OPEN: DJOKOVIC AMBWAGA RAFAEL NADAL
Slider

Mcheza tenesi namba moja kwa ubora kwa upande wa wanaume Novak Djokovic ametwaa taji la michuano ya wazi ya China. Djokovic alimshinda Rafael Nadal anayeshikilia nafasi ya nane kwa ubora wa mchezo huo duniani kwa Seti 6-2 6-2 na kushinda taji lake la sita kwa mwaka huu. Na kwa upande wa wanawake Muhispani Garbine Muguruza alipata ushindi wa seti 7-5 6-4 dhidi ya Timea Bacsinszky na kutwaa taji la pili. Kwa ushindi huo Muguruza anapanda mapka nafasi ya nne kwa...

Like
222
0
Monday, 12 October 2015
MUZIKI MNENE KIGAMBONI 2015
Local News

MUZIKI mnene bar kwa bar wiki iliyopita ulivuka kivuko na kuhamia kigamboni.Wakazi wa eneo hilo ambao ni wasikilizaji wa 93.7 EFM walipata burudani ya aina yake kutoka kwa timu nzima ya EFM redio. Burudani ilianza na kabumbu katika uwanja wa shule ya msingi Ufukoni kati ya EFM na magogoni veteran.Timu ya magogoni veterani ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli manne huku EFM ikiambulia mawili 2. Kwa kuwa kigamboni kumezungukwa na fukwe kibao, muziki mnene uliendelea katika fukwe ya Navy...

Like
566
0
Monday, 12 October 2015