Sports

MOURINHO: NAHESHIMU MAAMUZI  YA CECH PIA NATAMBUA MCHANGO WAKE
Slider

Mlinda mlango kutoka jamhuri ya Czech, Petr Cech’s ambae uhamisho wake umekamilika kutoka kwa mabingwa wa ligi ya Uingereza Chelsea kwenda kukipiga katika klabu ya Arsenal uhamisho wake umeungwa mkono na meneja wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho. Cech amekuwa chaguo la kwanza kwenye kikosi cha klabu ya Chelsea katika kipindi cha miaka 10 na baadae kuipoteza nafasi hiyo kwa mbeligiji Thibaut Courtois katika msimu uliopita na kujiunga rasmi na Arsenal hapo jumatatu. Mourinho ameeleza kuwa alipendelea kuona nyota huyo...

Like
212
0
Friday, 03 July 2015
STARS IPO KAMILI KUKIPIGA NA CRANES
Slider

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeondoka nchini mwao kuelekea Uganda kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano dhidi ya The Cranes siku ya jumamosi. Kikosi cha Taifa Stars kimeaondoka kikiwa na wachezaji 20,na viongozi 7 wa bechi la ufundi,Mchezo wa jumamosi ni wa marudiano kuwania kufuzu kwa fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) zitakazofanyika nchini Rwanda, huku mechi hiyo ikichezwa saa 10 jioni katika uwanja wa Nakivubo. Kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema vijana...

Like
244
0
Friday, 03 July 2015
MASCHERANO: MPIRA SIO VITA, SIASA ZIWEKWE KANDO
Slider

Nyota wa Argentina Javier Mascherano amewaomba wadau na wapenzi wa mpira wa miguu kuwa na utulivu kuelekea fainali kati yao na wapinzani wao Chile. Timu hizi mbili zitakutana siku ya jumamosi huko Santiago huku mwenyeji wa michuano hiyo Chile wakiwa na shauku ya kumaliza karibu karne ya kushindwa kutwaa taji kwenye michuano mikubwa huku wakishuhudiwa na mashabiki wa nyumbani. Wakati huohuo pia Argentina wanateswa na hamu ya kushinda taji la kwanza katika kipindi cha miaka 22, wakitazama zaidi ubora wa...

Like
261
0
Thursday, 02 July 2015
RATIBA KAGAME CUP
Slider

  Kundi A Cecafa Kagame Cup: Yanga ( Tanzania), Gor Mahia ( Kenya), Khartoum ( Sudan), Telecom ( Djibout), KMKM ( Zanzibar ). Kundi B Cecafa Kagame Cup: Azam (Tanzania), Malakia ( South Sudan), KCC ( Uganda), Adama City ( Ethiopia) Kundi C Cecafa Kagame Cup : APR( Rwanda) , Al Shandy ( Sudan), LLB ( Burundi), Elman (...

Like
360
0
Thursday, 02 July 2015
ANDY MURRAY KUCHEZA RAUNDI YA PILI WIMBLEDON
Sports

Andy Murray anaungana na Waingereza wenzake watatu kucheza hatua ya pili ya michuano ya tenis ya Wimbledon inayoendelea jijini London, baada ya kumcharaza Mikhail Kukushkin wa Kazakhstan. Murray, wa tatu kwa ubora duniani alishinda kwa seti 6-4 7-6 (7-3) 6-4 katika mchezo uliodumu kwa saa mbili na dakika 13 wakati hali ya hewa ikiwa nyuzi joto 41 za Selisyasi. Murray anasema ilikuwa mechi ngumu. Na yeye ndiye aliyeifanya iwe hivyo katika seti ya pili ya mchezo. Kuingia raundi ya pili...

Like
220
0
Wednesday, 01 July 2015
TIMU YA WANAWAKE MAREKANI KUKIPIGA KOMBE LA DUNIA
Sports

Marekani wanacheza fainali ya nne ya Kombe la Dunia kwa wanawake baada ya kuwafunga mabingwa mara mbili wa kombe hilo, Ujerumani katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Olmpic mjini Montreal. Mshambuliaji wa Ujerumani Celia Sasic alikosa penalti katika dakika ya 58, lakini nahodha wa Marekani Carli Lloyd alifunga kwa njia ya kichwa dakika kumi baadaye. Zikiwa zimebakia dakika sita mchezo kumalizika, Kelley O’Hara ambaye aliingia kama mchezaji wa akiba aliifungia timu yake bao lililowahakikishia Marekani kucheza fainali baada ya...

Like
200
0
Wednesday, 01 July 2015
UHAMISHO WA RAHEEM STERLING BADO KITENDAWILI
Slider

Mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United ,hatahivyo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ana wasiwasi kuhusu athari za uhamisho huo hususan kutokana na ushindani mkali uliopo kati ya klabu hizo mbili. Hatahivyo Liverpool imesema kuwa haiko tayari kufanya biashara na wapinzani wao wakuu kutoka Kaskazini Magharibi. Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Luois Van Gaal anavutiwa na kasi ya mchezaji huyo na uwezo wake wa kuwaponyoka mabeki. Sterling amekataa ombi la kitita cha...

Like
325
0
Friday, 05 June 2015
AFISA WA FIFA AKIRI KUPOKEA RUSHWA
Slider

Wizara ya Sheria ya Marekani imechapisha taarifa inayoelezea jinsi Afisa wa zamani wa FIFA Chuck Blazer alivyokiri kuwa yeye pamoja na wenzake walipokea rushwa ikiwa ni pamoja kuichagua Afrika Kusini kuwa mwenyeji wa fainali ya kombe la dunia mwaka 2010. Katika taarifa hiyo imeweka wazi mtandao wa malipo ya rushwa ulivyokuwa ukifanywa ndani ya shirikisho la soka duniani FIFA, taarifa zinazoegemea uchunguzi uliofanywa na shirika la kijasusi la Marekani FBI. Taarifa hiyo ambayo inamwelezea Afisa humo wa zamani wa Fifa...

Like
242
0
Thursday, 04 June 2015
FRENCH OPEN KUWAKUTANISHA WAKALI WA TENIS DUNIANI
Slider

Rafael Nadal bingwa mara tisa wa michuano hiyo anavaana na Djokovic mchezaji nambari moja kwa ubora. Nadal Mhispania amewahi kumshinda Mserbia Djokovic mara sita katika michuano hiyo siku za nyuma. Huu unaelezwa kuwa mpambano mkali zaidi katika michuano ya French Open inayoendelea katika viwanja vya tenis mjini Paris ukiwemo uwanja wa Roland Garros. Mchezaji nambari mbili kwa ubora katika mchezo huo duniani kwa wanaume na bingwa wa mwaka 2009 Roger Federer ameng’olewa katika michunao hiyo hatua ya robo fainali baada...

Like
275
0
Wednesday, 03 June 2015
MAAFISA WA MAREKANI KUMCHUNGUZA BLATTER
Slider

Imeripotiwa kuwa Raisi wa Fifa,Sepp Blatter anafanyiwa uchunguzi na maafisa wa marekani ili kuthibitisha tuhuma za rushwa zinazomkabili vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti. Taarifa hiyo inakuja baada ya Blatter kutangaza kuwa atajiuzulu wadhifa wake. Wakati ambao waendesha mashtaka nchini Marekani wanaoifuatilia tuhuma za rushwa walikamata maafisa saba wa Fifa nchini Switzerland kati ya watu 14 wanaotuhumiwa kwenye kashfa hiyo. Hata hivyo Blatter alisema anatumia mamlaka aliyopewa hata kama hayakubaliwi na kila mtu duniani. Fifa...

Like
202
0
Wednesday, 03 June 2015
TENIS: ANDY MURRAY AJIPANGA KUPAMBANA NA JEREMY CHARDY
Slider

Mchezaji namba moja wa tenisi nchini Uingereza, Andy Murray amejipa changamoto ya kuongeza kiwango chake cha uchezaji wakati atakapopambana na Mfaransa Jeremy Chardy kuwania kufuzu hatua ya robo fainali ya mashindano ya French Open Jumatatu. Mwingereza huyo nambari tatu kwa ubora duniani anapambana na mchezaji namba 45 kwa ubora. Wachezaji hao wamekutana mara saba, kwa Murray kushinda mara sita ukiwemo mchezo wa uwanja wa udongo mjini Roma, Italia Mei 13. Murray anaingia katika mchezo huo akiwa na rekodi ya kutofungwa...

Like
225
0
Monday, 01 June 2015