Sports

BAHATI NASIBU YAIPELEKA GUINEA ROBO FAINALI
Slider

Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Kandanbda Africa CAF imetangaza kwamba Guinea ndio imeshinda katika bahati nasibu ya kusonga mbele dhidi ya Mali. Uwamuzi ulichukuliwa Alhamisi saa kumi saa za Africa Magharibi mjini Malabo, na hivyo sasa Guinea itapambana na Ghana na Algeria itapambana na Ivory Coast....

Like
395
0
Friday, 30 January 2015
CHELSEA MBIONI KUMYAKUA JUAN CUADRADO
Slider

Klabu ya Chelsea ipo kwenye hatua za mwisho kumsainisha mshambuliaji Juan Cuadrado mwenye umri wa miaka 26 Juan Cuadrado ambae ni raia wa Colombia amekubaliana na dili hilo na viongozi wa ligi na klabu hivyo yupo katika hatua za mwisho za uhamiaji utakogharimu paundi milioni 26.8 kutoka kwenye klabu ya Fiorentina ya huko Italia.   Ujio wa Cuadrado’s katika klabu ya Chelsea unamaana yakuwa mshambuliaji mwenye umri wa miaka 24 kutokea Ujerumani Andre Schurrle kwa sasa kuna uhakika wa yeye...

Like
350
0
Friday, 30 January 2015
FIFA: BLATTER AREJESHA FOMU KUWANIA URAIS
Slider

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu duniani Sepp Blatter leo amerudisha fomu za kuwania kugombea urais wa shirikisho hilo kwa awamu ya tano Kupitia akaunti yake ya Twitter Blatter aliandika “Today (Thursday) is a key date in the electoral calendar. I’ve made my submission, now the electoral committee follow a process,” akimaanisha kuwa leo ni siku muhimu katika kalenda ya uchaguzi na amefanya maamuzi hayoya kurudisha fomu hivyo anaichia kazi kamati ya Uchaguzi ifanye kazi yake alisema Blatter mwenye...

Like
304
0
Thursday, 29 January 2015
AFCON: KOCHA WA IVORY COAST AMESEMA MASHINDANO YANAANZA SASA
Slider

Kocha wa Ivory Coast Herve Renard amesema mashindano ya kombe la mataifa Afrika yameanza sasa kwa timu yake baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Cameroon siku ya jumatano ambapo ushindi huo uliwapeleka katika hatua ya robo fainali. Kocha alisema “kwa timu kama hii kombe la mataifa ya afrika linaanza katika robo fainali kwasababu kutolewa kabla ya kuifikia hatua hiyo ni kushindwa ” alisema kocha huyo Mfaransa ambae timu yake ameweza kupenya kwenye hatua hiyo ngumu na kuziacha timu kama...

Like
327
0
Thursday, 29 January 2015
BAFANABAFANA WAIPISHA GHANA ROBO FAINALI AFCON
Slider

Andre Ayew Amefanikiwa kuipeleka Ghana robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika  afcon baada ya kuwapa kichapo cha 2-1 afrika ya kusini na kuibuka washindi wa kundi c. Black Stars wa Ghana, wamewahi fikia  nusu fainali mara nne mfululizo katika michuano ya afcon, Walihfiwa kutolewa katika dakika ya 17 ambapo Mandla Masango kuipatia Afrika Kusini goli la kwanza. Matumaini ya ghana yalirejea Wakati mlinzi John Boye aliposawazisha katika dakika 73 na baadae dakika saba kabla kumalizika kwa mchezo ayew...

Like
322
0
Wednesday, 28 January 2015
ZAMBIA NA CAPE VERDE WAIAGA MICHUANO YA AFCON
Slider

Cape Verde na Zambia wameondolewa katika michuano ya Kombe la Mataifa afrika AFCON yanayofanyika Guinea ya Ikweta Afrika baada ya sare 0-0 katika mechi kugongwa na dhoruba kitropiki.   Tunisia ilifanikiwa kushinda katika kundi B na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilikamata nafasi ya pili baada ya kutoka sare ya goli 1-1 katika mji wa bandari Bata wakati huo huo.   Cape Verde amemaliza hatua ya mtoano kwa tofauti ya pointi na magoli na DR Congo, ambapo wamepoteza kwasababu walifunga...

Like
299
0
Tuesday, 27 January 2015
AFCON: KUFA AMA KUPONA ZAMBIA KUINGIA DIMBANI LEO
Slider

Mabingwa watetezi Afcon Zambia wanatakiwa kuendeleza ubabe leo dhidi ya Cape Verde ili kuendeleza matumaini yao ya kufika robo fainali ya michuano hiyo inayofanyika Equatorial Guinea Zambia wana wakati mgumu katika kundi B ambapo wanaomba Tunisia wanaoongoza kundi hilo watoke suluhu au wafungwe na DRC Kwa sasa Tunisia wana pointi nne wakifuatiwa na Cape Verde na Drc huku Zambia ikiwa katika nafasi ya...

Like
399
0
Monday, 26 January 2015
MAAJABU YA EQUATORIAL GUINEA MICHUANO YA AFCON
Slider

Kocha wa Equatorial Guinea Esteban Becker ameeleza mafanikio na malengo ya taifa hilo mwenyeji wa michuano hiyo katika kufikia robo fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika na kufananishwa na hadithi za Cinderela baada ya kuichapa Gabon 2-0 siku ya Jumapili. “Ni hadithi ya Cinderela ambapo temu kapuku ilipoichapa timu tajiri kwa faida. Shukran kwa kujitolea sadaka. Kujidhati kwao, uzalendo na mapenzi yao” alisema kocha huyo raia wa Argentina ni story itakayokumbukwa kwa Becker mwenyewe kwani alichaguliwa kuwa...

Like
316
0
Monday, 26 January 2015
DIDIER DROGBA: BADO NAHITAJI KUITUMIKIA CHELSEA
Slider

Didier Drogba amesema kuwa bado anahitaji kuitumikia klab ya Chelsea mara baada ya msimu huu wa ligi ya England Mshambuliaji huyo wa Ivory Coast alitangaza nia yake hiyo wakati anapokea tuzo ya mwaka inayoandaliwa na shirikisho la waandishi wa habari za mpira wa miguu kwa mwaka 2015 huko London. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 36 ameelezea mapenzi yake kwenye klabu hiyo na kuongeza ya kuwa bado anahitaji kuwa sehemu ya klabu hiyo siku zijazo na ikibidi kucheza na wachezaji...

Like
371
0
Monday, 26 January 2015
MAKALA YA FLOYD MAYWEATHER JR
Slider

Kama ukipata nafasi ya kukutana na  kikundi cha mashabiki au wanamichezo duniani kote jaribu kuwauliza je ni mchezo gani unamashabiki wengi zaidi bilashaka watakujibu kuwa ni soka, Mpiganaji maarufu duniani Michael Gerard Tyson yeye kwa upande wake aliulizwa na mmoja wa watangazaji wa kipindi cha michezo huko nchini marekani je unafikiri nimchezo gani mgumu zaidi kucheza kupita michezo yote? akajibu mpira wa miguu ni mchezo mgumu kuliko michezo yote. Kwa upande wake mpiganaji maarufu duniani kwa sasa na nishabiki wa...

Like
754
0
Friday, 23 January 2015
TETESI ZA MAGAZETI YA NG’AMBO
Slider

TETESI ZA MAGAZETI: Klabu ya Manchester United imeweka mezani kitita cha paundi milioni 61 ili kumsajili kiungo wa klabu ya Juventus PAUL POGBA huku Chelsea nayo ikionekana kumuhitaji mchezaji huyo. (Daily Express) Klabu ya Valencia na Liverpool zimeingia katika kinyanganyiro  cha kuisaka saini ya kiungo wa Manchester City JAMES MILNER. (Sky Sports) Klabu ya Arsenal na Manchester United zipo katika kinyanganyiro cha kuisaka saini ya beki wa kati wa klabu ya Villarreal GABRIEL PAULISTA kwa paundi milioni 16. (Daily Mail)...

Like
370
0
Thursday, 22 January 2015