Slider

IGGY AZALEA ACHUKIZWA NA SNOOP
Entertanment

Kupitia mtandao wa instagram Snoop alipost picha ya mremavu wa ngozi (albino) na kuiwekea caption yenye maneno haya “Iggy Azalea no make up,” akimaanisha ni picha ya Iggy azalea bila vipodozi kitendo hicho kimemkera Iggy kiasi cha kushindwa kuzuia hasira zake na kuanza kumporomoshea maneno mazito Snoop kwenye mtandao wa Twitter  kwa kudai mara kadhaa Soop amekuwa akituma walinzi wake kuomba kupiga picha na Iggy wanapokutana kwenye shows tofauti. rapa huyo wa kike ameongeza kuwa amevunjwa moyo na kitendo kilichofanywa...

Like
396
0
Tuesday, 14 October 2014
WATANZANIA LEO WANAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KUFARIKI KWA HAYATI BABA WA TAIFA
Local News

WATANZANIA leo wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere . Kufuatia maadhimisho hayo, Wananchi jijini Dar es salaam wamewataka viongozi wa serikali kufuata miongozo na maadili mbalimbali katika kujenga, kulinda na kudumisha amani ya Nchi. Akiongea na EFM mmoja wa wananchi amesema pamoja na juhudi za viongozi waliopo madarakani bado zipo changamoto mbalimbali. Hayati baba wa taifa Julius Nyerere alifariki Dunia Oktoba 14 mwaka 1999. ***...

Like
464
0
Tuesday, 14 October 2014
GERRIE NEL AMPINGA MARINGA KWENYE KESI YA PISTORIUS
Global News

Idara ya kurekebisha tabia nchini Afrika Kusini inataka Oscar Pistorius apewe kifungo cha nyumbani cha miaka mitatu kwa kumpiga risasi na kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp. Bwana Joel Maringa afisa anayehusika na masuala ya urekebishaji tabia aliiambia mahakama mjini Pretoria kuwa hawamuadhibu tu Pistoruiis bali pia wanataka kumbadili kitabia akisema kuwa anaweza kutoa huduma za jamii kwa saa 16 kwa mwezi. Awali daktari wa Pistorius anayehusika na matatizo ya akili Lore Hartzenberg aliiambia mahakama kuwa mwanariadha huyo mlemavu amevunjika moyo...

Like
377
0
Monday, 13 October 2014
CRISS BROWN AONYESHA HOFU YAKE JUU YA EBOLA
Entertanment

Criss Brown mapema leo asubuhi kuipitia mtandao wa twitter aliweka wazi mawazo yake juu ya ugonjwa wa Ebola kwa kusema kuwa “I don’t know … But I think this Ebola epidemic is a form of population control. Shit is getting crazy bruh.” akimaanisha kuwa yeye hajui ila anadhani janga la Ebola ni namna ya kudhibiti idadi ya watu, haya yanakuja siku chache mara baada ya mtu mmoja kugundulika na virusi vya ugonjwa huo nchini marekani baadhi ya watu wameichukulia kauli...

Like
531
0
Monday, 13 October 2014
TIWA SAVAGE AWA MUHUDUMU KWENYE KITUO CHA MAFUTA
Entertanment

  Mwimbaji kutoka Nigeria Tiwa Savage mapema mwaka huu alichaguliwa kuwa balozi wa brand ya  Forte Oil Petroleum Company  mwimbaji huyo kutoka  323 Entertainment Records alipost picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa kwenye kituo cha mafuta akitoa huduma kwa wateja kama wahudumu wengine aina hii ya promotion imekuwa ikifanyika sehemu mbalimbali duniani ambapo watu maarufu yani mastar hutumika na makampuni waliyoingia nayo mikataba kushiriki kwenye shughuri tofauti ikiwemo za kijamii Wakati umefika pia kwa hapa nyumbani makampuni...

Like
328
0
Monday, 13 October 2014
STEVE R&B AUAGA UBACHELA
Entertanment

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Steve r&b ameuaga ubachela baada ya kufunga ndoa na Naimana Kuyangana juzi Jumamosi, Oktoba 11 Steve ambae hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya aliyoipa jina la polepole ni miongoni mwa wasanii wachache wanaotumia muda mrefu kuachia kazi zao kwa kuzipa nafasi ziendelee kufanya vizuri kwa niaba ya timu nzima ya Efm 93.7 tunawatakia maisha mema yenye furaha na amani...

Like
482
0
Monday, 13 October 2014
JUKATA YAWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI,KUISOMA NA KUILEWA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA
Local News

Jukwaa la Katiba Tanzania- JUKATA limewasihi wananchi kushiriki katika kuhamasishana na kupata Elimu itakayowawezesha Kuisoma na Kuielewa Katiba inayopendekezwa ili kujiandaa na zoezi la upigaji Kura za Katiba hiyo. Wito huo umetolewa jijini Dar es salaam na mwenyekiti wa JUKATA- DEUS KIBAMBA Pia imesema inaunga mkono makubaliano kati ya Vyama vya Siasa na Mheshimiwa Rais juu ya kufanyika kwa kura ya maoni baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 Amesema kuwa ili uelimishaji ufanikiwe kwa kiasi kikubwa ni vyema kwa...

Like
384
0
Monday, 13 October 2014
WANANCHI WATOA MAONI YAO KUELEKEA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWL.NYERERE
Local News

  Kuelekea kuadhimisha siku ya Kumbukumbu Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu JULIUS NYERERE Taasisi ya Mwalimu Nyerere foundation, Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ wameandaa maonyesho na mdahalo wa kumuenzi Baba wa Taifa ili kujenga, kulinda na kudumisha amani ya nchi. Mdahalo huo pamoja na maonesho kwa pamoja vitafanyika katika jumba la Makumbusho jijini Dar es salaam kuanzia Oktoba 13 hadi 17 baadhi ya Watanzania wamekua na maoni tofauti juu ya namna ambavyo...

Like
469
0
Monday, 13 October 2014
D’BANJ ATEULIWA KUWA BALOZI WA KWANZA WA APPLE/BEATS BY DRE AFRIKA
Entertanment

Msanii kutoka Nigeria D’banj amesaini mkataba wa kuwa balozi wa brand ya apple/beat by Dre D’banj ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza barani Afrika kuwa balozi wa bidhaa hiyo...

Like
359
0
Friday, 10 October 2014
YAMEBAKI MASAA MACHACHE KUPIGA KURA ILI KUMWEZESHA MTANZANIA E.NAPOLEON KUSHIRIKI KWENYE MOVIE YA THE DRIVER
Entertanment

Ernest Napoleon ni Mtanzania MUIGIZAJI amefanya movie inayoitwa Going Bongo. Anahitaji Kura yako ili kushirikishwa katika filamu ya kampuni ya Forest Whitaker (Idi Amin, Last King of Scotland) inayoitwa “The Driver”. Unaombwa msaada wa ku SHARE habari hii pamoja na maelekezo ya jinsi ya kumpigia kura: 1) TUMIA kompyuta badala ya simu kama inawezekana 2) Bonyeza link hiyo hapo Bit.ly/castErnest kisha una log in kwa kutumia Facebook account. 3) Unabonyeza “newest” Unasukuma kidogo. 4) Unaibeba picha (drag) hadi kwenye kibox...

Like
372
0
Friday, 10 October 2014
WIZ KID AZUNGUMZIA COLLABO YAKE NA CRISS BROWN
Entertanment

  Mkali kutoka Nigeria Wiz kid Ayo amezungumzia collabo yake na Criss Brown kupitia Capital Extra ya Uingereza jumamosi iliyopita Wiz kid amesema kuwa anatarajia kuiweka ngoma hiyo ambayo amemshirikisha Criss Brown aliyoipa jina la African bad girl   kwenye Albam yake...

Like
391
0
Friday, 10 October 2014