HUKUMU YA KESI YA SHAMBULIO LA AL-SHABAB UGANDA
Global News

MAHAKAMA mjini Kampala leo inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ambapo wanaume 13 wameshtakiwa kuhusiana na mashambulio ya mabomu yaliyotekelezwa na al-Shabaab mwaka 2010. Watu zaidi ya 70 walifariki kwenye mashambulio hayo yaliyotekelezwa wakati watu wakitazama fainali ya Kombe la Dunia la mwaka 2010. Kesi hiyo imechukua miaka...

Like
248
0
Thursday, 26 May 2016
MTU ASIYEFAHAMIKA AINGILIA WANAWAKE KINGUVU NYAKATI ZA USIKU
Local News

WANAWAKE wakazi wa mji wa Kigoma, wamekumbwa na taharuki kufuatia kuibuka mtu asiyefahamika anayewaingilia kinguvu wakati wamelala kwenye nyumba zao usiku huku akitumia panga kuwatisha au kuwakata kata mapanga sehemu mbali mbali za miili yao wale wanaokataa kutekeleza matakwa yake.   Mpaka sasa zaidi ya wanawake 10 wanaelezwa kuvamiwa na mtu huyo ambaye kwa sasa ni maarufu kwa jina la Teleza, na inadaiwa kuwa huwafuata Zaidi wanawake wasio na waume na hutumia kisu kuharibu vitasa vya milango kabla ya kuingia ndani....

Like
283
0
Thursday, 26 May 2016
JPM MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI CRB
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi Nchini (CRB) unaofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.   Mkutano huo wa mwaka wa mashauriano na wadau wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi unatarajiwa kuhudhuriwa na  zaidi ya Makandarasi na wadau wa Sekta ya Ujenzi wapatao elfu 1,000 na utafanyika kwa siku mbili leo na...

Like
220
0
Thursday, 26 May 2016
BRAZIL: MKANDA WA VIDEO WAMUUMBUA WAZIRI
Global News

WAZIRI wa mipango wa serikali mpya ya Brazil amewekwa pembeni baada ya kukutwa katika mkanda wa video akifanya njama ya kukwamisha uchunguzi mkubwa wa nchi hiyo unaohusu ufisadi. Katika rekodi ya kanda hizo, ambazo zimetolewa na gazeti moja nchini humo, waziri Romero Juca, ameonekana akisema kuwa kuondolewa madarakani kwa Rais Dilma Rousseff, kutazuia kuchunguzwa kwa kampuni ya serikali ambayo ni kubwa katika uzalishaji wa mafuta, Petrobras. Hata hivyo, waziri huyo amesema kauli yake hiyo imeeleweka vibaya na kwamba anaunga mkono uchunguzi...

Like
230
0
Tuesday, 24 May 2016
HILLARY CLINTON AKATAA KUSHIRIKI MDAHALO DHIDI YA SANDERS
Local News

MGOMBEA urais wa Marekani anayeongoza katika kinyang’anyiro cha kumteua mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton amekataa kushiriki mdahalo wa nne dhidi ya mpinzani wake Bernie Sanders. Maafisa wake wa kampeni wamesema, Bi Clinton ameamua kuwa ni vyema kutoshiriki mdahalo huo na badala yake akabiliane na mgombea mtarajiwa wa chama cha Republican Donald Trump. Awali Bi. Clinton alikuwa amekubali kushiriki mdahalo wa mwisho kabla ya mchujo muhimu katika jimbo la California na katika majimbo mengine matano wiki mbili...

Like
229
0
Tuesday, 24 May 2016
WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WATAKIWA KUSHIRIKIANA VYEMA
Local News

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wametakiwa kushirikiana vyema ili kuunda nguvu ya pamoja itakayosaidia kuharakisha maendeleo ya nchi kwa ufanisi zaidi.   Wito huo umetolewa na Chama cha Mapinduzi Zanzibar na kusema kuwa utendaji mzuri wa viongozi hao ndani ya Baraza hilo ndiyo utakaoweza kukirahisishia kazi Chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.   Akifafanua suala hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai amesema ushirikiano baina yao pia utaongeza ufanisi wa kusimamia vyema shughuli za baraza kulingana na...

Like
217
0
Tuesday, 24 May 2016
CHAWATA SERIKALI KUSIMAMIA SHERIA NA KANUNI ZA USALAMA BARABARANI
Local News

CHAMA cha Walemavu Tanzania-CHAWATA-kimeitaka Serikali kupitia kikosi cha usalama barabarani kusimamia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kunusuru vijana wanaopata ulemavu kupitia ajali zinazotokana na usafiri wa bodaboda.   Akizungumza na EFM Mweyekiti wa CHAWATA John Mlabu amesema tangu kuanza kwa biashara ya usafiri wa bodaboda Nchini kumekuwa na ongezeko kubwa la watu wenye ulemavu ambao baadae wanakuwa tegemezi kwa Taifa badala ya kuwa ni wazalishaji.   Aidha amewataka madereva wa magari pamoja na wa bodaboda kufuata...

Like
365
0
Tuesday, 24 May 2016
FIFA YAMTIMUA NAIBU KATIBU
Slider

Shirikisho la soka duniani Fifa limemtimua naibu katibu wake Markus Kattner kwa kujihusisha na ukiukwaji wa matumizi ya siri ya mamilioni ya dola. Kattnet raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 45 alikua akiitumikia nafasi hiyo baada ya aliyekua katibu Jerome Valcke kutimuliwa kazi kutokana na kashfa za rushwa. Kufutwa kazi kwa kiongozi huyu kulikuja mara moja baada ya bodi ya uchuguzi ya ndani ya Fifa kugundua kulikua na ukiukwaji na uvunjaji wa majukumu yake. Kulikuwa na ushahidi wa kutosha...

Like
237
0
Tuesday, 24 May 2016
KIBOKO ALIYETISHIA MAISHA YA WATU AULIWA KIJIJI CHA MAGUNGA, IRINGA
Local News

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela aliongoza kikosi cha wananchi na maafisa wa wanyama pori kumsaka Kiboko aliyevamia mazao ya wananchi na kutishia maisha ya wananchi hao wa kijiji cha Magunga tarafa ya Kiponzelo. Kiboko huyo alijificha kwenye eneo ambapo wananchi wa kijiji hicho waliogopa kutembea kufanya shughuli za kilimo. mnamo saa 10 na nusu jioni kiboko huyo alipatikana na kuuawa na baadae wananchi kugawiwa nyama yake. Ilikuwa kazi ngumu kumtoa kwenye dimbwi alilo angukia baada ya kuuawa kwa...

Like
442
0
Tuesday, 24 May 2016
MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI VAN GAAL
Slider

Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akitarajiwa kuchukua mahala pake. Raia huyo wa Uholanzi anaondoka baada ya kukamilisha miaka miwili ya kandarasi yake kati ya mitatu.Kitengo cha habari za michezo cha BBC Sport kiliripoti siku ya Jumamosi kwamba ushindi wa United wa kombe la FA dhidi ya Crystal palace utakuwa mechi yake ya mwisho akiwa mkufunzi. Uteuzi wa Mourinho unatarajiwa kuthibitishwa baada...

Like
238
0
Monday, 23 May 2016
IRAQ YATANGAZA VITA KUKOMBOA FALLUJAH
Global News

WAZIRI Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza operesheni kubwa ya kijeshi ya kuukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State. Kundi hilo liliuteka mji huo miaka miwili iliyopita. Akiwa ameandamana na maafisa wakuu wa jeshi, Bwana al-Abadi ametoa tangazo hilo moja kwa moja kupitia televisheni na kusema bendera ya Iraq karibuni itapepea katika mji huo ambao upo takjriban kilomita 50 magharibi mwa mji wa...

Like
238
0
Monday, 23 May 2016
« Previous PageNext Page »