Local News

TANZANIA IMEANDIKA HISTORIA MPYA
Local News

Tanzania imeandika historia mpya baada ya kukamilisha mchakato wa kutengeneza Rasimu pendekezwa ya Katiba Mpya na kuikabidhi kwa Rais JAKAYA KIKWETE pamoja na Rais wa Zanzibar Dokta ALLI MUHAMMED SHEIN. Akitoa hotuba yake kwa Maelfu ya Wananchi,Mabalozi waliowakilisha nchi zao pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na Kidini, Rais KIKWETE anaeleza Mbali na hayo amewasihi wajumbe waliofanya kazi ya kutunga na kurekebisha katiba kutambua na kuwa mabalozi wazuri katika kupigania na kutimiza wajibu wa kuwaelimisha wananchi juu ya katiba hiyo...

Like
558
0
Thursday, 09 October 2014
RAIS KIKWETE,DK.SHEIN WAWASILI MJINI DODOMA
Local News

    Rais wa jamuhuli ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya mrisho Kikwete amewasili mjini Dodoma leo katika Hafla maalum ya kukabiziwa katiba iliyopendekezwa na bunge maalum la katiba mheshimiwa Rais amepokelewa katika uwanja wa Jamuhuli mjini Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekua Spika wa Bunge la Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la...

Like
719
0
Wednesday, 08 October 2014
WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA YASAINI MKATABA NA SERIKALI YA INDIA
Local News

Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia imetiliana saini Mkataba na Serikali ya India kusaidiwa Ujenzi wa Kituo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano-TEHAMA kwenye kituo cha Sayansi na Teknolojia cha NELSON MANDELA mkoani. Akizungumza mara baada ya kusaidi makubaliano hayo Waziri wa Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia Profesa MAKAME MBARAWA Lakini pia Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imesaini mkataba wa kutathmini utendaji wa kazi na bodi ya Mamlaka ya Mawasilianonchi-TCRA ili kuboresha utendaji wa kazi wa...

Like
349
0
Wednesday, 08 October 2014
SERIKALI IMEWATAKA WANANCHI KUFUATA SHERIA NA TARATIBU ZA UJENZI MAENEO YA MJINI
Local News

Katika kuadhimisha Siku ya makazi Duniani Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewataka Wananchi kufuata sheria na taratibu za ujenzi maeneo ya Mijini ili kuepuka na hasara pamoja na usumbufu wa kubomolewa makazi yao. Wito huo umetolewa Jijini Dar es salaam na Waziri wa Wizara hiyo Profesa ANNA TIBAIJUKA   Amebainisha kuwa kupitia mradi wa kuboresha Miundombinu kwa kushirikiana na jamii kuna baadhi ya maeneo yameboreshwa Kauli mbiu isemayo, SAUTI KUTOKA MAKAZI...

Like
651
0
Tuesday, 07 October 2014
SERIKALI KUFUNGA MITAMBO YA VIDEO CONFERENCE KATIKA OFISI ZAKE
Local News

Serikali imeahidi kufunga Mitambo ya Video Conference katika Ofisi za Halmashauri za Wilaya na Mikoa pamoja na Vituo vya Polisi vya Wilaya ili kurahisisha Mawasiliano na kupunguza gharama za vikao katika taasisi zake ifikapo mwaka 2015. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa MAKAME MBARAWA Profesa MBARAWA amesema tayari Serikali imeunganisha baadhi ya Mikoa katika Mkongo wa Mawasiliano Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mafunzo kwa njia ya Mtandao -TAGLA CHARLES SENKONDO amesema mfumo huo wa umesaidia...

Like
343
0
Tuesday, 07 October 2014
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI KUFUATIA TAARIFA YA TMA
Local News

Kufatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa -TMA juu ya kuwepo kwa mvua nyingi nchini, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limewataka wananchi kutoendelea na Ujenzi katika maeneo ya Mabondeni ili kuepusha usumbufu pindi mafuriko yanapotokea. Akizungumza na EFM ofisini kwake Kaimu Kamishina wa operesheni ya Zimamoti na Uokoaji jijini CHRISTOM MANYOLOGA amesema Akizungumzia namna ambavyo Jeshi hilo limejipanga na Majanga MANYOLOGA anasema  ...

Like
568
0
Monday, 06 October 2014
DAVID KAFULILA AIBANA IPTL,SERIKALI
Local News

Serikali imetakiwa kutozuia Utoaji na Kujadiliwa Bungeni kwa Ripoti za Uchunguzi juu ya matumizi Mabaya ya Fedha za ESCROW Shilingi Bilioni 400 kilichofanywa kupitia Kampuni ya PAP na IPTL. Hayo yameelezwa jijini Dar es salaam na Mbunge wa Kigoma Kusini ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa Chama cha NCCR-Mageuzi Mheshimiwa DAVID KAFULILA...

Like
380
0
Monday, 06 October 2014
SERIKALI IMEFANIKIWA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO
Local News

  Serikali imefanikiwa kupunguza tatizo la Vifo vya Watoto walio chini ya umri wa miaka 5 kutoka vifo 165 hadi kufikia vifo 54 ikiwa ni mojawapo ya malengo waliowekewa na Umoja wa Mataifa,Zaidi Dokta DONAN MMBANDO anafafanua Kwa upande wake MONIKA MALLOMO ambaye ni Daktari wa watoto kutoka hospitali ya Sokoine Mkoani Lindi, amesema...

Like
385
0
Friday, 03 October 2014
SERIKALI IMEAHIDI KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI JESHI LA ZIMA MOTO
Local News

  Serikali imeahidi kushughulikia changamoto zinazolikabili Jeshi la Zima Moto na Uokoaji nchini ili kuliwezesha kutekeleza maajukumu yake kwa kuzingatia ongezeko la Ajali za Barabarani ambapo jeshi hilo pia lina jukumu la uokoaji katika Ajali mbalimbali. Akizungumza katika uzinduzi wa baraza dogo la zima moto na uokoaji mjini Bagamoyo Mkoani Pwani, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi MUBARAKA ABDULWALIKI amesema...

Like
375
0
Friday, 03 October 2014
WANAFUNZI ELIMU YA JUU WAIOMBA SERIKALI KUTOA MIKOPO BILA KUGAWA MATABAKA
Local News

Wanafunzi wa Elimu ya juu nchini wameiomba Serikali kuhakikisha kuwa Wanafunzi wote wenye sifa ya Elimu ya Kati –Diploma wanapewa mikopo kama ilivyo kwa wanafunzi wanaosoma Kada nyingine mbalimbali katika Elimu ya juu. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taasisi ya Elimu ya Juu –TAHLISO MUSSA MDEE amesema...

Like
337
0
Friday, 03 October 2014
UKAWA YALAANI UKIUKWAJI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Local News

Kamati ya Ufundi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi -UKAWA imetoa tamko la kulaani Ukiukwaji wa Kanuni za Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini Dodoma pamoja na kulaani shutma dhidi ya viongozi wa dini zinazotolewa na Bunge hilo kuwa nao wamejiunga na UKAWA. Kauli hiyo imetolewa na  Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara Mheshimiwa JOHN MNYIKA wakati Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam Naye Mjumbe wa Kamati hiyo ambaye pia...

Like
291
0
Thursday, 02 October 2014