Sports

RATIBA YA MICHUANO YA LIGI KUU YA ULAYA KULINDIMA TENA LEO
Slider

Michuano ya ligi ya Europa kurindima tena leo kwa kuzishusha uwanjani timu 48 ndani ya michezo 24 tofauti. Ratiba ya michezo hiyo itakayoanza Majira ya saa mbili kwa saa za Afrika ya Mashariki huku mechi nyengine zikipigwa saa tatu kamili usiku na zilizobakia zitapigwa saa tano na dakika tano.   Dinamo Moskva 20 : 00 Estoril More info   Qarabağ 20 : 00 Dnipro Dniprop… More info   Zürich 21 : 00 Villarreal More info   Apollon 21 : 00...

Like
481
0
Thursday, 06 November 2014
MATOKEO YA KLABU BINGWA ULAYA
Slider

Usiku wa klabu bingwa Ulaya umeshuhudia jumla ya magoli 23 yakifungwa usiku jana kwa michezo mbalimbali kupigwa katika viwanja maarufu barani humo. Haya ni matokeo ya michezo hiyo iliyochezwa hapo jana: Manchester City 1 – 2 CSKA Moskva View events More info Bayern München 2 – 0 Roma View events More info PSG 1 – 0 APOEL View events More info Ajax 0 – 2 Barcelona View events More info Sporting CP 4 – 2 Schalke 04 View events More...

Like
408
0
Thursday, 06 November 2014
MAN CITY YALAZWA 2-1 NA CSKA MOSKVA HUKO ETIHAD
Slider

Klabu ya Manchester City imejikuta katika wakati mgumu baada ya kupokea kipigo cha magoli mawili kwa moja dhidi ya CSKA Moskva ndani ya uwanja wao wa nyumbani Etihad, Magoli mawili ya Seydou Doumbia mnamo dakika ya pili ya mchezo huo na lile jengine mnamo dakika ya 34 yalitosha kuwaangamiza mabingwa hao watetezi wa ligi kuu nchini England huku goli lao la kufutia machozi likifungwa na Yaya Toure ambae baadae alionyeshwa kadi nyekundu. Toure alipewa kadi nyekundu dakika ya 81 huku...

Like
335
0
Thursday, 06 November 2014
JOTO LA KLABU BINGWA BARANI ULAYA
Slider

Mshambuliaji wa klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi afikia rekodi ya magoli 71 ndani ya michuano ya klabu bingwa Ulaya iliyokuwa inashikiliwa na legendari Raul Gonzalez. Messi amefikia rekodi hiyo baada ya kufanikiwa kupachika magoli mawili katika mchezo dhidi ya Ajax Amsterdam kwa kuisadia klabu ya Barcelona kupata ushidi wa magoli mawili kwa sifuri na kukata tiketi ya kutinga raundi ya 16 bora. Mchezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid na S04, Raul ilimchukua takribani michezo 142 kuweza kufikisha...

Like
337
0
Thursday, 06 November 2014
LIST YA VILABU VITAKAVYOKUTANA USIKU WA LEO KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA BARANI ULAYA
Slider

Usiku wa klabu bingwa Ulaya kuendelea tena leo kwa kuvitukanisha vilabu mbalimbali vinavyosaka tiketi ya kuvuka hatua ya makundi ikiwa ni michezo ya raundi ya pili katika hatua hiyo. Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Uingereza, Manchester City itashuka dimbani Majira ya saa nne na dakika arobaini na tano kuwakaribisha klabu ya CSKA MOSKVA ya nchini Urusi. Mabingwa wa Bundesliga klabu ya Bayern Munich itakuwa wenyeji wa klabu ya AS Roma ya huko nchini Italy wakiwa na kumbukumbu mbaya ya...

Like
449
0
Wednesday, 05 November 2014
REAL MADRID NA BORUSSIA DORTMUND ZATINGA HATUA YA 16
Slider

Mabingwa watetezi wa michuano ya klabu bingwa Ulaya klabu ya Real Madrid imefanikiwa kutinga katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo kwa kuilaza klabu ya Liverpool kwa goli 1-0. Goli la Real limefungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Karim, Benzema aliyeunganisha krosi safi iliyojazwa na beki wa kushoto wa Brazil Marcelo. Mechi hiyo iliyokuwa inatazamiwa kuwa ya kipekee kwa mchezaji Cristiano Ronaldo aliyekuwa anafukuzia rekodi ya ufungaji magoli 71 iliyowekwa na Raul Gonzalenz, alishindwa kutamba mbele ya beki...

Like
349
0
Wednesday, 05 November 2014
ERASTO NYONI APATA AJALI
Slider

Beki wa Azam fc Erasto Nyoni amekutwa na mkasa mkubwa baada ya kumgonga dereva wa bodaboda katika enero la tiptop Manzese lakini akaendeklea kukimbia akiyagonga baadhi ya magari hadi katika eneo la Kijitinyama jijini Dar ambako alikwama baada ya kugonga gari la grobal publisheer. Bada ya tulio hilo Nyoni beki wa Taifa stars alitoka kwenye gari lake aina ya toyota grande mark 11 GX 110, akaanza kujitahidi kukimbia kutokana na lundo la bodaboda kuanza kumfukuza wakitaka kumchukulia sheria mkononi hali...

Like
714
0
Tuesday, 04 November 2014
CRISTIANO RONALDO NA IKER CASILLAS  KUVUNJA REKODI USIKU WA LEO!!!
Slider

Michuano ya klabu bingwa ulaya kuendelea tena leo ikiwa ni mechi za raundi ya pili katika hatua ya makundi kwa msimu wa mwaka 2014/2015. Bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya Real Madrid itawakaribisha majogoo wa jiji la Anfield Liverpool katika uwanja wa Santiago Bernabeu wakiwa na rekodi ya kushinda goli 3-0 katika mchezo uliopita. Mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo na Iker Casillas wanatazamiwa kuvunja rekodi mbalimbali usiku wa leo, Ronaldo anafukuzia rekodi ya magoli 71 iliyowekwa na Raul...

Like
394
0
Tuesday, 04 November 2014
CAF IMEIPA MOROCCO SIKU TANO KUTOA MAAMUZI JUU YA MICHUANO YA MATAIFA AFRICA 2015
Slider

Kamati ya maamuzi ya shirikisho la soka barani Afrika (CAF) imewapa muda wa siku tano mpaka siku ya jumamosi ya tarehe nane mwezi wa kumi na moja mwaka huu kutoa tamko rasmi juu ya uaandaaji wa michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2015 Morocco walipewa kibali cha kuandaa michuano hiyo lakini kutokana na hofu ya ugonjwa wa Ebola iliwaomba CAF waisogeze mbele au kuahirisha kabisa michuano hiyo iliyopangwa kuanza tarehe 17 mwezi januari mpaka Februari 8 mwaka 2015. Wakati huohuo...

Like
391
0
Tuesday, 04 November 2014
MAKUNDI NA RATIBA KUELEKEA MICHUANO YA ATP WORLD TOURS LONDON
Slider

TENNIS Kuelekea katika michuano ya ATP World Tours pale jijini London nchini England, makundi na ratiba ya michuano hiyo inayotarajiwa kuanza tarehe 9 mpaka 16 mwezi huu yapangwa rasmi hapo jana usiku. Bingwa namba moja katika mchezo huo, Novak Djokovic amepangwa katika kundi A pamoja na wachezaji wengine watatu nafasi zao duniani katika mabano, Satnislas Wawrinka (4), Tomas Berdych (7) na Marin Cilic (9). Katika kundi B limewakutanisha vigogo Roger Federer anayesika nafasi ya pili kwa ubora duniani, Muingereza Andy...

Like
390
0
Tuesday, 04 November 2014
SYLAS MWAKIBINGA AJIONDOA BODI YA LIGI KUU
Slider

Mtendaji wa bodi ya  TFF inayosimamia ligi kuu na ile ya daraja la kwanza, Sylas Mwakibinga ameamua kuachana na kibarua chake kwenye taasisi hiyo nyeti ya soka nchini. Uchunguzi wa E.sports umegundua kwamba Mwakibinga ameamua kuachia ngazi katika nafasi yake kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea kati ya rais wa TFF -Jamali Malinzi na wakali Damas ndumbaro aliyezawadiwa kifungo cha miaka 7 kutojihusisha na masuala ya soka ndani na nje nchi kwa madai ya kutoa siri nzito zilizojificha ndani ya shirikisho...

Like
422
0
Tuesday, 04 November 2014